Natafuta kazi halali nipo Mbeya

Miss Iron

Member
Oct 1, 2023
8
16
Habari za wakati huu wakuu..?

Mimi ni binti wa 20's..nimemaliza chuo Mwaka huu Bsc with Education(Biology and Chemistry)

Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kazi ama sehemu ya kufanya kwa kazi hususani kufundisha masomo taja hapo juu...

kwa mtu yeyote aliye na connection ya shule inayohitaji mwalimu wa masomo taja usisite kuniunganisha..
CV na mawasiliano yangu vikihitajika nakutumia PM...

Napatikana mbeya mjini
 
Natamani nikupambanie huku vijijini kwenye vishule binafsi ila najua sitasita kukutongoza kitu ambacho roho yangu haitaki kufanya kwasasa
 
Habari za wakati huu wakuu..?

Mimi ni binti wa 20's..nimemaliza chuo Mwaka huu Bsc with Education(Biology and Chemistry)

Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kazi ama sehemu ya kufanya kwa kazi hususani kufundisha masomo taja hapo juu...

kwa mtu yeyote aliye na connection ya shule inayohitaji mwalimu wa masomo taja usisite kuniunganisha..
CV na mawasiliano yangu vikihitajika nakutumia PM...

Napatikana mbeya mjini
Jaribu kuomba pale "Vanessa secondary school" ipo isyesye
 
Habari za wakati huu wakuu..?

Mimi ni binti wa 20's..nimemaliza chuo Mwaka huu Bsc with Education(Biology and Chemistry)

Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kazi ama sehemu ya kufanya kwa kazi hususani kufundisha masomo taja hapo juu...

kwa mtu yeyote aliye na connection ya shule inayohitaji mwalimu wa masomo taja usisite kuniunganisha..
CV na mawasiliano yangu vikihitajika nakutumia PM...

Napatikana mbeya mjini
Nina Vijana wangu wapo Wawili mapacha ila ni Standard 1 pale MAGUFULI , kama uko tayari naomba uje uwafundishe kwa ule muda wa ziada hapa Nyumbani na kuhusu malipo ni makubaliano ..
 
Ungekuwa upo dsm ningekupa mchongo sema upo mbali ..... binafsi nisinge kushauri maswala ya kufundisha utachelewa kutoboa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom