nyimbo za injili

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Injili ambazo zinashusha Wingu

    Je ni nyimbo gani ambazo ukisikiliza zinakusogeza karibu na Mungu Binafsi kuna nyimbo kadhaa ambazo kwa kweli zimekuwa baraka sana katika maisha yangu ziko ngingi kutoka kwa watumishi wa Mungu ila ziko ambazo wakati wote nikizisikia zinanivuta sana karibu na Mungu Mtumishi wa Mungu wa hapa...
  2. V

    JamiiForums Tanzania SIKILIZA HUU WIMBO kutoka kwa mwombaji Bora wa nyimbo za INJILI Africa na duniani Mbarikiwa Mwakipesile

    https://youtu.be/mRS35Oemxe8?si=yoM-HCCm6EZk9Hqazq
  3. petro matei

    JamiiForums Tanzania Waimbaji wa nyimbo za injili wengi wao ni aibu kwa Kristo (NENO) wanaliabisha kanisa

    1 WAKORINTO 6 1 Je! Mtu wa kwenu akiwa ana daawa juu ya mwenzake athubutu kushitaki mbele ya wasio haki, wala si mbele ya watakatifu? 2 Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo? 3 Hamjui ya kuwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

    Kuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo. Nadhani...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Muimbaji Maarufu wa Nyimbo za Injili Miriam Chirwa Aolewa Rasmi

    Huyu hapa ndo mume Mtarajiwa wa Muimbaji wa nyimbo za injili, Miriam Chirwa. Na hapa ni alivyo fika kwenye send off nyumbani Kwa akina Miriam. Ndoa ni furaha ndugu zangu si mnajionea wenyewe Kwa Wana ndoa hapa.
  6. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Wimbo mwingine wa ukombozi kutoka kwa Malkia wa nyimbo za Injili Rose Muhando linaitwa Achia.

    Rose Muhando alikuwa mbele ya muda. Ukisikiliza hili jimbo na kwa yanayo endelea nchini shetani anaye zungumziwa humu ni rahisi sana kumjua na Rose Muhando anasisitiza shetani aachie kila kitu katika nchi yetu. Ukiachana na lile jimbo la vibe ya maandamano la makomborero linalotamba kwa sasa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Nyimbo za Injili Chimbo letu ni hili

    Kuna wakati roho yako inahitaji zaidi ya maneno – inahitaji wimbo. Wimbo unaogusa nafsi, unaobeba uzima, unaoinua moyo wako kutoka uchovu wa maisha hadi kwenye faraja ya kiroho. Kama unapenda nyimbo za Injili—za kuabudu, kusifu, na kuimarisha imani—basi tumekuwekea kitu cha kipekee. Karibu...
  8. Setfree

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa nyimbo za Injili acheni kumpigia Mungu kelele

    Naongea na nyinyi mnaojiita wasanii wa nyimbo za Injili (Gospel Artists), vikundi vya kwaya na bendi. Nyinyi mnaotunga na kuimba nyimbo za Injili, nyimbo za sifa na kuabudu lakini maisha yenu ni ya mchanganyo! Maisha ya uvuguvugu. Nyinyi mnaopenda kumwimbia Mungu lakini dhambi hamtaki kuziacha...
  9. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Maneno aliyoyaongea Nabii Mkuu kipindi anampa gari Muimbaji wa nyimbo za injili yalikuwa ndiyo zawadi na siyo gari: Mwimbaji alishindwa kutafsiri

    Rejea maneno haya ya nabii Mkuu wakati anampa Mwimbaji gari "Mimi napenda kuuona uzuri wa watu na kuuyoa nje". Kwa haraka sana gari hapo limekuja la kiwakilisho tu katika ulimwengu wa vitu (material world) ila ukweli ni kuwa yule Mwimbaji alipewa mguvu ( energy). Waliomshauri kuchoma gari...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mama mzazi wa Martha Mwaipaja alia kwa uchungu, akithibitisha kuwa mwanae huyo hamsaidii kutokana na mzozo na mdogo wake Beatrice

    Mama mzazi wa Martha Mwaipaja amezungumza na kuthibitisha kuwa yale yaliyosemwa na mdogo wake, Beatrice Mwaipaja kuwa muimbaji huyo wa 'Hatufanani' hamsaidii. Akizungumza kwa uchungu kwenye mahojiano na Wemu Online TV, Mama huyo amesema alizaa watoto watatu wakiwemo Martha na Beatrice...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Elshamah Washira mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya anayetia mashaka kutokana na tabia zake

