Wasalaam.
Yuko wapi Mdude Nyangali? Ni kweli mmesahau yaliomkuta au mmeamua kujizima data na kuungana na wadhalimu?
Au ndo ile slogan kifo ni kifo tuu.?
Salaam!
Nimepenyezewa taarifa tokea Dodoma kuwa,
Wapo baadhi ya wanakijiji yanapopita marori yaliyobeba makaa ya mawe, wananchi Hawa hukaa Pembeni mwa barabara na kusubiri baadhi ya makaa ya mawe yadondokke kutoka Katika haya malori ya kubebea makaa ya mawe na kwenda kuyatumia makaa haya...
Wakuu,
Kuna jambo la muda mrefu linanipa wasiwasi sana kuhusu namna mji wa Mbeya unavyokua.
Sasa hivi ukipita maeneo mbalimbali utakuta kila kona kuna ujenzi, mara nyingi bila mpangilio wa mji.
Wengine wameanza hata kupanda kuelekea Kawetere, eneo ambalo kiasili ni mlima wenye vyanzo vya...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi Patrick Mwalunenge Amechukua rasmi fomu ya Kuomba kuteuliwa na tume huru ya Taifa Ya uchaguzi kugombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini Kupitia Chama Cha Mapinduzi Ccm
Mwalunenge Amechukua fomu hiyo siku chache baada ya kuteuliwa na Chama chake kukiwakilisha katika...
Wakuu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson ameyataka Mabenki yanayotoa mikopo ya Asilimia 10 kuacha mara moja kutoa masharti magumu ya pesa hizo ikiwemo kuvitaka vikundi kuwa na Hati Miliki, akisema hazina masharti hayo zaidi ya kuunda vikundi.
Dkt.Tulia ameyasema...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za utapeli na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kupitia mitandao ya kijamii ya Facebook na WhatsApp.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga alisema watuhumiwa hao walikamatwa kwa nyakati tofauti Agosti 18, katika...
Habari wanajamvi, naomba msaada wenu. Natafuta pepeta (rice flakes) kwa ajili ya matumizi ya biashara ya vyakula. Nipo Mbeya lakini niko tayari kuagiza hata kutoka nje ya mkoa kama kuna wauzaji wa jumla au rejareja. Naomba mnisaidie kujua ni wapi naweza kuzipata au hata kama kuna mtu anayeuza...
Hali ya sintofahamu imeibuka katika Jimbo la Mbarali, Mkoani Mbeya baada ya baadhi ya wananchi kutishia kususia Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, wakipinga matokeo ya kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya kuwa mgombea aliyeibuka mshindi si chaguo lao, bali...
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetoa wito kwa wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia na kutumia nishati safi ya kupikia kama vile umeme na gesi ikiwa ni njia pia ya kulinda afya, mazingira na kuimarisha uchumi wa kaya.
Wito huo umetolewa leo na Mwakilishi wa...
Wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya, inakabiliwa na tatizo kubwa la umeme wa kiwango cha chini (low voltage) wakati wa mchana.
Tatizo hili limekuwa sugu kwa zaidi ya miezi sita, na Tanesco wanaonekana kama wamefungia macho kwa hali hii.
Matokeo yake ni kwamba vifaa vya umeme, kama vile pampu za...
Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwa Walimu wa Wilaya hiyo wanapata changamoto wanapotaka kuhama kutoka Chama cha Wafanyakazi cha CWT, ambapo Wilaya imetoa maelezo kuhusu kinachotakiwa kufanyika.
Awali, Mdau huyo alidai...
Habari, kama Kuna mtu anafahamu hospital nzuri Mbeya yenye wataalam wa magonjwa ya ngozi au kama unamfahamu dermatologist hapa Mbeya unisaidie kuniunganisha nae. Natanguliza shukrani
Wiki hii leo ni siku ya 5 kila siku umeme unakosekana kutwa nzima jijini Mbeya.
Zaidi siku ya hapo leo 09.08.2025 muda huu saa 4:40 usiku bado umeme haujarudi tangu ulipokatika majira ya saa 1 asubuhi. Cha kushangaza, hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na TANESCO.
Kuna nini?
Kwa niaba ya walalahoi wenzangu jumla ya kaya 600 tunaomba serikali kubadikisha msimamo na kutuachia ardhi. serikali kupiti kilimo uyole inataka kutunyang'anya kipande cha ardhi cha heka 67 kwa ajili shamba la kilimo uyole. Ni ardhi yetu ya asili, tuliiendeleza kwa miaka mingi na kwa maelekezo...
Usafiri wa gari za kutoka Jiji la Mbeya kuelekea Wilayani Kyela uliyumba kwa saa kadhaa jana Agosti 7, 2025 baada ya madereva wa magari ya abiria kugoma, wakilalamikia kero, usumbufu na faini kubwa zisizoendana na uhalisia na hali ya kipato chao kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
Wakuu chuo kipi kati ya hivi ni kizuri zaidi kwa kozi ya Mechanical Engineering
Je, chuo kipi wahitimu wake wanaheshimika zaidi kama ma engineer bora? Maana nimesikia DIT mainjinia wake wanaheshimika sana
Sasa naomba kuuliza kati ya Arusha Technical College na Mbeya University of Science and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.