ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,054
- 49,743
Majiji yote makubwa na Mikoa Maarufu Ina Standi Kuu za Kisasa kabisa na Sasa Arusha inaenda Kujengwa Standi Kubwa lakini hakuna ambae anataja Mbeya.
On top of that Barabara za mitaani ndio kabisaa ni vumbi tupu.Nikajua Tactic itakuja na package nzuri ya Barabara za mitaa kumbe hole,eti Km 12 ni nini kwenye Jiji lililojaa vumbi Kila sehemu? Nikaangamia stand hakuna Cha maana zaidi ya blaa blaa ya kastendi Cha daladala Airport ya zamani.
Tanga Ina Standi kubwa ya Kange.
Mwanza ina Standi Kubwa 2.
Dodoma ina Standi Kubwa Nanenane.
Dar ndio usiseme kuna Magufuli, Mwenge nk
Morogoro kuna Msanvu.
Iringa Kuna Stand kubwa.
Sumbawanga Kuna Standi Kubwa ya Katumba
Arusha ndio hiyo inaenda kujengwa Pale Bondeni City
Swali: Kwa nini Mbeya licha ya kuwa Jiji, Namba 3 kuchangia Uchumi Tanzania ila hakuna hata Mpango wa kujengwa Stand kubwa na ya Kisasa yenye hadhi ya Jiji? Kwa nini hakuwekwi Mpango wa Barabara za mitaa za kutosha?
My Take
Mbeya kuwa na kina Mwambukusi wengi isiwe ndio fimbo ya kuadhibu watu wake.
=====
"Pia kuna stendi za mabasi kwa sababu Miji inakuwa na mahitaji ya Stendi pia ni makubwa tunakwenda kujenda stendi za mabasi 26. Ile stend ya Mabasi ya Arusha ipo katikati ya Mji halafu ni ndogo sana. Mahitaji ni makubwa kwahiyo tunakwenda kujenga stendi kubwa sana Jijini Arusha" Humphrey Kanyeye - Mratibu wa Miradi ya Benk ya Dunia -TARURA
Appreciation
Kelele zimesaidia ,Hatimaye tenda ya ujenzi imetangazwa 👇 👇