mpunga

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Financial Analyst

  Uwekezaji wa kulima Mpunga na kufanya usambazaji

  Habari wana JF, Kuna hii idea ningependa kujua moja mbili tatu. Natumaini itasaidia wengi humu. Kufanya uwekezaji katika kilimo cha mpunga kwa kununua ardhi, kuanza kulima, kufanya umwagiliaji, kuvuna, kuhifadhi, kuwauzia wateja wa jumla wataokuja shambani kwako na wewe mwenyewe kusambaza...
 2. Mr SGR

  Connection ya soko la mpunga

  Wakuu nina gunia 500 za mpunga uko Kahama nauza bei ya jumla 94000/= kama ukichukua zote, rejareja ni 98,000/= karibuni wadau Unaweza kunipa connection ukapata kamishen yako namba yangu 0757243944. Karibuni kwa uzi huu muhimu
 3. msigazi

  Wapi naweza kufanya kilimo cha mahindi karanga mahindi maharage na mpunga?

  Nimekuwa mjini muda mrefu sana Nimeona kukaa mjini hailipi Napanga niende kijijini nikalime Niepukane na matozo ya serikali ambayo yanaletwa kila uchao Niko kanda ya ziwa Unanishauri nihamie wapi ambapo naweza kufanya kilimo cha mahindi karanga mahindi maharage na mpunga Na nikafanikiwa...
 4. KeyserSoze

  Kisa cha Panya, Wakulima na Mbegu za Mpunga (Tozo, Wafanyabiashara na Watuamiaji)

  Hapo sio zamani sana kulikuwa na jamii ya Panya iliyopenda sana kula mbengu za mpunga, hali ilikuwa mbaya sana kwa wakulima, panya wenyewe na hizo mbegu, sababu kutokana na wingi wa panya ilipelekea kupunguza idadi ya mbegu za kupanda hali iliyopelekea wakulima kufa kwa njaa na kupunguza nguvu...
 5. Pascal_TZA

  Bilionea wa mpunga mkulima aliyeitwa na Bill Gate, gari za kifahari, jumba kiwanda

  Karibu nikukutanishe na mkulima kutoka Jijini Mbeya Rafael Saimon Ndelwa, Mmiliki wa Kampuni ya Rapha Group iliyo Uyole Mkoani hapo. Rapha ni miongoni mwa Mabilionea wa Mkoa wa Mbeya na utajiri wake unatokana na Kilimo cha mpunga, kilimo ambacho kilimfanya Bilionea Bill Gate amuite ili waweze...
 6. MPUNGA MMOJA

  Ili ulime heka 10 za mpunga, kitaalam unahitaji uwe na sh milioni 10

  Kuhudumia heka 10 ya #mpunga kitaalam kabisa wastani inataka uwe na mtaji wa 10m kwa msimu. Kilimo ni fedha kilimo ni uwekezaji wa akili na muda. Usiingie kwenye kilimo cha mpunga kama huna fedha na muda. N:b Na kukatika mtaji ni jambo la kuweka kichwani.
 7. M

  Anayeuza vinu vya kukoboa mpunga

  Kama inavyosomeka hapo juu, Naomba yeyote anayeuza vinu vidogo vya kukoboa mpunga aje inbox, pia yeyote mwenye Mota 3 phase hp 20-Used tuwasiliane. Nataka kuanzisha biashara ya kukoboa mpunga vijijini. Ahsante
 8. L

  Afrika haitamsahau “baba wa mpunga chotara”Yuan Longping

  “Kuwanufaisha watu wote wa dunia ni moja ya matumaini yangu ya maisha.”“Baba wa mpunga chotara” (yaani hybrid rice) Yuan Longping alisema hayo alipoulizwa kwa nini amehimiza upandaji wa “mpunga chotara” barani Afrika. Katika mkutano wa kwanza wa wakuu wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na...
 9. Bukali

  Nataka kufanya biashara ya kukoboa mpunga na machine za kisasa kama za kichina

  Ndg wanaboard, naombeni ushauri wenu maana ninawazo la biashara. Nipo Geita, mtaji nilio nao ni 25M, nimepata machine ya kukoboa 25t/h, ya Kisasa. Ambayo wanauza 8700usd. Inakuwa na: 1. Elevators zake 2 2. Destoner 3. Cleaner. Pia inaoption ya kupata brown rice. Shida yangu ni ushauri, je...
 10. MC44

  Mpunga wa nchi kavu

  Wanandugu, Naomba kupata namna ya kufanya kilimo cha nchi kavu. Kama kuna mahali kuna bandiko zuri naomba kuunganishwa nalo. Sijawahi kulima mpunga popote.
 11. Pastory Kimaryo

  Nipige booster kwenye shamba langu la mpunga?

