tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. Lukumbuja

    Tanesco

    Naomba kujua umbali wa kutoka nguzo moja ya tanesco kwenda nguzo nyingine ni mita ngapi
  2. Elitwege

    Tanesco mwongozo wa gharama mpya ya kuunganisha huduma ya umeme kuanzia tar 5/1/2022

    Jamaa wapo fasta huenda template ilikuwepo kabisa, wameprint tu lakini mbona hawajafafanua kuhusu vijijini? Alafu anasingizia katikati kuriharibiwa wakati maagizo ni ya kwake. Huwa nashangaa sana wanaosifia Makamba ni akili kubwa.
  3. Nyankurungu2020

    Watanzania tumepatikana, mawaziri watakaokwenda na Rais mpaka 2025 ni kama huyu aliyesaini mkataba wa bil 69 kufunga software Tanesco

    Kweli ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hivyo mama kwa kauli yake kuwa lazima aunde baraza la mawaziri ambalo anahisi litamuunga mkono kuchapa kazi mpaka 2025 lazima liwe la vijana kama huyu aliyemteua kuwa waziri wa nishati. Waziri ambae alipoingia tu madarakani Tanesco ikapata mkandarasi wa...
  4. S

    Rais Samia: Tanesco iliharibiwa hapa katikati eti mwananchi aunganishiwe umeme kwa sh 27,000/=

    Naangalia marudio ya hotuba ya rais hv sasa kupitia ITV rais Samia anatema cheche. Amegusia suala la kuunganisha umeme kwa sh 27,000/= na akasema kuwa haina uhalisia kabisa na haiwezekani. Amemtaka waziri wa nishati kuweka gharama zitakazowezesha Tanesco kujiendesha kwa faida. Tena akamtaka...
  5. gimmy's

    Ndugai shughulika na Tanesco Wanakata umeme hovyo pasipo ratiba Kibaigwa achana na malumbano ya mikopo ya nchi

    Wanabodi salaam, Nianze kwakusema natambua maelekezo tunayopewa kwamba nchi yetu inakumbwa na tatizo la umeme kutokana utegemezi wa umeme wa maji na kwa sasa nchi imekumbwa na hali ya ukame hivyo kuathiri upatikanaji wa umeme maeneo mengi nchini. Hata hivyo kinachoendelea kwenye Jimbo la mh...
  6. Zero Competition

    Tanesco hii tabia yenu ya kutukatia umeme wakazi wa Mbezi Louis usiku na kurudisha asubuhi inakera

    Hatuelewi ni kwani mnafanya hivi usiku wakati mchana kutwa nzima umeme haukatiki Usiku wa kuamkia Jana na leo mmekata umeme na kutufanya tuloe majasho na tusipate usingizi Kama kuna matengenezo ya usiku toeni taarifa na mtoe sababu kwanini hayo matengenezo yanashindwa kufanyika wakati wa...
  7. Suzy Elias

    CCM shtukeni, TANESCO wanatuharibia

    Chuki iliyopo mtaani kuhusu Tanesco kukata umeme hovyo ni kubwa na inatisha! Shughuli nyingi za kujikwamua kiuchumi hasa kwa vijana mfano Saloon, uchomeleaji wa vitanda, milango na madirisha unakwamishwa kwa kiwango cha kukatisha tamaa. CCM lisimamieni hilo kwa kuwataka wateule wanaohusika...
  8. Robidinyo

    Tanesco Mwanza kama kuna Mgao wa Umeme tangazeni, leo ni siku ya 4 mnakata umeme asubuhi mnarudisha jioni

    Kila ikifika asubuhi wanakata Umeme na kuurudisha jioni kwa siku ya 4 mfululizo TANESCO hata kama ni mgao ni mgao gani wa hovyo hivi? Hili shirika ni la hovyo sana
  9. M

    Hatimaye biashara za Generators na Solar zarejea kwa kasi ya ajabu nchini Tanzania

    Ni baada ya umeme kukata ovyo kila saa, bila mpangilio maalumu nchini, na kupelekea hasara za ovyo kwa Wananchi na kwa Taifa, hususani uharibifu mkubwa wa vyombo vitumiavyo umeme. Pia kuzorota na kudorora kwa shughuli za kiuchumi zitegemeazo umeme na kupelekea kudumaza na kushuka kwa pato la...
  10. Tajiri Tanzanite

    Rais Samia ukimuachia Mbowe huru Watakukejeli

    Hapo vip!! Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai. Niseme tu ,kama Rais...
  11. B

    TANESCO TANESCO TANESCO KUNANI?

    nawasalimu kwa jina la Jamuhuri kiitikio....... naomba kujuzwa tatizo la umeme linaloendelea sasa nchini mbona hatuna taarifa rasmi kutoka mamlaka husika au serikali? kuna mgao?????? MBONA SERIKALAI IKO KIMYA NA KUTUACHA WANANCHI MIDOMO WAZI. ANEJUA KINACHOENDELEA ATUJUZE HAPA.
Back
Top Bottom