TANESCO ni wakaidi na wana kiburi mbele ya Rais na Wananchi wake kwa kauli zinazokinzana kila siku na kuendelea ukataji wa umeme

ruukada

Member
Feb 24, 2014
67
117
Awa jamaa mie nadha nia na madhumuni ki kumchafua Rais Samia Suluhu na Doto Biteko. Haiwezekani Taasisi inasemwa kila sehemu kuanzia Bungeni, mitaani, kwenye mitandao, nyumba za ibada lakini jamaa hawajigusi wanaendelea na mgao kama kawa.

Na mie nasema wanafanya makusudi kwa kuwa atakuja mjinga apa ataanza kuwatetea.

Huwezi kuwatetea watu ambao hawana sababu moja ya tatizo kila kukicha wanakuja na sababu mpya.

Mara ukosefu wa maji, mara Hitilafu, mara umeme unaozalishwa hauwendani na maitaji, mara maji hayaendi kwenye mabwawa ya umeme, mara upungufu wa gesi na maji, mara uwizi wa transformer mara mitambo chakavu.

Waongo waongo!! si elewi kwanini Rais halioni ili.
 
Hakuna anaemhujumu raisi, Raisi ana mamlaka yote, kama anaona watu hawatendi vizuri anatakiwa asuke iyo sehemu upya. Ninachokiona Samia hili ameribariki, hana habari.
 
Awa jamaa mie nadha nia na madhumuni ki kumchafua Rais Samia Suluhu na Doto Biteko. Haiwezekani Taasisi inasemwa kila sehemu kuanzia Bungeni, mitaani, kwenye mitandao, nyumba za ibada lakini jamaa hawajigusi wanaendelea na mgao kama kawa.

Na mie nasema wanafanya makusudi kwa kuwa atakuja mjinga apa ataanza kuwatetea.

Huwezi kuwatetea watu ambao hawana sababu moja ya tatizo kila kukicha wanakuja na sababu mpya.

Mara ukosefu wa maji, mara Hitilafu, mara umeme unaozalishwa hauwendani na maitaji, mara maji hayaendi kwenye mabwawa ya umeme, mara upungufu wa gesi na maji, mara uwizi wa transformer mara mitambo chakavu.

Waongo waongo!! si elewi kwanini Rais halioni ili.
Rais mwenyewe muongo, hivi mna nini mnachokiona kwa mwanasiasa hasa wa ccm?

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom