Mbeya: Walimu Wakuu Watano wasimamishwa kazi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,120
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amewasimamisha kazi watumishi nane katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyela wakiwepo walimu wakuu watano, wahandisi wawili na ofisa manunuzi na kuagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi.

Homera amefikia uamuzi huo jana, Septemba 22, 2023 baada ya kufanya ziara ya kushtukiza ya kukagua utekelezaji wa miradi hiyo ambayo ilitakiwa kukamilika mwezi Juni mwaka huu.

Amesema kuwa kati ya halmashauri saba za Mkoa wa Mbeya, Kyela pekee haijafanya vizuri kwa kushindwa kukamilisha miradi hiyo kwa wakati ulipangwa na Serikali jambo ambali limemlazimu kufuatilia na kuchukua hatua.

Katika hatua nyingine amesimamisha kazi kamati manununuzi na ujenzi kupisha uchunguzi, na kueleza kuagiza wataalamu kutoka ngazi ya mkoa kuweka kambi ya siku 20 kufanya uchunguzi.

“Tunahitaji kujua mlolongo wa manunuzi, upatikanaji wa vifaa hatua kwa hatua Ili kubaini sababu za kuchelewa kukamilika kwa miradi hiyo na kushindwa kutoa taarifa, hususan taarifa za kiasi cha Sh182 milioni kama kipo benki au la,” amesema Homera.

Amesema hatua ya kuwasimamisha kazi sio kuwafukuza bali ni kupisha uchunguzi endapo wakuu wa shule watakaobainika kuwa chanzo cha kuchelewesha kukamilika watashushwa nafasi zao na wasio husika watarejeshwa.

“Siko tayari kuharibu nafasi yangu kwani halmashauri zote miradi imekamilika lakini Kyela tu, sasa Takukuru wanaingia kazini kuweka kambi ndani ya siku 7 huku wataalam kutoka mkoani watakuwepo kwa muda wa siku 20 kuhakikisha wanafanya ufuatiliaji wa kina kubaini ukweli na hatua kuchukuliwa,”amesema.

Aidha Homera ametaja shule ambazo wakuu wake waliosimamisha kuwa ni Mapinduzi, Luteba, Kasumuru, Uhuru na Mababu zilizopo Wilaya ya Kyela na kusitisha posho kwa watumishi wote wa halmashauri mpaka kukamilika kwa miradi hiyo isipokuwa madiwani pekee.

Mwananchi ilimtafuta Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Kyela, Florah Luhala kueleza kiasi cha fedha zilizotolewa na Serikali kukamilisha miradi hiyo na muda wa utekelezaji amesema anafuatilia na atatoa mrejesho.

Mbunge wa Kyela, Ally Mlaghila ameomba kuharakishwa ujenzi wa miradi hiyo ili wanafunzi kupata elimu bora na kitendo cha uchaleweshwaji wa miradi kunaichonganisha Serikali na wananchi.

MWANANCHI
 
RC atoke Mbeya hadi Kyela DC na DED wake wapo usingizini
 
Rubbish! Mbona waliokwenye report ya CAG wanalamba asali mtani. Mnawaonea vidagaa na kuwaacha mapapa wanatanua. Stupid, in Samias voice!
 
Ukiwasimamisha KAZI na huku salary inaendelea kuingia ni ujinga! Mwambie RC Hana akili maana huyo Mwalimu atakua at least amepata mapumziko.
 
Back
Top Bottom