watano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Akhi

    JamiiForums Tanzania Operator watano wa backhoe wanahitajika Iris Zanzibar

    Ndugu wana JF habari ndo hii wano ndugu zao au wewe mwenyewe operator wanahitajika haraka sanaa Mimi nakuunganisha moja kwa moja na boss
  2. aise

    JamiiForums Tanzania Hii nguo Kila nikiivaa nakutana na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia

    Wakuu anayetaka hii nguo aje hapa kigogo aichukue. Nilinunua visiwanI kule Kizimkazi, ila hapa mjini lazima nikutane na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia, Siyo wanaume tu, mpaka baadhi nakutana na wanawake wameivaa 🤔. Nilitaka nikaibebee zege ila nimeona si jambo zuri maana...
  3. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Mama ajifungua Watoto Mapacha Watano Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Wakuu, Nimeisikia hii taarifa kwamba kuna mama kajifungua watoto mapacha watano hospitali ya Taifa Muhimbili.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tanga: Watu watano mbaroni kwa kuzua taharuki kuibiwa Nyeti

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kumshambulia na kumjeruhi mtu pamoja na kuzua taharuki katika jamii kufuatia matukio mawili tofauti yaliyotokea katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo. Akizungumzia matukio hayo, Jeshi la Polisi lilieleza kuwa tukio la kwanza...
  5. Foffana

    JamiiForums Tanzania Tukielekea kufunga mwaka taja Members wako bora watano kwa mwaka huu 2025-Top 5

    Tupo ukimgoni wa mwaka huu uliokuwa na shuruba nzito nzito Kwa hakika ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mpaka leo imetukuta tukiwa tunavuta pumzi yake Hawa ni members bora kabisa kwangu kwa huu mwaka 2025 1. Binti wa zamani at the top 2. Manyanza 3. Sizinga 4. Chief-Mkwawa 5...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Madereva watano wa Ambulance wakamatwa kwa kusafirisha abiria

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata madereva watano wa magari ya kubebea wagonjwa kwa tuhuma za kubeba abiria kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Alex Mkama, amesema madereva hao waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Kagera wamekamatwa kufuatia...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mwanaume mwema aitwaye Khalid pamoja na mabinti zake watano: Asmaa (mkubwa), Layla, Huda, Nur, na Yasmin (mdogo zaidi).

    Aliishi mwanaume mwema aitwaye Khalid pamoja na mabinti zake watano: Asmaa (mkubwa), Layla, Huda, Nur, na Yasmin (mdogo zaidi). Baada ya kifo cha mkewe, Khalid alipata maradhi sugu yaliyomzuia kufanya kazi. Hapo ndipo Asmaa akabeba jukumu la kulea nyumba na kumtunza baba yake kwa moyo wa upendo...
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Njombe ni sawa na wanaume watano wa Kinondoni

    Mwanamke wa Njombe ni sawa na wanaume watano wa Kinondoni. Ukiongeza Anko T kama kifungashio.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Unajua kwamba Yanga inagonga 90? Lakini, haijawahi Kuwa Miongoni Mwa Wababe Watano Bora Kwa Soka Barani Afrika..!

    Miaka 90 si haba..! Kwa michuano ya ndani kama NBC na CRDB si haba inayo mafanikio pia ingawa inajulikana michuano ndani kuna janja janja nyingi, sasa Kimataifa tupoje.? Simba yenyewe inaendelea kujivinjari nafasi za juu Ranking za CAF Kwa Ubora wa Kusakata Kabumbu barani Afrika, wakati fulani...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu amorim hana back up plan? Hata katimu kadogo hivi anaanza na mabeki watano

  11. G Sam

    JamiiForums Tanzania Wameshindwa kulinda mgombea mbele ya polisi watano wataweza kulinda kura mbele ya jeshi? Wamepewa maneno wakagonga tano wakaondoka zao

    Haya matapeli banah. Yameenda mbele ya geti la tume wakakutana na polisi hata nyota moja hana. Huyu polisi akaanza kuwaambia sijui mshenga sijui barua. Mara si mnaongea tu yanaisha? Wakaitika ndiyo mzee wakagonga tano na huyo polisi wakaondoka zao. Ila mgombea wao ndiyo kakatwa hivyo. Sasa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kondoo 17 wauawa, watano wajeruhiwa na fisi wanne Itilima

