Neno moja kwa TANESCO

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
TANESCO wanahitaji kutusikia tunavyowafanyia rating ya huduma zao. Toa neno moja linaweza kuwaondoa pale walipokutana.

Mimi neno langu nikuwaomba wafanyakazi wa TANESCO waache kusema WANASIASA WANATUMIA SHIRIKA HILO KIBIASHARA...Niwaombe watoe huduma kwa uzalendo kwani wanaoumia siyo mawaziri na viongozi bali watanzania. Mawaziri wote na viongozi wakubwa wamefungiwa standby generator so kwao wao kuona mgawo hadi watoke nje wachungulie majirani. Japo pia majirani ni wao wenyewe.

Tukumbuke pia viongozi wote wakubwa nchini mwisho wakitembea nje ya makazi maalum ni saa 12 jioni. So yawezekana kabisa Tunao mawaziri na viongozi wengine wana miaka bila kuona giza
 
Biteko ajiuzulu.

This is the most bogus minister ever happened to serve in this ministry. He knows absolutely nothing regarding the challenges facing this sector.

He is there by grace and not by purpose.

Poor Biteko!
 
Turuhusiwe tuanze kugawa Umeme Binafsi Kitaani.

TANESCO NI SHIRIKA LA UMMA WAPIGAJI NDIO SHAMBA LAO LA BIBI.

NMC,RTC TTCL NK. YOTE YAMEFELI NA TANESCO INAELEKEA HUKO.

SHTUKA MTANZANIA ACHA UZOBA USIIPIGIE KURA CCM.
 
Turuhusiwe tuanze kugawa Umeme Binafsi Kitaani.

TANESCO NI SHIRIKA LA UMMA WAPIGAJI NDIO SHAMBA LAO LA BIBI.

NMC,RTC TTCL NK. YOTE YAMEFELI NA TANESCO INAELEKEA HUKO.

SHTUKA MTANZANIA ACHA UZOBA USIIPIGIE KURA CCM.
Nilisemaje CCM na vyama vya upinzani vyote havita leta mabadiliko mpaka vijana wapya tuamke na kuunda chama kipya Cha kuitoa CCM madarakani
 
Back
Top Bottom