Serikali vijana wasio na ajira wameanza kunyanyua nondo!

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,220
56,862
Serikali fanyeni namna watu wapate kazi watu wameanza kunyanyua nondo huku mtaani!,punde si punde wataanza kusema na shingo zetu kwenye vichochoro.. watu watabanwa mbavu watoe vya watu! Mi sisemi mengi
 
Serikali fanyeni namna watu wapate kazi watu wameanza kunyanyua nondo huku mtaani!,punde si punde wataanza kusema na shingo zetu kwenye vichochoro.. watu watabanwa mbavu watoe vya watu! Mi sisemi mengi
Unawaongelea vijana gani hao wajinga wajinga wasiojitambua. Vijana wanaodhani Diamond kabahatisha maisha bila kujitoa. Kwa ufupi vijana wa Tanzania ni wajinga tena wakose ajira wajinga sana tena sana.

Wengi hawataki kufanya kazi kutwa nzima Kushinda vijiweni na kugongea msosi kwa wazazi wao. Serikali inabidi ipitishe sheria ukifia 18 uondoke kwa wazazi wako.
 
Unawaongelea vijana gani hao wajinga wajinga wasiojitambua. Vijana wanaodhani Diamond kabahatisha maisha bila kujitoa. Kwa ufupi vijana wa Tanzania ni wajinga tena wakose ajira wajinga sana tena sana. Wengi hawataki kufanya kazi kutwa nzima Kushinda vijiweni na kugongea msosi kwa wazazi wao. Serikali inabidi ipitishe sheria ukifia 18 uondoke kwa wazazi wako.
Mkuu makasiriko sana yamekujaa polepole...

Vijana tunaamini diamond ni freemason halafu pia Millard ayo ni usalama!, haitoshi salimu kikeke pia ni usalama haiishii hapo na yunusi wote hao ni usalama..😂 alisikika mlevi mmoja akipayuka!.
 
Back
Top Bottom