Senegal wameitumia vema demokrasia ya uchaguzi na kuwapiga chini wazee wakongwe wa chama tawala na kumchagua kijana mbichi Diomaye Faye.
Diomaye Faye hana background yoyote ya kiuongozi.
Kumchagua Faye ni sawa na kumchagua Abdul Nondo wa ACT kuwa rais kwasababu tu ya kuichukia CCM.
Sasa tusubiri kuona je, Wasenegal wamebutua ama wameupiga mwingi? Vijana huwa hawaaminiki hawa. Ni wa hovyo sana.
Kumbukeni akina Makonda, Sabaya, Hapi, Mnyeti, Gambo, etc walivyowatendea watanzania enzi za giza.