tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. Intricate

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Ukonga mnazingua

    TANESCO mnazingua sana. Mmekata umeme baadhi ya maeneo ya Kitunda toka jana saa 3 asubuhi na mpaka leo muda huu hamjarudisha. Mkipigiwa simu namba zenu za hotline, hakuna jibu la maana mnatoa. Mnatarajia watu waishi vipi bila ya umeme kwa masaa 24?
  2. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Nimenunua Umeme muda huu, gharama zimepanda kimya kimya kutoka Tsh 125/unit hadi Tsh 312/ unit kwa mita za kawaida (majumbani)

    Umeme umepanda ghafla na bila taarifa kwa zaidi ya asilimia 150%, na hii imefanywa kimya kimya! Kama kipindi kile walivyoongeza 500 kwenye tozo ya jengo bila taarifa, baada ya kelele wakaiondoa, Umeme wa 1000 wa matumizi ya kawaida nilikuwa nikipata unit 8.1 sawa na sh 125 kwa unit, leo umeme...
  3. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia kwenye kampeni zake amesema ataigawa TANESCO kwa waarabu kuongeza ufanisi

    Wakuu nimekutana na hizi taarifa je kuna ukweli wowote huko?
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TANESCO kuna Changamoto ya Manunuzi ya Umeme Kupitia Yas, Vodacom na NMB

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kuna changamoto kwenye manunuzi ya umeme (LUKU) inayosababisha wateja kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu ya Yas, Vodacom na benki ya NMB hivyo kwa sasa tunawashauri wateja kutumia mitandao ya simu na njia za kibenki...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza kukosekana kwa huduma ya umeme Mbagala na Kigamboni

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME MBAGALA NA KIGAMBONI Jumatatu, 08 Septemba 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa maeneo ya Mbagala na Kigamboni kuwa kumetokea hitilafu ya umeme leo tarehe 08 Septemba 2025 katika njia ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nimenunua electric generator ndogo, wahuni wanaweza kuzima Tanesco yao

    Msiamini umeme wa Tanesco, wakizima nchi nzima itakuwa shida. Tutakosa live release............... Nawashauri muwe na alternative source of electricity
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaani kwetu hakuna maji siku ya 3 na TANESCO nao wamekata umeme masaa 24 sasa

    Naona wamemiss makelele hawa jamaa. Hadi sasa DAWASA day 3 leo hamna tone la maji limetoka mtaani kwetu na wakati TANESCO nao wameona wasiwe nyuma, yamepita masaa 24 sasa wamezima. Ngoja tuone kama ni kina cha maji kimeshuka au jua kali nguzo zimeoza.
  8. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Arusha kuna tatizo gani, Jumamosi tulishinda gizani, leo tena mmeshaakata umeme, ni hujuma kwa Rais?

    Kuna shida gani huku Arusha hasa huku Arumeru, kwa siku umeme unakatika zaidi ya mara 10, Jumamosi siku nzima hatukwa na umeme, leo mapema wameshaukata, tumeambiwa nchi ina ziada ya umeme mpakaa wa kuuza nje ya nchi, Arusha kuna tatizo gani kwanini tukatiwe umeme hivi. Kam tatizo ni uongozi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Arumeru-Arusha umeme mmeupeleka wapi? Tuko gizani tangia asubuhi, mbn hakuna taarifa?

    Siku ya ya leo tangia asubuhi hatuna umeme huku Arumeru mkoani Arsha, tatizo ni nini? Mbona hakuna hata taarifa, sasa leo tutakula wapi, kula yetu ni umeme. Tafadhali turudishie umeme.
  10. PAYE

    JamiiForums Tanzania Wateja wapya TANESCO kukopeshwa majiko ya Umeme

    Serikali imeliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) liharakishe mchakato wa kuwakopesha wateja wapya majiko ya umeme. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ametoa agizo hilo wakati wa uzinduzi wa programu ya utoaji majiko ya umeme kwa bei ya ruzuku kwa wafanyakazi 11,000...
  11. kiraza

    JamiiForums Tanzania KERO Tanesco ni Wafalme wa huduma Mbovu Tanzania

    Customer Care ya Tanesco ni Geresha! Mwanzo ilikuwa mtu unapiga simu kwenda kwenye tawi la mtaa uliopo kisha mafundi wanakuja kurekebisha tatizo, Walipoona wanasumbuliwa sana ndipo wakaamua kuweka namba moja (Dodoma makao makuu) ambayo kimsingi namba hiyo ni geresha ya kuonekana nao wanasikiliza...
  12. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko azindua programu ya ugawaji majiko ya umeme kwa bei ya ruzuku kwa wafanyakazi wa TANESCO