    Hofu imetanda kwa wakazi wa Kijiji cha Gambasingu wilaya ya Itilima mkoa wa Simiyu baada ya fisi wanne kuvamia zizi la kondoo na kuua mifugo 17 huku wengine watano wakijeruhiwa katika shambulio la usiku wa manane, leo Agosti 20, 2025. Shambulio hilo lilitokea majira ya saa sita usiku katika...
  13. Doto12

    JamiiForums Tanzania Unaendesha gari Lina abiria 20, kituo cha kwanza wakashuka abiria 10, kituo cha pili wakashuka abiria watano. Nitajie umri wa Dereva

    Naomba jibu ukiweza nitakupa like kama zote
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wanahabari watano wa Al Jazeera wauawa katika shambulio la Israel huko Gaza

    Shirika la habari la Al Jazeera limesema kuwa waandishi wake watano wameuawa katika shambulio la Israeli karibu na Hospitali ya Al-Shifa mjini Gaza Miongoni mwa waliouawa ni waandishi Anas al-Sharif na Mohammed Qreiqeh, pamoja na wapiga kamera Ibrahim Zaher, Mohammed Noufal na Moamen Aliwa...
  15. Surya

    JamiiForums Tanzania Manabii (Wahubiri) watano maarufu zaidi Tanzania.

    Hawa watu watano ni kwa Mujibu wa Akili mnemba. Manabii watano wakubwa na maarufu Tanzania walio hai hadi sasa Nchini Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine nyingi barani Afrika, kuna viongozi wengi wa kiroho wanaojitambulisha kama "manabii" na wanavutia wafuasi wengi. Huduma zao mara...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wababe watano wa soka Afrika ! Hawa hawataanzia hatua za awali michuano ya CAF Champions League

    Timu za Simba SC, Al Ahly, Esperance, Mamelodi Sundowns na RS Berkane hazitaanzia hatua za awali kwenye michuano ya CAF Champions League msimu wa 2025/26. Timu hizo pia zitapokea kiasi cha pesa Dola 100,000 kutoka CAF kwa ajili ya maandalizi ya mechi zinazofuata za michuano hiyo kuanzia msimu...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watu watano waliohusika pakubwa zaidi kumsaidia Magufuli kuharibu demokrasia ya Tanzania

    Utazunguka kokote ila hawa ndio walikuwa mstari wa mbele na jiwe muda wote kuturudisha kwenye chama kimoja. 1. Bashiru Ally 2. Polepole 3. Ndugai 4. Makonda 5. Afande Sirro Historia ya Tanzania mpya itakapoandikwa hawa watano hawatakosekana kama sehemu ya wawezeshaji wakuu wa utawala wa giza wa...
  18. Nauza Akili

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wangu watano bora serikali ya Mama Samia

    Tunapoelekea uchaguzi Mkuu na kuvunja bunge na serikali,hawa ndio mawaziri wangu bora,ukimtoa Waziri Mkuu mzee wetu Meja. 1. Juma Aweso waziri wa maji haitaji kuelezewa sana kazi yake inaonekana. 2. Innocent Bashungwa huyu ni kiraka anafit wizara yoyote utakayompa he's very Giniasi 3. Dotto...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Israel yatoa onyo, yaua viongozi watano wakuu wa Hamas waliokataa kuwaachia waisrael waliotekwa

    Hamas imekuwa ikikataa kuaachia mateka na maiti za waisrael na watu wa mataifa mengine waliowateka 7 October 2023, Israel imetoa onyo kwa kuua viongozi watano wa juu kwenye idara za Hamas. Viongozi 5 wa Hamas waliopigwa target. Mkuu wa Kamati ya Ufuatiliaji wa Serikali - Essam al-Dalis. Mkuu...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Rais trump amtimua kazi mkuu wa majeshi ya Marekani pamoja na majenerali wengine watano

    Wadau hamjamboni nyote? Jenerali CQ Brown muda wake wa kuhudumu akiwa Mkuu wa.majeshi unaisha mwaka 2027 Ametumbuliwa akiwa kwenye ziara ya kikazi kusini mwa marekani na taarifa amezipata kupitia mitandao ya kijamii Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Reuters: Trump fires top US...
Back
Top Bottom