Kwa ukatili huu Tanesco imerogwa

Magufuli 05

JF-Expert Member
May 7, 2023
943
1,988
Just imagine

Nchi Ina miaka 62 ya uhuru Bado Inagawa umeme kwa wananchi. Wewe mtanzania mwenzangu unayepiga kura kuchagua majitu yanayojiita viongozi. Hivi unaonaje? Kweli hii ni Sawa kugawiwa umeme?

Wananchi Wana viwanda, butcher, machine za kusaga, vituo vya radio, saloon, machine za mbao, n.k. wamefunga biashara zao kisa umeme. Je, watainuka vipi kiuchumi zaidi ya kudidimia?

Nini hasa hoja yenu ya mgawo wa umeme kwa serikali hii? Mwenye akili timamu anaona ninyi ni matapeli na si viongozi.

Mnamuongoza nani? Watanzania mnawatesa kwa Giza na kuwarusisha nyuma kimaendeleo.

Majitu hayahaya yakifa eti yanaombewa yapumzike mahala pema peponi.

Mimi nasema chomweni moto kabisa kwani nyinyi siyo viongozi ni watesi wa wananchi. Kura yangu haina chochote chanya zaidi ya maumivu.

Nchi nzima wananchi ni vilio tu. Uonevu tu. Power rationing? Shame on tanesco,shame on matapeli wote na viongozi uchwara.

" Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Unasikitika ukiwa wapi ndugu🤣🤣.

Nilidhani ni Tabata tu wametuweka gizani.

Laana ya milele iwaandame Tanesco.
 
Wafanyakazi wa Tanesco wawe makini wanaweza kuanza kutekwa na kuuwawa ili kuiamsha serikali. Serikali kuweni makini na haya malalamiko ya watanzania msiwasukume ukingoni wakakosa options.
 
Acheni kabisaa kuwaandama Tanesco wapumzishe kabisaa nyie wabongo zozo kuleni mnapopeleka mboga CCM.
 
Sisi ikitatuliwa shida ya mwananchi mmoja jukwaani tunashangili vibaya mnoo na kusema huyu ndio rais ajaye. Huku watanzani milioni 60 tupo gizani na hakuna kiongozi anaefanya chochote..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom