Makambako is a medium-sized town and district in the Njombe Region of the Tanzanian Southern Highlands, located roughly 40 miles north of Njombe city by road. It is located at junction of the A104 and B4 roads between Njombe, Iringa, and Mbeya. Its population according to the 2002 Tanzanian census was 51,049.
Halmashauri ya Mji wa Makambako Mkoani Njombe, hamuoni kuna haja ya kuzibua mitaro ya maji kabla ya kipindi cha mvua hakijafika?
Huu ni mwaka wa pili sasa mfereji huu ukiwa umeziba bila kufanyiwa usafi/uzibuliwaji.
Mfereji huu upo Mtaa wa Mjimwema, eneo la njia panda ya barabara inayoelekea...
Soma pia: Bukoba: Zaidi ya nyumba 300 zazingirwa na maji baada ya mvua kubwa kunyesha
Mvua yabomoa, kuezua mabati kwenye nyumba tano huko Makambako mkoani NjombeNyumba tano zilizopo Mtaa wa Idofi, Kata ya Mlowa mjini Makambako mkoani Njombe zimeharibiwa baada ya mvua kubwa iliyoambatana na...
Wakuu, naomba nitoe kilio cha wananchi kuhusu hali ya barabara ya kuanzia Chelesi hadi Kisiwani (Kibedange).
Barabara hii imeharibika sana kwa sasa kiasi kwamba magari na bajaji yanapita kwa shida kubwa.
Hali hii inasababisha wananchi kushindwa kuwa huru katika shughuli zao za kila siku...
Wakazi wa Makambako Mkoani Njombe wametoa wito kwa Serikali kuacha kupuuza haki na madai ya watanzania ili kurejesha amani na kuponya mioyo ya watu waliopata changamoto wakati wa uchaguzi.
Hayo yameelezwa wakati Wananchi hao wakitoa maoni yao leo Novemba 6, 2025, mbele ya Mkuu wa Mkoa wa...
https://www.youtube.com/live/ir1LWQnv3m0?si=YhzAuPVswyg_nq9Z
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Makambako Mkoani Njombe leo tarehe 06 Septemba, 2025.
Wananchi waliojitokeza...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimefanikiwa kupata wanachama wapya katika ziara ya kisiasa ya mtiania wa nafasi ya urais kupitia chama hicho, Salum Mwalimu, iliyofanyika leo Jumatatu, Agosti 18, 2025 mjini Makambako.
Miongoni mwa waliojiunga na chama hicho ni wanachama kutoka vyama...
Baadhi ya wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM Halmashauri ya mji Makambako wameiomba kamati kuu ndani ya chama hicho irejeshe majina ya watiania wa nafasi ya Ubunge na Udiwani wale wanaohitajika na wananchi ambao wamepigiwa kura za maoni ni si vinginevyo. Wameeleza hayo mara baada ya kukamilika...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, anaongoza kwa tofauti kubwa katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania nafasi ya ubunge wa Jimbo la Makambako mkoani Njombe. Katika kinyang’anyiro hicho kilichowakutanisha wagombea wawili pekee – Daniel Chongolo na mbunge...
Wakuu
Daniel Chongolo ameamua kujitosa katika mbio za kugombea ubunge zinazoendelea kupitia tiketi ya CCM.
===
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika
"Namshukuru Mungu, nimefanikiwa kuchukua na kurejesha fomu salama za kuomba ridhaa ya Ubunge katika jimbo la Makambako mkoani Njombe...
Kanda ya nyanda za juu kusini ni kubwa sana kieneo inajumuisha mikoa ya Mbeya ,iringa, njombe, ruvuma ,songwe , rukwa na katavi kijiografia hii Kanda ingegawanywa mara mbili kutokana na umbali wa mikoa mingine kuifikia Mbeya ambapo ndo makao makuu ya hii Kanda wanaweza wakamega Kanda Kama...
Mwenyekiti wa wafanyabiashara mkoa wa Njombe na nyanda za juu kusini A Siphaeli Msigala amesema wao kama wafanyabiashara wanaipongeza serikali kwa kuweka mazingira rafiki katika kufanya biashara zao.
Aidha Msigala, ameiomba serikali iendelee kushughulikia changamoto mbambali ambazo bado...
Mdau wa Maendeleo toka Halmashauri ya mji Makambako Mhema Oraph ameiomba serikali ipunguze matuta ya barabarani kwani yamekuwa yanachelewesha muda na kuharibu vyombo vya usafiri.
Mhema ametoa ombi hilo kwa Waziri wa viwanda na biashara akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani Njombe ambapo pia...
Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Balozi , Dk. Pindi Chana amekinadi Chama cha Mapinduzi huku akiwaomba wananchi kuchagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27,2024.
Ameyasema hayo katika Mkutano wa hadhara...
Wagombea wa nafasi ya Uenyekiti mitaa ya Mwembetogwa, Azimio na Lumumba iliyopo kata ya Mwembetogwa Halmashauri ya mji Makambako, wakieleza sera zao kwa wananchi ili wawachague katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaofanyika November 27 mwaka huu.
Wakuu,
Jeshi la polisi Halmashauri ya mji Makambako,limesema kuwa limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama katika kipindi cha chote cha kampeni ili vyama vyote vya kisiasa vifanye kampeni zao kwa usalama bila kupata changamoto yoyote.
Hayo yameelezwa na Mrakibu mwandamizi wa polisi...
Aisee Mimi ni mkazi wa Arusha siku zote nilijua Arusha ndio Kuna bridi kuliko mikoa mingine Tanzania😂😂😂 Uwiii sintakaa nisahau siku nilimpeleka Mwanangu kureport Form Five Makambako Secondary School ( Government School) eeeeeh 🤔. Tulipanda basi ya Mbeya inapita Makambako, na lazima Bus kupita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.