    DKT. BITEKO AZINDUA PROGRAMU YA UGAWAJI MAJIKO YA UMEME KWA BEI YA RUZUKU KWA WAFANYAKAZI WA TANESCO 📌 Lengo ni kuchochea Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 📌 Asema matumizi ya umeme kwa ajili ya kupikia ni nafuu zaidi ukilinganisha na mkaa; Wananchi wahamasike 📌 Amtaja Rais Samia...
  13. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Mwinyi alipa deni lote la Zanzibar lililodaiwa na TANESCO

    Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameupiga mwingi katika sekta ya nishati ya umeme visiwani Zanzibar na kufanikisha kulipa deni la shilingi bilioni 291, ambalo Zanzibar ilikuwa ikidaiwa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Gulioni...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Katavi (hasa Mpanda) wanakata umeme bila taarifa, ni kawaida kukatika asubuhi kisha unarudi jioni

    TANESCO wamekuwa na kawaida ya kukata umeme bila mpangilio, hali ambayo inasababisha wanaunguza vitu vyetu, hiyo imekuwa tabia yao hawasemi tatizo, wanaporudisha wanaweza kuendelea na "mchezo" wa kukata na kuwasha ndani ya muda huohuo, hii inakera sana. Kuna wakati ratiba zao za kukata umeme...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa unapata hela kila DAWASA na TANESCO wanapoomba radhi kwa kukukosesha huduma, ungekuwa na milioni ngapi saivi?

    Wakuu, Nadhani saivi ningekuwa na mjengo wangu wa maana huku Mbezi Beach, pamoja na ndinga kaliiiiiii. Jamani, hakuna taasisi/shirika la kiserikali linakera kama DAWASA Wizara ya Maji na TANESCO 😫😫😫, yaani mtu ungekuwa na mamlaka unazifutilia zote mbali kila kitu kinaanza upya kwa kuwa na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa EROLINK upande wa Call Center ya TANESCO hatuingiziwi stahiki zetu za NSSF

    Mimi na Wafanyakazi wenzangu wa EROLINK hasa ambao tupo upande wa Call Center ya TANESCO hatuwekewi stahiki zetu za malipo ya NSSF zetu licha ya kwamba tumekuwa tukikatwa kila mwezi. Ahadi zimekua nyingi lakini hakuna kinachofanyika, tumekwisha kuongea na Afisa Uhusiano anaeshugulika na mafao...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Ajali ya moto Lindi haijaathiri upatikanaji wa umeme

    TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453, DODOMA, TANZANIA. SIMU 0748550000 TAARIFA KWA UMMA TUKIO LA AJALI YA MOTO KATIKA OFISI YA TANESCO MKOA WA LINDI Jumapili, 20 Julai, 2025. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake na umma kwa ujumla kuwa asubuhi ya leo, majira ya saa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO Arumeru-ARUSHA Umeme mbona tuko gizani, wapi umeme?

    Kwanini umeme unakatika kwa siku hata zaidi ya mara 10 kuna nini? Km leo kuanzia saa 12 hakuna umeme tuko gizani, kuna nini mbona hatuelewi. Maisha gani haya ya kuishi gizani zama hizi na umeme mnatuambia upo mpk wa ziada?
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tanesco waomba radhi kukatika kwa Umeme gridi ya Taifa

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa rasmi ya hitilafu kubwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa, iliyotokea majira ya saa 2:36 asubuhi na kusababisha kukatika kwa huduma ya umeme katika mikoa yote inayounganishwa na gridi hiyo. Kwa mujibu wa TANESCO, timu ya wataalamu inaendelea...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TANESCO yapata hasara ya milioni 770 kutokana na wizi wa miundombinu

    “Tunahamasisha ulinzi shirikishi wa miundombinu kwa kushirikiana na wananchi katika kutoa taarifa kuhusu vitendo vya kihalifu kama vile wizi wa umeme, uharibifu au wizi wa vifaa vya umeme. Hili ni jukumu letu sote kama wananchi na wadau wa maendeleo,” Irene Gowelle Mkurugenzi wa Mawasiliano na...
Back
Top Bottom