Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
Ninakero yangu, mkoa wa Pwani Bagamoyo Tanesco ni Kero, nimelipia kuhusu kuunganishiwa umeme tangu mwezi wa nne mwanzoni 2026 hadi sasa hawajaniunganishia, kila nikiwapigia mwanzo walisema siku 30 za kazi baada ya siku 30 za kazi kupita wanasema ni siku 60 za kazi ni kerooo.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limekanusha madai yaliyotolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kwamba changamoto ya upatikanaji wa maji katika baadhi ya maeneo ya Jiji la Mwanza imesababishwa na kukosekana au kuyumba kwa huduma ya umeme kwenye mitambo ya...
Kuna member alileta uzi humu kwamba maji yanasumbua Mwanza, na MWAUWASA wakaja na kiteteo kwamba umeme unasumbua na wako wanashirikiana na TANESCO kusolve.
MWAUWASA: Kukosekana kwa huduma Uzalishaji na Usambazaji wa Maji Mwanza imetokana na hitilafu ya umeme
Hafu leo TANESCO nao wanakataa...
Kwa masikitiko makubwa, hali ya umeme katika maeneo ya Wilaya ya Chunya — Matundasi, Makongorosi, Lupa, Saza na Itumbi — imekuwa ya kudhalilisha wananchi na kuonyesha wazi kushindwa kwa mamlaka husika kutekeleza wajibu wake kwa wananchi.
Wananchi wamevumilia kwa muda mrefu sana. Kwa zaidi ya...
Ni ukweli ulio wazi sasa hivi wakuu wa taasisi za serikali ikiwemo TANESCO wanamdharau huyu Rais ndiyo maana wanamhujumu, wanamchonganisha kwa wananchi aonekane ameshindwa kuongoza.
TANESCO mlitukatia umeme tangia asubuhi saa 3, mmerudisha sa 12 jioni, ajabu mmeukata tena, ni nini mmeshindwa...
Wilaya ya Mbarali Mbeya kuna changamoto ya umeme yapata Miezi 6 sasa, changamoto inayosumbua ni low voltage (umeme kukosa nguvu) hii inaathiri baadhi ya nyumba lakini kwa wamiliki wa viwanda yaani mashine za kusaga nafaka na kukoboa mpunga imefika mahali tumekata tamaa.
Tumejaribu mara kadhaa...
Kwa takribani wiki 2 mfululizo na zaidi, TANESCO Iringa Mjini wanakata umeme laini ya Viwandani na husema ni DHARURA na HITILAFU, kila ifikapo Saa 12 Jioni na kurudisha umeme Saa 3 au 4 Usiku, imekuwa kama mgao wa kimyakimya.
Bei ya diesel imepanda, matumizi ya Generator inakuwa ni gharama...
Habari Naomba kutuma kero ya kata ya 14 Temeke Dar-es -Salaam yadi ya malori mtaani ni kubwa, yanapaki magari mbele ya nyumba za watu na magari hayo Hayo yanakata wire za umeme.. Maafisa wa TANESCO wakija hawawasilishi kesi ofisini wanapewa hela na watu hawalipwi, vitu vyao vilivyoungua.
Barua...
Anonymous
Thread
kero
maafisa
magari
malori
njia
tanesco
temeke
umeme
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Lazaro Twange ameeleza kutoridhishwa na kasi ya mkandarasi anayetekeleza mradi wa maboresho ya Kituo cha Kufua Umeme cha Hale kutokana na kuchelewa kukamilika kwa Mradi huo ulioanza kutekelezwa tangu mwaka 2022.
Bw. Twange ameyasema hayo leo Mei 22, 2026 wakati...
NAOMBA UFICHUE UOVU DHIDI YA BI. NISILE MWAKALINGA - AFISA RASILIMALI WATU, TANESCO MKOA WA MANYARA
Mimi ni mtoa taarifa mwenye nia njema, naomba uchunguzi wa kina ufanyike dhidi ya Afisa Rasilimali Watu wa Mkoa wa Manyara, kwa madai yafuatayo:
1. Matumizi mabaya ya madaraka na kulipiza kisasi...
Anonymous
Thread
afisa
cheo
mamlaka
manyara
rasilimali
rasilimali watu
tanesco
vibaya
Mimi ni mfanyakazi wa TANESCO wa kazi maalumu S.T.E (Specific Task Employee) kutoka Mkoa wa Katavi viongozi wetu wa juu wa Shirika wasikie ujumbe huu ili watusaidie maana tunapitia changamoto ya kucheleweshewa mishahara.
Tunapaswa kulipwa kila baada ya siku 10 lakini inapita hata mwezi bila...
Anonymous
Thread
katavi
kazi
maalumu
mshahara
sana
tanesco
wafanyakazi
Kuna kikundi kinaitwa KIMAUCHA kinafanya kazi za umeme chini ya TANESCO Wilaya ya Chanika, Dar es Salaam, watu wanaohusika hasa viongozi wa kikundi hicho wamekuwa na tabia ya kudhulumu hela, ukijidai mdomo kuuliza unafukuzwa kazi.
Jambo lingine linalokera hapo ni kuwa malipo yanachelewa sana...
Anonymous
Thread
chanika
dhuluma
kazi
kazi za
kikundi
tanesco
umeme
wafanyakazi
wake
Tanesco imekuwa na unyanyasaji mkubwa sana kwa vibarua wanaosambaza umeme kwa mteja(service line) na kujenga miradi midogo midogo. Inafikia mpaka miezi nane(8) pesa haijalipwa na hakuna anayelisemea au japo kulibeba swala hilo kwa wale viongozi ukiulizia kauli ni kesho,wiki ijayo au wiki hii...
Yani kuna mazingira unakuwa unashida au huwezi pata huduma labda ya kuweka hela kwenye simu wakati huo unauhitaji labda wa kumunua units (luku) hadi inakuchukulia kulala giza au kushindwa kufanya kazi kwa sababu ya umeme kuisha.
Kwenye mitandao ya simu kuna huduma ukitaka kukopa vocha/salio...
Ebana guys, nataka nifungue kampuni itayohusika na kununulia wateja umeme kutoka TANESCO kama ambavyo unaweza kutumia mtandao wa simu.
Sasa nilitaka kujua process kufuata ili Tanesco wakupe API yao uwe muuza umeme wao.
NB: Sio kuuza umeme kama wakala kibandani, ni kidigitali.
Thanks.
Tunaiomba mamlaka husika hasa TANESCO kutatua tatizo la umeme mdogo (low voltage) katika eneo la Nyamhongolo Stand, Wilaya ya Ilemela, Mwanza.
Wananchi na wafanyabiashara wa eneo hili tunaendelea kupata hasara kubwa kutokana na umeme kuwa mdogo muda mwingi. Mashine za kazi haziwezi kufanya kazi...
Anonymous
Thread
ilemela
kuboresha
kutatua
low voltage
mada
mamlaka
mdogo
mwanza
ombi
stand
tanesco
tatizo
tatizo la umeme
umeme
umeme mdogo
Habari jamii forum,
Mimi ni mdau kutoka Mpanda, Katavi.
TANESCO Mpanda wanakata umeme ovyo ovyo. Ni kama vile hakuna mamlaka ya kusimamia.
Yaani kwa siku umeme lazima ukatwe zaidi ya mara 3 na bado weekend wanasema wanamatengenezo kila Jumamosi na Jumapili kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa11...
Habarini za jioni, kwa kweli leo nimepata changamoto kubwa kwa kuliwa pesa yangu. Tufupishe mada mimi nipo wilayani Kisarawe nilivuta umeme tarehe 7.2.2026 na kuanzia hapo nimekuwa nikikatwa kodi ya jengo kila mwezi tsh 1,500/=, cha ajabu leo nilitaka kununua umeme wa tsh 10,000/= muamala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.