ndani ya ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Vita ya kuwania madaraka ya urais 2030 ndani ya CCM inaweza kuleta anguko lake

    Kwa mara ya kwanza katika historia CCM itaelekea katika uchaguzi wa urais mwaka 2030 bila kuwa na mgombea yeyote maarufu, mwenye ushawawishi au anayeweza kubebwa au kujificha chini ya kanuni za utamaduni wa chama wa "muendelezo" wa Rais aliye madarakani. Hii inaweza kuwa fursa kubwa sana ya...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania 2030 Wakatoliki wana mgombea gani ndani ya CCM? Kafulila atatosha ?

    Mwaka 2030 sio mbali sana na kwa Hali ilivyo kama CCM hakitagawanyika na kusambaratika uhalisia mchungu ni wao kuendelea kutawala kupitia chaguzi za hadaa na nguvu ya vyombo vya dola. Tunachotakiwa kama raia wa nchi hii ni kuchagiza walete angalau wagombea wenye nafuu wenye akili na haya kiasi...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Nchimbi hakuwa chawa ndani ya CCM alikemea maovu

    Mzee Warioba ameweka wazi👇
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa Watanganyika ni machawa tu ndani ya CCM

  5. M

    JamiiForums Tanzania Kundi ndani ya CCM linalopinga yanayoendekea nchini hivi sasa lazima lisimame kuhesabiwa ili kuinusuru nchi

    Nyie wanaCCM msiokubaliana na yanayoendelea nchini, uoga wenu ndiyo kitanzi cha tsifa hili. Ni lazima mpandishe joto la kisiasa nchini ili muafaka wa kitaifa upatikane. Tokeni kwenye mashimo yenu ya woga na hofu, mje mtoke hadharani mseme, mkemee, mshauri na mtoe misimamo. La sivyo atanyakuliwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Simbachawene ameamua kuidai Tanganyika na kutaka uwajibikaji ndani ya CCM

    Nchi imechangamka Hii kweli ni account yake?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tunajua Dr. Nchimbi kalazimishwa kujiuzulu na hili linaweza kuwa ndio chanzo cha mpasuko mkubwa ndani ya CCM utakaomwondoa Samia madarakani

    Kama kuna jambo moja ambalo Samia linamshinda katika uongozi wake, ni kuwa na uwezo wa kuona mbali katika baadhi ya maamuzi yake na kuletea kujijengea maadui wengi sana wa kisiasa. Kwa mfano, hadi sasa, hawa huwezi tena kuwaita watu wa Samia, pamoja na wale wanaowaunga mkono Dr. Nchimbi...
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kilicho nyuma ya kujiuzulu kwa Nchimbi: Tetesi, ‘Yuda’, Katiba na mapambano ya ndani ya CCM

    Hatimaye, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, amejiuzulu wadhifa wake baada ya miezi ya tetesi, mijadala ya kisiasa na mashambulizi yaliyokuwa yakimlenga ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Taarifa ya kujiuzulu kwake imetumwa kwenye akaunti zake za X...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mpasuko ndani ya CCM unaenda kuliponya taifa letu

    WanaCCM mtandao ambao walishaligeuza taifa letu shamba la bibi watazidiwa nguvu. Wazalendo wa kweli watashinda. Mtifuano huu unakwenda kuliponya taifa letu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Organization wa CCM hajui hata bajeti ya Nchi, Ndani ya CCM kwa sasa hakuna wakukaa na Heche kwenye debate

    Fikiria kiongozi wa kamati kuu hajui hata trillioni 230 ni nini. Hakika CCM imefika mwisho.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CCM ndio inayotawala, ila wanaotawaliwa hawapo isipokuwa kundi la wauwaji pekee na 2030 tutadili nao

    Huu ndiyo ukweli uliopo Chawa mpoo!! 2030 au kabla ya hapo, wauwaji wote hamtajitetea, Kila aliyeshiriki kufanya mauwaji au kuhusika kwa namna yoyote Ile, hatakaa salama! TANZANIA yenye matumaini na Amani, ipo yaja
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ndani ya CCM hadi sasa, Dkt Nchimbi viatu vya Urais 2030 vinamtosha

    Yepi maoni yako?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Fumbo la Yuda Ndani ya CCM: Je, Unabii wa Mwalimu Nyerere Kuhusu Mabadiliko Unatimia Rasmi?

    Wakuu, salamu. Hivi sasa nchi nzima ipo kwenye mjadala mzito. Mitandao ya kijamii na majukwaa yetu hapa JamiiForums yamelipuka kufuatia kauli ya hivi karibuni ya Mbunge wa Tunguu (Zanzibar), Simai Mohammed Said . Katika mjadala wa bajeti bungeni, ameibua fumbo zito linalotikisa nchi kuhusu...
  14. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tittle ya file la vetting ILIYOFANYWA dhidi ya Peter Msigwa ndani ya ccm kimeandikwa: "MALAYA WA SIASA". Na lipo mezani kwa mama.

    Yawezekana msomaji unajiuliza mie sifi Leo wa jf nayakuaje ya mafile yaliyopo mezani kwa mama tena ndani ya ikulu mpya? Unapijiuliza hivyo jiulize niliwezaje enzi za jiwe kuwa namtajia mafile aliyokuwa anayarika ruka wakati wa UTAWALA wake dhidi ya operesheni yake ya kupasua jipu? Enzi hizo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Endapo Hussein Mwinyi atamaliza urais wake Zanzibar 2030 na akataka kuendelea Bara kama baba yake, ndani ya CCM yupo wa kumzuia ?

    Endapo Hussein Mwinyi atamaliza kipindi chake cha urais Zanzibar mwaka 2030 na akataka kuhamia siasa za Bara kama ilivyowahi kutokea kwa baba yake (rip), Je ndani ya CCM kutakuwa na nguvu au makundi yenye uwezo wa kumpinga au kumzuia kupata nafasi ya kugombea ?
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri Mama Samia anapoteza nguvu ndani ya CCM

    Pamoja na wote wanasiasa wanajaribu kufuata trend ya wananchi. Kwasasa tred ipo kwenye kudai haki, kupinga sheria mbovu, kupinga utekaji, undugu, u bara na u zanzibari, kupinga rushwa na kutaka haki kwa kila mtu bila kujali chama. Sasa kwa misingi hiyo hata ndani ya CCM kuna wengi hawapendi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Makundi 5 ndani ya CCM ni lazima mpasuko utatokea

    1. Team Samia: Hii imejaa wapambe wa Samia ambayo ni wanzanzibari ndani ya Serikali, IGP Wambura , Makonda na Mapolisi wengine wanaoendeleza utekaji. Hawa ndiyo Samia anawaamini. Sasa wanataka na Mwigulu naye awepo lakini Mwigulu yeye anapenda madaraka, anakula na kupuliza 2. Wana mtandao: Hawa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Makala: Rais wa kivuli, mvutano ndani ya CCM, nguvu inayoongoza machafuko Tanzania

    Makala ya uchunguzi iliyotolewa na Lens TV imeibua mjadala mpana baada ya kutoa maelezo ya kina kuhusu misukosuko ya kisiasa iliyoikumba taifa letu Tanzania kufuatia matukio ya Oktoba 29, 2025. Makala hiyo inadai kuwa machafuko hayo hayakuwa ya ghafla, bali yalitokana na mgongano wa muda mrefu...
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania Napendekeza: Tuwe na CCM Pekee Kama Ilivyo China na CCP, Vyama Vingine Visiwe Washindani Bali Vishiriki Ndani ya CCM

    Katika kipindi cha miaka ya karibuni, siasa za ushindani nchini Tanzania zimegeuka kuwa uwanja wa lawama, chuki, na migawanyiko badala ya kuwa chanzo cha mawazo ya maendeleo. Vyama vingi vya upinzani vimeshindwa kuja na sera mbadala zinazotekelezeka, badala yake vimekuwa vikijikita katika maneno...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Polepole athibitisha unafiki wa urafiki ndani ya CCM

    Polepole athibitisha unafiki wa urafiki ndani ya CCM! Yaani mtu ambaye mlikuwa karibu hutaki hata kujua hali yake hata baada ya Mama mzazi wake kuongea hujali hata kuuliza na hata kusema basi unamuombea na kumuombea shinikizo aachaliwe. Yaani muongeaji pekee ni Heche!!!! huko CCM kuna binadamu...
Back
Top Bottom