    Waimbaji wa nyimbo za Injili waendelea kuchafua tasnia ya nyimbo za Injili kwa kuharibikiwa kila kukicha hasa katika maswala ya ngono Tata Hivi karibuni tumesikia mwimbaji wa Injili Martha Mwaipaja katika sakata lake la kujihusisha na uchafu wa ngono tata zisizohusisha jinsia mbili tofauti kwa...
  12. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha nyimbo za injili "Makoma"

    MAKOMA Makoma ilikuwa bendi ya muziki wa Injili kutoka nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Makoma wanaimba kwa Kilingala, Kiingereza na Kifaransa, na wakati mwingine Kiholanzi na Ujerumani. Makoma iliundwa na: Nathalie Makoma Annie Makoma Pengani Makoma Tutala Makoma Duma Makoma Martin...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania ''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

    Kuna wanawake ni nusu watu nusu hayawani. Takriban wiki moja iliyopita muimbaji wa nyimbo za injili Marco Zabron wa kundi la Zabron Singers alifariki jijini Dar es salaam. Mapema wiki hii shughuli ya mazishi ikawa inafanyika huko Kahama mkoani Shinyanga kwao na marehemu. Marehemu alikuwa...
  14. Mributz

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Bonny Mwaitege afariki dunia katika ajali ya barabarani

    Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania Bonny Mwaitege amefariki dunia katika ajali ya barabarani. Bony alifariki katika ajali hiyo baada ya kutoka katika tamasha. Ni mmoja wa mwanamuziki wa nyimbo za injili anayejulikana Afrika Mashariki. Atakumbukwa zaidi kwa nyimbo zake kama vile...
  15. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Hizi nyimbo za injili Zina nguvu sana huu wimbo wa Bony Mwaitege Soma nusu unitoe chozi

    Sio mtu wa Imani sana ila nikiwa low napenda kusikiliza gospel songs Kuna namna Zina nilift juu napata afueni ya magumu nayopitia kihisia. Kuna huu wimbo wa Bony Mwaitege-Soma ni wa muda ila nilikuwa nauchukulia poa kumbe bonge la inspirational song nimepata wasaa kusikiliza kwa makini...
  16. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Shetani pia hucheza nyimbo za injili

    Akitokea malaika mmoja ambae pia ni mbwa mwitu mwenye vazi la kondoo akianzisha pambio basi hata mqshetani mwenye huimba na kucheza Nachomaanisha ni hiki akitokea mwana JF kusema nina gari basi wote watakao comment ni kama vile wanamagari Akitokea mtu akasema ukimwi upo wote watakao comment ni...
  17. tpaul

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu wa Nyimbo za Injili (Gospel Music Special Thread)

    Bwana Yesu asifiwe! Nimeanzisha huu uzi maalumu na mahususi kwa wapenzi wa nyimbo za injili. Hapa tutakuwa tunabadilishana nyimbo mbalimbali za injili za sasa na zamani. Huenda kuna mtu anautafuta wimbo fulani wa injili bila mafanikio. Basi ataomba wimbo huo hapa jukwaani na atatumiwa na...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

    Mwimbaji huyo Sifa Boniventure Bujune (25) ni Mkazi wa Isyesye anatuhumiwa kuimba wimbo unaojulikana kwa jina la “Tanzania Inaelekea Wapi?” wenye maudhui ya uchochezi na kisha kuurusha katika Mitandao ya Kijamii pamoja na YouTube. Kamanda wa Polisi Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema Mtuhumiwa...
  19. Championship

    JamiiForums Tanzania Waimbaji kumi bora wa nyimbo za injili kuwahi kutokea hapa Tanzania mpaka sasa

    Vigezo vilivyotumika: 1. Nyimbo zinazoendana na neno la Mungu 2. Kuwepo kwenye imani thabiti ndani ya Kristo 3. Kuwa na malezi ya kiroho na kanisa analohudhuria kama mshirika 4. Muendelezo wa ukuaji wa huduma, ujuzi na ubora wa kazi. Kumbuka, hatulinganishi karama bali namna karama...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kusikiliza nyimbo za injili(dini) wakati 'mnangonoka' kwa wanandoa na 'mnazini' kwa wasiooana ni jambo jema?

    Tena kuna wakati unasikia kabisa mtu anakandamizwa(anangonolewa) vilivyo na sauti ya kuulilia mkurudungu wa aliye kifuani kwake ukiisikia dirishani, ila hapo hapo tena unasikia playlists za gospel songs tupu zinaimba. Kwa mnaojua mna imani hii ni sawa?
Back
Top Bottom