  Habari wana JF, Tangu nimwage mpunga wangu mbegu fupi Salu ya miezi minne, imepita miezi miwili ila nataka niupige booster ili ukue vizuri japo nilitupia urea kidogo wiki kama tatu zilizopita, naombeni ushauri wanamageuzi wenzangu wa kilimo. Natanguliza shukrani!
 12. D

  Kwanini wizara ya ardhi DSM iliamua kupima mbuga na mabonde yote ya kulima mpunga kuwa sehemu ya makazi?

  Ukizunguka mkoa wa Dar es salam! Maeneo yote yenye chemchem za maji ndiyo yaliyopimwa viwanja rasmi kwa ajili ya makazi ya binadam! Je; ni kwanini wizara iliacha kupima maeneo salama ikakimbilia kupima mashamba ya mpunga kuwa makazi? Mbezi beach yote, kunduchi, ununio na mbweni kote huku...
 13. L

  Wasaliti Leo Mwenzenu Anapiga Mpunga

  Kwa wale ambao ni wasaliti ikiwa ni kwenye ndoa zao,au ktk patnership za biashara au kazi nawakumbusha tuu kwamba mwenzenu Yuda leo ameishaingiza madola yake haramu toka jana. Endeleeni na hizo tamaa zenu ila nawakumbasha zitawakosti siku moja
 14. MPUNGA MMOJA

  Powertiller (kubota ) trekta ya matairi mawili iliyokuja kufanya mapinduzi ya kilimo cha mpunga Tanzania

  POWERTILER ni aina ya trekta ya tairi mbili, kina uwezo wa kulima eneo kubwa kwa muda mfupi. Ni kifaa cha kulimia kilirichorahisishwa zaidi kusaidia Mkulima wa chini na kati. Ni kilimishi kilichokuja kufanya mapinduzi ya kilimo hasa Mpunga ingawa kinatumika kulima mashamba ya Mahindi, Maharage...
 15. MPUNGA MMOJA

  Bei ya chenga iko juu kuliko mpunga

  Msimu huu umekua na maajabu sana kwenye bei ya Mpunga. Kwa masoko ya Ubaruku,Igulusi na Chimala debe moja la Chenga sh 12,000/= mpka 15,000/= huku bei ya Mpunga kwa kipimo cha debe kama hicho sh 7000/= mpaka 9000/= kutegemea na mbegu.
 16. MPUNGA MMOJA

  Bei mbovu kuwahi kutokea ya zao la mpunga yadumu misimu miwili Tanzania

  Kwa miaka takribani 15 sasa hakujawahi kutokea kuanguka kwa bei ya Mpunga. Kilimo cha zao la Mpunga kwa msimu wa mwaka 2020/ 2021 kinaleta mashaka makubwa. Bei ya wakati wa mavuno kwa gunia la serikali la debe 6 kwa msimu 2020 kipindi cha mavuno Tsh 50,000 hii ni bei ya mwezi wa sita...
 17. J

  Rais Magufuli afungua Kiwanda cha Kukoboa Mpunga Morogoro. Amlaumu Mbunge Abood kwa kuua ajira Mjini Morogoro

  Rais Magufuli amefungua kiwanda cha kukoboa mpunga Kihonda Morogoro. Rais Magufuli amempongeza mwekezaji wa Kiwanda hicho na kumlaumu mbunge wa Morogoro mjini mh Abood kwa kupewa viwanda viwili na Serikali na yeye badala ya kuviendeleza akavitumia kukopea benki na kununua mabasi. Rais Magufuli...
 18. Kuku kwiyoyo

  Ni kiasi gani cha fedha kinahitajika kwa mtu anayetaka kulima mpunga?

  Habari yenu wanajamii.nimekuja humu kuomba ushauri kwa faida yangu pamoja na kwa faida ya wengine. Kama kichwa cha habari kinavyosema...Nahitaji kufahamu kwa mtu anaetaka kulima kilimo cha mpunga je atatumia gharama za shilingi ngapi kwa kuzingatia vitu vifuatavyo 1)gharama kukodi shamba la...
 19. Kuku kwiyoyo

  Ni gharama kiasi gani kinaitajika kwa mtu anaetaka kulima mpunga

  Habari yenu wanajamii.nimekuja humu kuomba ushauri kwa faida yangu pamoja na kwa faida ya wengine. Kama kichwa cha habari kinavyosema...Nahitaji kufahamu kwa mtu anaetaka kulima kilimo cha mpunga je atatumia gharama za shilingi ngapi kwa kuzingatia vitu vifuatavyo 1)gharama kukodi shamba la...
 20. albab

  Msaada majiko yanayotumia pumba za mpunga au maranda ya mbao

  Waungwa nawasalimu. Ningependa kuulizia haya majiko yanayotumia pumba za mpunga/maranda ya mbao ambayo hutumiwa sana na wachoma chips hasa maeneo ya DAR... Niliyaona mwaka 2017 Ila kwa bahati mbaya huku mkoani nilipo sijayaona kabisa na gharama za mkaa ni kubwa kidogo.. Ningependa kujuzwa ...
Top Bottom