injili

 1. BASIASI

  MSANII WA INJILI AJINYONGA RWANDA AKIWA MAHABUSU AISEE ALIWAHI KUTISHIA KUMUU RAISI.ALIKAMATWA MPAKANI

  NAAMINI TUKIFIKA MBINGUNI TUTAJIBU UKWELI HALISI MSANII WA INJILI KIZITO AMEJINYONGA AKIWA.MAHABUSU RWANDA INASEMEKANA WALIMKAMATA AKIWA ANAKIMBIA MPAKANI MWA Rwanda na Burundi na ALIKUWA ANAENDA kujiunga na kundi LA waasi aisee huko nyumaa aliwahi hukumiwa.miaka.KUMI kwa kutishia kumuua...
 2. beth

  Rwanda: Msanii maarufu wa nyimbo za injili Kizito Mihigo akutwa amejinyonga ndani ya Kituo cha Polisi

  Polisi ya Rwanda imetangaza kwamba msanii maarufu wa nyimbo za injili, Kizito Mihigo amekutwa amejinyonga kwenye Kituo cha Polisi. Kwa mujibu wa tangazo la Polisi, maiti ya msanii huyo imepatikana katika chumba alichokuwa anazuiliwa kwenye Kituo cha Polisi mtaa wa Remera, mjini Kigali. Polisi...
 3. J

  Injili na Qur'an ni Neno la Mungu siyo makaratasi yanayoshikika mkononi!

  Ni swala la uelewa tu na wala halihitaji nguvu kubwa wala kutunisha msuli. Ni kwamba hakuna binadamu mwenye uwezo wa kulichanachana au kulichoma moto NENO la Mungu. Kwahiyo tusikuze mambo ambayo kimsingi tulipaswa kuyapuuza. Si vema, busara wala haki kuruhusu mihemko ya kidini isiyo ya lazima...
 4. wilcoxon

  Tunaopenda nyimbo za injili tukutane upendo TV

  Ujio wa hii channel mpya ya upendo TV kwakweli nimeufurahia, zinapigwa nyimbo za injili muda wote. Kwa sisi wapenda nyimbo za injili hili ni la kupongezwa Pia jamaa wanapiga nyimbo zote bila ubaguzi tofauti na wale wenzetu wa j/mosi, hapa naona kabisa wanafanya kile YESU alichoagiza, kutangaza...
 5. KijanaHuru

  Mtu aliyelaaniwa kuishi hadi kiama

  Habari Wana JF Nilipenda sana huu uzi ukae jukwaa la Jamii Intelligence Lakini nimeshindwa kutokana na matatizo tunayofanyiwa kule kila uzi ukiuweka unakuwa sio approved na ukizingatia uzi unakuwa hauna shida yoyote, basi wacha tukutane hapa hapa tu. Sasa naendelea na hoja kama kichwa...
Top