abdul nondo

Abdul Nondo (full name often Abdul Omary Nondo) is a prominent Tanzanian opposition youth leader and activist, currently serving as the National Chairperson of the Youth Wing (Ngome ya Vijana) for the opposition party ACT Wazalendo.

He has been a vocal critic of the government, particularly under President Samia Suluhu Hassan, focusing on issues like youth empowerment funds, economic opportunities for young people, informal sector challenges, transparency in government programs (e.g., the Shilingi Bilioni 200 youth/women empowerment funds), and alleged human rights abuses.

Background and ActivismEarlier in his career (around 2018), he was a human rights defender and Chairperson of the Tanzania Students' Networking Programme (TSNP) while a student at the University of Dar es Salaam.

He advocated for student rights, democracy, and against police brutality (e.g., criticizing extra-judicial killings during political events). He faced legal troubles, including charges from which he was acquitted in 2021, allowing him to resume studies and rebuild his life.


He has been involved in multiple reported abductions/kidnappings, which he and his party attribute to state-linked actors as retaliation for his criticism:In March 2018: Abducted by unknown assailants and released in a remote area far away.

Most notably, in late November/early December 2024:

Allegedly abducted from a bus station in Dar es Salaam while campaigning, severely beaten, and dumped at Coco Beach (or near party HQ in Magomeni) after about 18 hours. He was hospitalized with injuries. This incident drew international attention from outlets like BBC, Front Line Defenders, and others, amid a pattern of opposition abductions (including the killing of another figure in September 2024). Police launched investigations but opposition sources claim no accountability.


In interviews (e.g., on Jambo TV in February 2026), he described the torture as painful and memorable, rejected claims that such events were staged for publicity, and vowed to continue speaking out: "If they want to kill me, let them kill me, but I cannot keep quiet. This is my country."
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Katiba Mpya wale wanaojifanya Miungu watu katika ofisi za Umma watatuheshimu

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ya Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Omary Nondo ameeleza hayo wakati akihutubia katika kongamano la ACT Wazalendo la Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani lililofanyika katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam, Agosti 12, 2026.
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ado, Mpina, Wakili Maduhu Wakishiriki Maadhimisho ya ACT ya Siku ya Vijana Duniani, leo 12/08/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=vm0FWYIKQv8 Leo tarehe 12 Agosti 2026, Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo chini ya Mwenyekiti wake Abdul Nondo inaadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kufanya Kongamano katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Lissu ni Mwenyekiti wa chama kikubwa cha upinzani, aachiwe huru kesi yake ni ya kisiasa

    Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Julai 26, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ya chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Omary Nondo amewasilisha mapendekezo makuu matano yanayopaswa kutekelezwa na Serikali: Kuachia Huru Tundu Lissu: Alisisitiza kuwa kuachiwa kwa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Kauli ya Nchimbi kuhusu Katiba Mpya ni hadaa za Serikali kwa Umma

    Abdul nondo anasema..... Ngome ya vijana ACT wazalendo tumesikia kauli ya Makamu wa Rais Dkt.Emmanuel John Nchimbi aliyoitoa tarehe 24/Julai/2026 kuhusu hoja ya KATIBA MPYA. Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel John Nchimbi anasema serikali inataka KATIBA MPYA, Rais Samia anataka KATIBA MPYA na CCM...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Utoaji mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo nchini unafanyika kwa ubaguzi sana

    Mwanasiasa Abdul Nondo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo amezungumzia taratibu zinazotumika kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo kutoka kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akisema utoaji wake ni wa kibaguzi. Wanafunzi walioshtakiwa ~...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Maisha yetu ni siasa, huwezi kujitenganisha na siasa

    "Vijana kukosa ajira ni serikali kutokuamua kuchukua hatua. Uwepo wa ufisadi na ubadhirifu ni serikali kutokuamua kuwajibisha, wameamua kujilinda na kukaa kimya. Maisha yetu ni siasa, kila siku huwezi kujitenga na siasa. Aristotle, mwanafalsafa mashuhuri anasema mwanadamu ni kiumbe cha kisiasa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Baba Levo ampa siku 7 Abdul Nondo za kuomba radhi kwa kumzungumzia vibaya na asipofanya hivyo atalipa milioni 550

    Baada ya Mwenyekiti wa Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo, leo Mei 23, 2026 kutoa tuhuma mbalimbali dhidi ya Mbunge wa Kigoma Mjin Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo) ikiwemo kudai kuwa ubunge wake aliupata kwa ubabe na kwamba “alipachikwa” ushindi katika uchaguzi wa mwaka 2025, Mhe. Baba...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Nitamfikisha Baba Levo Mahakamani kwa kuniambia nilijiteka, aniombe radhi

    https://www.youtube.com/live/F26wOjys36A?si=1PcO6uI7Cfci1rwJ Abdul Nondo amezungumza hayo leo Mei 23, 2026 Jijini Dar es Salaam. kwenye Hoteli ya Land Mark Hotel , Riverside Ubungo. KUFUNGUA MASHTAKA DHIDI YA CLAYTON REVOCATUS CHIPANDO (BABA LEVO) KWA KUNICHAFUA, KUNIDHALILISHA, KUNIVUNJIA...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nani zaidi kisiasa kati ya Tundu Lissu na Abdul Nondo?

