tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tanesco sasa mnaleta matangazo pika kwa umeme unit ndogo mumeshindwa kupunguza bei za unit na kuboresha umeme.

    Sio mpenzi sana wa TV ,Leo tarehe 2 nipo nyumbani nikaona niangalie habari ITV. Sasa naona tangazo la Tanesco linaitwa pika kwa umeme,Yani wanajisifu majiko yana tumia unit ndogo yana uzwa tanesco. Ina maana Tanesco wameshindwa kutatua shida za umeme kufanya umeme kununulika kwa unit ndogo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya uma kwa sasa yaige utendaji bora na ufanisi wa Tanesco

    Utendaji wa sasa wa wafanyakazi wa Tanesco katika kushughulikia dharura za umeme zinapotokea, kwa kweli zinatufurahisha wateja kwani ni za haraka na za ufanisi mno.Sijajaua nani aliyeleta mwamko huu katika shirika hili la umma amblo mwanzoni zilikuwa haziridhishi. Ila kama ni ujio wa mtendaji...
  3. P

    JamiiForums Tanzania KERO Teknolojia mpya ya LUKU (ya TANESCO) inakula sana umeme kuliko kawaida

    Kwa wale ambao mmefungiwa hizi mita mpya za digital ambazo wanazibadilisha kipindi mtakua mnajua kuhusu suala la UNIT kwenda speed kuliko zile mita za awali. Mfano mimi natumia umeme wa 50,000/ mwezi mzima na unit zinabaki kidogo. Lakini kwa sasa kwenye hizi mita mpya umeme huo wa 50,000...
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Fortunatus Makore ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu PSSSF, Plasduce Mkeli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TANESCO

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:- (i) Bw. Fortunatus Makore Magambo ameteuliwa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tanesco kuanza kuzima umeme ni hofu ya D9.?

    Haki na amani iwe kwenu. Je, huu mgao wa umeme wa Tanesco ulioanza leo ni moja ya hatua ya kimedani kuelekea hofu ya maandamo D9? Unarekebishaje miundombinu usiku? Unakoseje nishati hii 12hrs. TANESCO acheni uhuni, wengine umeme unamaana kubwa sana kuliko ujinga wenu wa kudhani mnahahujumu...
  6. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania KERO Wiki ya pili Sasa Jimbo la Kivule Mtaa wa Bombambili umeme unakatwa kila siku asubuhi na kurudishwa saa nane usiku

    Wiki ya pili Sasa Jimbo la Kivule Mtaa wa Bombambili umeme unakatwa kila siku asubuhi na kurudishwa saa nane usiku maisha yamekua magumu kwa wananchi ambao asilimia kubwa ni wajasiriamali. Hamna taarifa kama ni mgao wa umeme au ni upumbavu wa Watendaji wa Tanesco
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Tumesikitishwa na taarifa za shirika kuhusishwa na matukio ya Kihalifu

    Baada ya Padri Charles Kitima kulituhumu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuwa lilihusika katika jaribio la kutaka kuua maisha yake kwa kuzima umeme, shirika hilo limetoa majibu yake kama ifuatavyo: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaufahamisha umma kuwa kuna taarifa zinazosambaa kwenye...
  8. Inside10

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padri Kitima: Tanesco walishirikiana na watekaji kuzima umeme ili waniue

    "Skenario ya wasiojulikana hazijaanza hapa. Kwanza nilikuwa sijui, lakini baadaye nikajua. kupitia waliokuja kunivamia, kwanza TANESCO walizima umeme ili niuawe. Nikaona hizi mbinu ni kama mkakati umepangwa." Katibu Mkuu TEC
  9. J

    JamiiForums Tanzania KERO Uzembe wa TANESCO wakwamisha ujenzi wa barabara-Dar

    TANESCO kata ya Kibamba -Dar, inafanya uzembe mkubwa sana kwa kushindwa kuhamisha nguzo za Umeme kwa muda kwenye barabara ya Hondogo iliyokuwa inajengwa. Hii imesababisha Mkandarasi kuhamisha vifaa vya kazi na kupeleka sehemu nyingine, na kuacha kero kubwa kwa wakazi hasa mvua inaponyesha...
  10. Trainee

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO wapo rafu sana! Nyaya na vifaa wanavitelekeza tu bila kujali

