Jeshi la Polisi limuite Abdul Nondo na wenzake kwa mahojiano ili kujua nia yao ni nini, na mahala pa kuelekea katika maandamano ili wasivuruge amani

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,009
20,683
Ni vyema Jeshi la Polisi likampelekea Abdul Nondo na waandamanaji wenzake ambao wanaweza kufika kumi au ishirini, wito wamuhoji nia yake, na kisha wamuelekeze kwamba, kiusalama, ni vyema maandamano yake yakaishie Mwembeyanga au Ofisi za ACT Wazalendo, wakapokewe na Kiongozi wao mkuu. Hata Manzese, watasababisha usumbufu tu usio wa lazima

Jukumu la Jeshi la Polisi ni kuangalia pia muandamanaji anataka kupita wapi, na huko anakopita je, hatahatarisha Uhuru wa watu wengine. Polisi wanaweza kumsaidia Nondo kwa sababu bado ni mtoto mdogo, sijui kama ana miaka hata 15, ila tu jina lake ndio limfanye ajione ni nondo.

Juzi tumeona Kenya wenye katiba mpya pia walizuiwa kuingia katikati ya mji na kwenye makazi ya Rais
 
Juzi tumeona wenye katiba mpya pia walizuiwa kuingia katikati ya mji na kwenye makazi ya Rais
Usiwafundishe kazi Polisi kwani Wao hawajui? Na wewe Andamana kwani NANI KAKUZUIA?
 
Ni vyema Jeshi la Polisi likampelekea Abdul Nondo na waandamanaji wenzake ambao wanaweza kufika kumi au ishirini, wito wamuhoji nia yake, na kisha wamuelekeze kwamba, kiusalama, ni vyema maandamano yake yakaishie Mwembeyanga au Ofisi za ACT Wazalendo, wakapokewe na Kiongozi wao mkuu. Hata Manzese, watasababisha usumbufu tu usio wa lazima

Jukumu la Jeshi la Polisi ni kuangalia pia muandamanaji anataka kupita wapi, na huko anakopita je, hatahatarisha Uhuru wa watu wengine. Polisi wanaweza kumsaidia Nondo kwa sababu bado ni mtoto mdogo, sijui kama ana miaka hata 15, ila tu jina lake ndio limfanye ajione ni nondo.

Juzi tumeona Kenya wenye katiba mpya pia walizuiwa kuingia katikati ya mji na kwenye makazi ya Rais
Mtu amemaliza chuo unasema anamiaka 15 .

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vyema Jeshi la Polisi likampelekea Abdul Nondo na waandamanaji wenzake ambao wanaweza kufika kumi au ishirini, wito wamuhoji nia yake, na kisha wamuelekeze kwamba, kiusalama, ni vyema maandamano yake yakaishie Mwembeyanga au Ofisi za ACT Wazalendo, wakapokewe na Kiongozi wao mkuu. Hata Manzese, watasababisha usumbufu tu usio wa lazima

Jukumu la Jeshi la Polisi ni kuangalia pia muandamanaji anataka kupita wapi, na huko anakopita je, hatahatarisha Uhuru wa watu wengine. Polisi wanaweza kumsaidia Nondo kwa sababu bado ni mtoto mdogo, sijui kama ana miaka hata 15, ila tu jina lake ndio limfanye ajione ni nondo.

Juzi tumeona Kenya wenye katiba mpya pia walizuiwa kuingia katikati ya mji na kwenye makazi ya Rais
Acha ujinga wewe mmetuzoea sana, Kwa yanayoendelea nchini no zairi wananchi tumechoka, IPO siku watu hawataomba kibali Bali mtastukia wapo ikulu kama Kule Asia .
 
Wewe utakuwa ni masalia ya wale wasiojulikana, wakati wenzsko wananyakuliwa huenda ulikuwa chooni hivyo haukuonekana.
 
Tunaandaa maandamano ya kumpongeza Mama, tutaelekea Kinondoni Biafra, au Mwembeyanga, hatutaki kuingilia shughuli za watu wengine za kujipatia kipato.

Nyie Chadema mtaandamana lini kwenda Tabora na Singida kurina asali?
Sasa mkuu umesema maandamano yenyewe ya watu kumi hadi ishirini sasa watasababisha usumbufu gani kwa watu wengine?

Idadi hiyo ya waandamanaji si sawa tu na mtoko wa familia moja kwenda matembezi!
 
Ndio maana tunataka wapelekwe sehemu nzuri isiyokuwa na shida
 
Acha ujinga wewe mmetuzoea sana, Kwa yanayoendelea nchini no zairi wananchi tumechoka, IPO siku watu hawataomba kibali Bali mtastukia wapo ikulu kama Kule Asia .
Hamna kitu kama hicho, wote wako kwenye database, minara ya simu inachora ramani ya movements zao
 
Back
Top Bottom