TAARIFA YA KURUDIWA KWA WRITTEN PRACTICAL ASSESSMENT (WPA)
ILIYOFANYWA NA KUNDI LA 42 NA KUNDI LA 40 WALIOFANYA MARUDIO
(SUPPLIMENTARY) TAREHE 18-26 JUNI, 2026
Taarifa inatolewa kwa wanafunzi wa Kundi la 42 na watahiniwa wa Kundi la 40 waliofanya mitihani ya marudio (supplementary) kuwa; katika...
Wakuu kwema lakini?
Nataka nicheki game la Morocco na wazungu full game, acha pes. Ni really yenyewe! Naombeni mnisaidie kwa hilo. You tube kila nikifungua nakutana na clip not really
Morocco forever ♥
Hii media ni unprofessional sana ndiyo maana bado nina mashaka kama kweli wataonyesha World cup 2026, maana washawahi kutudanganya Mwaka 2022 kule Qatar.
Hapa tunazugumzia bilionea alietengeneza empire yake kwa kuwa master wa man-magement, corporate na negotiations.
Mwamba wa miaka 79, kasimama lisaa limoja na nusu, bila makaratasi bila maneno ya siasa bali akiwa na confidence na facts za mambo aliyoyafanya.
Mwamba amesimama muda wote...
Hivi hawa Chadema kusema uchaguzi usifanyike hadi Reforms zifanyike ili uwe uchaguzi wa HAKI NA HURU ni kosa?
Sasa ona masahibu wanayopitia. Viongozi wao wanatekwa,kuuawa, kushambuliwa, sasa hivi wanazuiwa kusafiri, chama kinyimwa ruzuku, chama kimewekewa zuio haramu kufanya kazi, na kubwa...
Jana wakati naangalia marudio ya mahojiano ya mzee Mbwege na mtangazaji Mtei nikalinganisha kipindi cha mjadala mkuu jumatano Star TV cha Paschal Mayalla ni aibu kubwa sn kwa msomi kama Paschal Mayalla kuwa chawa badala ya kuwa mzalendo kwa taifa lake, Bwege pamoja na kwamba ni mgonjwa wa figo...
Tunasikia vilio na malalamiko kuhusu wachungaji wenye kuwatapeli waumini wao na wasio waumini wao. Wenye kuamini miujiza ila utapeli huo wa kisasa zaidi mchungaji anatoa chupa ya maji na udongo ,wewe unampa pesa.
Ukirudi nyuma utapeli huu haukuanza leo ulianza kale wamisionari...
#CCM BABA LAO,
Matokeo ya uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya yametangazwa,
Mgombea ubunge kupitia CCM Bi. Bahati Ndingo ameibuka mshindi kwa kura elfu 44,334 dhidi ya mpinzani wake wa karibu kutoka chama cha ACT Wazalendo Bw. Dickson Kilufi, aliyepata kura...
Jumla ya masanduku 191,885 ya kupigia kura yameundwa kwa ajili ya wapiga kura nchini. / Picha: TRT World
Rais wa sasa wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametangaza ushindi katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais. Akiwahutubia wafuasi wake jijini Istanbul siku ya Jumapili, Erdogan alisema Uturuki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.