tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. peno hasegawa

    Anafanya kazi TANESCO?

    ANAFANYA kazi TANESCO?
  2. R

    Ni wajibu wa TANESCO kutoa fidia pale Tatizo la Umeme linaposababisha hasara, umewahi kudai fidia hiyo?

    Wakuu kwema? Kulingana na Mkataba wa Huduma kwa Wateja wa TANESCO, mteja ukipata hasara kutokana tatizo la umeme, TANESCO inatakiwa kumfidia mteja huyo. Kipengele hiki kinasema; "Kuwafidia wateja pale ambapo tatizo la umeme limesababisha uharibifu wa mali baada ya kuwa imehakikishwa kwamba...
  3. B

    KERO TANESCO na DAWASA mpaka mchukue roho zetu wakazi wa Mbezi Beach ndio mfurahi?

    Salaam kwenu wana JF, TANESCO na DAWASA mnatutaka nini wakazi wa Mbezi Beach? Umeme mnakata maji maji mmekata mnataka tuishije sisi? Mnaona raha watu tunavyosononeka na kutukana kila siku kwa hii dhulma mnatufanyia? Yaani hili fukuto ndani kukaa mateso nje huwezi kukaa mbu zikufanye chakula...
  4. KAGAMEE

    Umeme ukikata ghafla huwa unatamka maneno gani unayotamani TANESCO wayasikie?

    Umeme ukikata ghafla huwa unatamka maneno gani unayotamani TANESCO wayasikie?
  5. Magufuli 05

    Kwa ukatili huu Tanesco imerogwa

    Just imagine Nchi Ina miaka 62 ya uhuru Bado Inagawa umeme kwa wananchi. Wewe mtanzania mwenzangu unayepiga kura kuchagua majitu yanayojiita viongozi. Hivi unaonaje? Kweli hii ni Sawa kugawiwa umeme? Wananchi Wana viwanda, butcher, machine za kusaga, vituo vya radio, saloon, machine za mbao...
  6. Rurakha

    Maoni: TANESCO isimamiwe na jeshi

    Habari za leo Kutokana na hujuma zinazoendelea katika Shirika la Ugavi na Usambazaji wa Umeme Tanzania (TANESCO) kwa maoni yangu binafsi nashauri Shirika hili Mkurugenzi Mkuu apewe Mwanajeshi na liwe chini ya usimamizi jeshi. Sababu kubwa ni uwepo wa nidham ya hali ya juu Jeshini hivyo...
  7. Execute

    Kipindi hiki cha mgao mishahara ya Tanesco inatoka wapi?

    Umeme upo kidogo na hivyo makusanyo ni kidogo. Ukiweka gharama za uendeshaji wa mitambo na miundombinu ni dhahiri fedha inayobaki ni kidogo. Swali langu ni je wanaendelea kulipwa? Kama ni ndio, fedha zinatolewa wapi kulipa hao wasioleta tija? Waziri na wizara nzima ya nishati wanalipwa kutoka...
  8. R

    Makonda alivae tatizo la umeme Nchini. Mie nadhani ndiye kiongozi pekee CCM anayeweza kuwatepetesha TANESCO

    Makonda nguvu yako inaitajika kwenye swala ukataji wa Umeme. Kama kweli unamoenda Mama msaidie kwenye ili awa jamaa wanamdanganya. Hawawezi wakawa wanakuja na sababu tofauti kila siku. Ni uwongo
  9. R

    TANESCO ni wakaidi na wana kiburi mbele ya Rais na Wananchi wake kwa kauli zinazokinzana kila siku na kuendelea ukataji wa umeme

    Awa jamaa mie nadha nia na madhumuni ki kumchafua Rais Samia Suluhu na Doto Biteko. Haiwezekani Taasisi inasemwa kila sehemu kuanzia Bungeni, mitaani, kwenye mitandao, nyumba za ibada lakini jamaa hawajigusi wanaendelea na mgao kama kawa. Na mie nasema wanafanya makusudi kwa kuwa atakuja mjinga...
  10. Scaramanga

    TANESCO nini tatizo hasa?

    Ni kero kutwa nzima hakuna umeme na bado usiku mnakata tena umeme na hali hii ya joto Dar es salaam. Hakuna taarifa wala nini unakuta hakuna umeme. Mmetulaza giza usiku kuamkia leo na sasa mmekata tena umeme . Hali hii tuishi nayo mpaka lini? Mbona mvua mikoani zinanyesha Morogoro mvua kubwa...
  11. Mystery

    TANESCO wanalazimika kubeba hasara kubwa tunazopata wananchi, kutokana na mgao wao wa umeme, usio na ratiba maalum

    Hivi sasa siyo tena habari, kuona maeneo kadhaa ya nchi, yakiwa yako gizani, kutokana na mgao wa umeme, ambao ni "endless" bila ya TANESCO kutoa taarifa za mapema, kuwa kutakuwa na mgao wa umeme katika maeneo hayo husika! Nyinyi watu wa TANESCO hebu jaribuni kufikiria, hizo hasara kubwa...
  12. Doto12

    Dawasco kucheza mdundo wa Tanesco

    Hii idaraya maji inashida Gani?? Nimeona Leo tbc habari
  13. R

    Neno moja kwa TANESCO

    TANESCO wanahitaji kutusikia tunavyowafanyia rating ya huduma zao. Toa neno moja linaweza kuwaondoa pale walipokutana. Mimi neno langu nikuwaomba wafanyakazi wa TANESCO waache kusema WANASIASA WANATUMIA SHIRIKA HILO KIBIASHARA...Niwaombe watoe huduma kwa uzalendo kwani wanaoumia siyo mawaziri...
  14. M

    Tanesco yatangaza hitilafu, Mikoa iliyoungwa Gridi ya Taifa kukosa umeme

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa na Gridi hiyo. “Juhudi za kurejesha mfumo zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana...
  15. S

    Arusha: kuanzia Usa-River mpaka King'ori ni wiki sasa umeme unakatwa kila ikifika saa 12 jioni

    Huyu meneja katika huu mgawo wa umeme anabagua maeneo kulingana na hali ya watu wanaoishi eneo husika. Anaongozwa na wenye hela anapewa rushwa. Unakuta eneo linakatwa kwa wiki nzima jioni, kwa mfano kuanzia Usa-River mpaka King'ori ni wiki sasa umeme unakatwa kila ikifika saa 12 jioni. Jioni...
  16. Rurakha

    Wataalam wa sheria, hakuna uwezekano wa kwenda mahakamani kuishinikiza Serikali iruhusu uwepo wa mshindani wa TANESCO?

    Habari za leo, Natumaini mnaendelea vizuri na utekelezaji wa majukum ya kila siku. Binafsi nimekuwa nikifuatilia utekelezaji wa shughuli za mahakama Nchini Kenya nimeona mamna ambavyo Mahakama ya Kenya imekuwa ikitoa mashinikizo mbali mbali kwa serikali kwa manufaa ya wananchi Tukirudi hapa...
  17. N

    Tanesco acheni uzembe mtaingiza watu hasara

    Habari wakuu, Kwa wiki nzima sasa Tanesco wamekuwa wakileta umeme mdogo kwenye baadhi ya maeneo hapa Dar kiasi kwamba kwa sisi ambao tunatumia fridge guard unakuta haiwezi kuruhusu umeme kuwasha friji kwa sababu umeme ni mdogo na kupelekea vitu vilivyohifadhiwa ndani ya friji kuanza kuharibika...
  18. Bams

    Je, Kuna Taasisi ya ovyo Kabisa Nchini Kuizidi TANESCO?

    Bila shaka hakuna asiyejua madhara ya TANESCO, iwe mjini au kijijini, awe kiongozi au raia asiye na cheo, awe kijana au mzee, awe msomi au asiyeenda shule kabisa, awe mwenye kiwanda au mmiliki wa genge. Ni takribani miaka 250 tangu Benjamin Franklin na Michael Faraday walipoweka kanuni jinsi...
Back
Top Bottom