    Tumalize huu ubishi ulioenea kuwa kati ya Mwenyekiti wa ngome ya vijana ACT, Kijana machachari Abdul Nondo na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa kisiasa nani zaidi?... Mimi sina upande wowote. Tupige kura.
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Serikali ichangie Tsh 400 kwenye kila lita ya mafuta kama ruzuku. Tozo jumla zimefika 1,113

    Msemaji wa Ngome ya Vijana wa ACT-Wazalendo, Abdul Nondo, ametoa tamko kali akiibana serikali kuchukua hatua za haraka kudhibiti kupanda kwa bei ya mafuta ambayo sasa imefikia takriban shilingi 4,200 kwa lita ya petroli na dizeli. Katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Mei 8...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo wa ACT Wazalendo anatoa neno leo Mei 8, 2026

    https://www.youtube.com/live/1EUtCsWFvso
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Mikopo ya Wizara kuna ubabaishaji, nimeomba mkopo mwenyewe, wameandika tumeomba Watu 10

    SUALA LA MIKOPO KWA VIJANA CHINI YA WIZARA YA MAENDELEO YA VIJANA BADO NI CHANGAMOTO Ngome ya Vijana ACT Wazalendo tumeona inayoitwa orodha ya wanufaika wa maombi ya mkopo kupitia mfuko wa Maendeleo ya Vijana chini ya Wizara ya Maendeleo ya Vijana iliyotolewa tarehe 28 Aprili, 2026. Itakumbukwa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Bilioni 28 za Matumizi mengine za Wizara inajumuisha posho, mafuta ya gari, chai na vitumbua n.k

    Utangulizi Ngome ya vijana ACT-Wazalendo kwa niaba ya vijana, tumefuatilia hotuba ya bajeti ya Mheshimiwa Waziri Joel Arthur Nanauka aliyoitoa jana tarehe 20 Aprili, 2026 kuhusu Mpango na Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Vijana kwa Mwaka 2026/2027. Katika ufuatiliaji wetu...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Torture unayopata ukiwa chini ya watekaji inaumiza sana. Kuna matukio mawili ya mateso hadi leo nayakumbuka

    Wakuu, Hapa Abdul Nondo ambaye ni Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT anasimulia matukio mawili ambayo yalimtisha sana baada ya kutekwa mwishoni mwaka 2024 mara baada ya kumalizika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Soma Pia: Nondo: Kumekuwa na mfululizo wa Matukio ya utekaji lakini serikali na...
  15. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nondo: Serikali itoe fidia kwa familia waliofiwa ndugu zao, walipata ulemavu kutokana na yalitokea kwenye maandamano oktoba 29

    Akizungumza na Wanahabari leo, Novemba 12, 2025, jijini Dar es Salaam, Nondo amesema inapaswa kutolewa fidia kwa watu walipoteza wapendwa wao kutokana na kuwawa katika maandamano, lakini waliopata ulemavu na hata walipoteza mali zao. Aidha kwa upande mwingine Nondo amesema maridhiano ya kweli...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Abdul Nondo awavaa UVCCM 'Kuweni na Utu' acheni kuhalilisha vifo vya raia

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama cha ACT Wazalendo Taifa, Abdul Nondo, amelaani vikali vifo vya wananchi waliouawa kwa risasi wakati wa maandamano yaliyofanyika nchini, akisema kuwa hakuna sheria inayoidhinisha mtu kuuawa kwa kutokana na kile alichokitaja ‘kuandamana bila kibali’...
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nondo: Kumekuwa na mfululizo wa Matukio ya utekaji lakini serikali na bunge ipo kimya, hakuna uchunguzi

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo Taifa, ambaye pia ni Meneja wa Kampeni wa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, Abdul Nondo, amesema miaka mitano iliyopita ya uongozi nchini imeshuhudia ongezeko la matukio ya utekaji watu bila hatua madhubuti kuchukuliwa, huku...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Abdul Nondo: Zitto ana uwezo wa kupambana na Mafisadi

    Abduli Nondo ambaye ni Meneja Kampeni wa Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma mjini, Zitto Kabwe. Amewaomba wananchi kumrejesha bungeni ili akapambane na ufisadi kulingana na historia yake katika kupambana na vitendo hivyo. Nondo ametoa kauli hiyo wakati akimnadi mgombea huyo katika mkutano wa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nondo: Kigoma hatupeleki wagonga meza (Baba Levo), Tunapeleka Wapambanaji (Zitto)

    Abdul Nondo, Meneja wa Kampeni wa Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, amecheza sauti za zamani za msanii Baba Levo mbele ya wananchi wa Kata ya Bangwe, zikionesha kauli zake za kumsifia Zitto Kabwe Akizungumza na wakazi hao, Nondo amesema “Zitto amekuwa sauti ya...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Abdul Nondo amjibu Mwanasheria Garatwa kuhusu suala la Luhaga Joelson Mpina

    ABDUL NONDO AMJIBU MWANASHERIA GARATWA KUHUSU SUALA LA MH.LUHAGA JOELSON MPINA. Salaam, ndugu Mwanasheria Garatwa. Nimeona andiko lako na uchambuzi wako juu ya suala la kuenguliwa mgombea wetu wa kiti cha Urais ,Mh.Luhaga Joelson Mpina huku ukielekeza lawama kwa chama chetu kufuatia kinachoitwa...
Back
Top Bottom