    Yaani kama ni mradi basi watu wa TANESCO wanajua kutia hasara. Nitagusia mambo matatu Kwanza kabisa hawa jamaa wakibakiza vifaa kwenye kazi zao sioni wakivifuata wala kuvitunza. Nyaya kila sehemu wameacha, machuma chuma kibao wanayatelekeza ovyo Pili hawa vijana wa TANESCO wa siku hizi naona...
  11. complex31

    JamiiForums Tanzania Tanesco uzeni umeme kwa “BUNDLES” vifurushi

    Napendekeza umeme uuzwe kwa vifurushi kama vya simu Mfano umeme wa 10,000/= upate unit 30 ambazo unapaswa kutumia ndani ya siku 7 Hii itapeleka umeme unaozalishwa utumike wote na kuacha kama sio kuondoa ubanaji wa matumizi kadri siku zinapokaribia kuisha kifurushi Hii itapelekea pia kutumika...
  12. Intricate

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Ukonga mnazingua

    TANESCO mnazingua sana. Mmekata umeme baadhi ya maeneo ya Kitunda toka jana saa 3 asubuhi na mpaka leo muda huu hamjarudisha. Mkipigiwa simu namba zenu za hotline, hakuna jibu la maana mnatoa. Mnatarajia watu waishi vipi bila ya umeme kwa masaa 24?
  13. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Nimenunua Umeme muda huu, gharama zimepanda kimya kimya kutoka Tsh 125/unit hadi Tsh 312/ unit kwa mita za kawaida (majumbani)

    Umeme umepanda ghafla na bila taarifa kwa zaidi ya asilimia 150%, na hii imefanywa kimya kimya! Kama kipindi kile walivyoongeza 500 kwenye tozo ya jengo bila taarifa, baada ya kelele wakaiondoa, Umeme wa 1000 wa matumizi ya kawaida nilikuwa nikipata unit 8.1 sawa na sh 125 kwa unit, leo umeme...
  14. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia kwenye kampeni zake amesema ataigawa TANESCO kwa waarabu kuongeza ufanisi

    Wakuu nimekutana na hizi taarifa je kuna ukweli wowote huko?
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TANESCO kuna Changamoto ya Manunuzi ya Umeme Kupitia Yas, Vodacom na NMB

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kuna changamoto kwenye manunuzi ya umeme (LUKU) inayosababisha wateja kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu ya Yas, Vodacom na benki ya NMB hivyo kwa sasa tunawashauri wateja kutumia mitandao ya simu na njia za kibenki...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza kukosekana kwa huduma ya umeme Mbagala na Kigamboni

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME MBAGALA NA KIGAMBONI Jumatatu, 08 Septemba 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa maeneo ya Mbagala na Kigamboni kuwa kumetokea hitilafu ya umeme leo tarehe 08 Septemba 2025 katika njia ya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nimenunua electric generator ndogo, wahuni wanaweza kuzima Tanesco yao

    Msiamini umeme wa Tanesco, wakizima nchi nzima itakuwa shida. Tutakosa live release............... Nawashauri muwe na alternative source of electricity
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaani kwetu hakuna maji siku ya 3 na TANESCO nao wamekata umeme masaa 24 sasa

    Naona wamemiss makelele hawa jamaa. Hadi sasa DAWASA day 3 leo hamna tone la maji limetoka mtaani kwetu na wakati TANESCO nao wameona wasiwe nyuma, yamepita masaa 24 sasa wamezima. Ngoja tuone kama ni kina cha maji kimeshuka au jua kali nguzo zimeoza.
  19. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Arusha kuna tatizo gani, Jumamosi tulishinda gizani, leo tena mmeshaakata umeme, ni hujuma kwa Rais?

    Kuna shida gani huku Arusha hasa huku Arumeru, kwa siku umeme unakatika zaidi ya mara 10, Jumamosi siku nzima hatukwa na umeme, leo mapema wameshaukata, tumeambiwa nchi ina ziada ya umeme mpakaa wa kuuza nje ya nchi, Arusha kuna tatizo gani kwanini tukatiwe umeme hivi. Kam tatizo ni uongozi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Arumeru-Arusha umeme mmeupeleka wapi? Tuko gizani tangia asubuhi, mbn hakuna taarifa?

    Siku ya ya leo tangia asubuhi hatuna umeme huku Arumeru mkoani Arsha, tatizo ni nini? Mbona hakuna hata taarifa, sasa leo tutakula wapi, kula yetu ni umeme. Tafadhali turudishie umeme.
Back
Top Bottom