Kipindi hiki cha mgao mishahara ya Tanesco inatoka wapi?

Execute

JF-Expert Member
Sep 21, 2022
3,000
7,285
Umeme upo kidogo na hivyo makusanyo ni kidogo. Ukiweka gharama za uendeshaji wa mitambo na miundombinu ni dhahiri fedha inayobaki ni kidogo.

Swali langu ni je wanaendelea kulipwa? Kama ni ndio, fedha zinatolewa wapi kulipa hao wasioleta tija? Waziri na wizara nzima ya nishati wanalipwa kutoka wapi?
 
hakuna taasisi au mtumishi wa serikali anayelipwa kwa kuangalia ufanisi wake.

laa sivyo hali ingekuwa nzuri sana.
 
Back
Top Bottom