kilimo bora

  1. Mhina Martin

    Utajiri upo katika kilimo bora cha mpunga chukua nondo hizi

    KILIMO BORA CHA MPUNGA: A: kuandaa shamba shamba lilimwe vizur na kusawazishwa liwe level (Hallow) Piga dawa ya magugu kabla ya kupanda Kama Bafoseti weka mifereji ya Maji vizuvizur Andaa majaruba mapema yawe level kupitika Kwa maji B: UANDAAJI WA MBEGU NA KUPANDA Kwa kilimo Cha nchi kavu...
  2. Kaka Ibrah

    SoC02 Fahari ya jamii ni kilimo cha kisasa

    Kilimo ni kitendo cha kupanda ama kuotesha mbegu ya zao husika na kuvuna mazao kwa wakati muafaka. Kitendo hiki huambatana na jukumu la kuulea mmea katika kipindi chote cha kukua kwake hadi pale utakapo toa mazao na kukomaa. Ukiachilia mbali nguvu ya teknolojia, viwanda, biashara na ajira...
  3. O

    SoC02 Kilimo chenye Tija

    Awali ya yote nipende kuwashukuru waanzilishi na wasimamizi wa jamii forum, kwa mchango wao mkubwa wnaotoa na kusaidia jamii katika kuhakikisha na kuleta mabadiliko katika kila sekta. Ningependa kutoa maoni yangu katika kuelezea Ni jinsi gani tunaweza kutumia kilimo katika kuleta tija kwenye...
  4. Bwana Mpanzi

    Ulizia chochote kuhusu Upatikanaji wa miche ya Matunda, viungo na tiba

    Habari za jioni wanajamvi, Kumekuwa na woga au maswali kwa wadau wengi yanayowapa ukakasi kuwekeza katika sekta ya kilimo hasa kutokana na wimbi la upatu au kilimo ambacho hakieleweki uelekeo wake. Kwangu unaweza kuuliza kuhusu miche, wapi inaweza kufanya vizuri kwanini isifanye, namna ya...
  5. Nchiyanguu

    Ng’ombe wa maziwa anauzwa

    Ninauza ng’ombe wa maziwa ni mitamba wenye mimba kubwa wawili, wapo chanika, Dar es salaam. Bei: 2,700,000 ( wote wawili) Contact: wasap/call/sms; 0713908963
  6. S

    Kilimo bora chenye tija na maendeleo

    Asilimia zaidi ya 80 ya watanzania wote tunajishughulisha na kilimo ambacho ndio uti wa mgongo wa uchumi wetu, Ikiwa hivi ndivyo mbona hatuna maendeleo kuanzia kwa mkulima, jamii, wala taifa kwa ujumla?' Ni kwa sababu bado hatuna kilimo chenye tija na kutuletea maendeleo Sasa tunaenda kuona...
  7. malunde_mc

    SoC01 Kilimo ni nguzo mama kuelekea uchumi wa viwanda

    Kilimo ni uzalishaji wa mazao kwenye mashamba.Kilimo kina maana pana sana inayojumuisha uzalishaji wa mimea,ufugaji wa mifugo pamoja na uvuvi.Tanzania takribani 70% ya wakazi wake hujishughulisha na kilimo. Zifuatazo ni faida za kilimo. Kupatikana kwa chakula :-Kilimo kinawezesha kupatikana...
  8. K

    Kilimo bora na salama kwa kutumia dawa na mbolea za kibailojia (Biofertillizers and Bio pesticides)

    Habarini wana jukwaa... Mbolea za kemikali na dawa za kimekali limekuwa ni tatizo kubwa linalopelekea mabaki ya hizi dawa au mbolea katika mazao hususa ni mboga za majani. Hali hii ni mbaya maana inaweza kupelekea matatizo kwa miaka ya baadae mfano magonjwa kama kansa. Hivyo tunahitaji mbolea...
  9. Kasomi

    Misingi na kanuni za kilimo bora

    Misingi na kanuni za kilimo bora. Neno Msingi lina maana ya mwanzo wa kufanya shughuli yeyote inayokusudiwa ili kuweza kufikia malengo. kwa hiyo katika kilimo ipo misingi muhimu ifuatayo: Kuwa na mipango thabiti inayotekelezeka kabla ya kuanza kufanya kazi yeyote ya maendeleo ni vyema, kuweka...
  10. Mack84

    Jifunze kuhusu kilimo bora cha mazao. Maswali na ushauri inaruhusiwa

    UTANGULIZI Mahindi ni zao muhimu la chakula, na ni aina ya nafaka inayotumiwa zaidi kama chakula,uhususani katika matifa ya Afrika, na yamekuwa yakitumika zaidi na nchi zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara. Ni chakula cha matumizi ya nyumbani kwa idadi ya watu inayokadiriwa kuwa asilimia 50. Ni...
  11. Sky Eclat

    Wataalamu wa kilimo tengenezeni encyclopaedia ya kilimo bora cha mazao

    Encyclopaedia ni kitabu kinachotoa taarifa kwa alphabeti. Wataalamu wetu mkiwa na wazo la kutengeneza kitabu cha muongozo wa kilimo bora cha mazao mbali mbali utakua ni msaada mkubwa kwa jamii. Kukusanya taarifa na kuchapisha ni gharama. Lakini mkiuza kitabu kimoja kwa laki 2 italipa. Huku...
  12. H

    Ifahamu miti ya mastafeli (mastakafeli) na mitopetope

    Moja ya matunda yaliyoonekana ni ya kiswahili na tumekuwa nayo na kuishi nayo katika jamii yetu ni matunda haya mawili kutoka katika miti tajwa hapo juu. Japo inatokea katika familia moja ya Annonacea ila kwa kiiingereza hili kundi la miti jamii hii huitwa Custard Apple trees. Tuchambue pamoja...
  13. Erick_Otieno

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Wakuu salamu, Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya umwagiliaji. Nimenunua power tiller ambayo nategemea itanisaidia sana kwenye kilimo cha umwagiliaji...
Back
Top Bottom