nfra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    NFRA lipeni fedha za mahindi ya wakulima ili waanze maandalizi ya kununua pembejeo

    Tunaishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kununua Mahindi ya Wakulima kwa Bei elekezi ya KG 1 Tsh 860. Hata hivyo tangu Wakulima wapekele Mahindi yao bado hawajalipwa Fedha zao hali inayosababisha kuleta ugumu wa kufanta maandalizi ya Kilimo kwa msimu huu wa Masika ambao kwa mikoa ya Nyanda za...
  2. mtwa mkulu

    Sakata la kushuka kwa Bei ya Mahindi: Spika Tulia na Waziri Bashe wawataka wananchi wabebe mahindi yao wakauze NFRA

    Hatimaye spika tena ameonyesha ubabe kwa wabunge. Amewazuia wasiongee chochote kuhusu mahindi badala yake wawaelekeze wananchi wakajitwishe mahindi yao nakuuza huko NFRA ambako kuna bei nzuri. Hakika haya ni maafa mengine kwa Taifa letu. Wananchi vijijini ni masikini wa kutupwa lakini hawana...
  3. BARD AI

    Aliyemtumia Rais Samia taarifa za wizi wa Mahindi ya NFRA atafutwa na Polisi

    Jeshi la polisi wilayani Handeni mkoani Tanga linamsaka aliyetuma ujumbe kwa Rais Samia wa kuibiwa mahindi ya msaada ya NFRA kwa kutumia jina la Mwenyekiti wa kijiji. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Siriel Mchembe leo Desemba 30,2022 alipokuwa kwenye kikao na wananchi wa...
  4. Ojuolegbha

    CCM yatoa maelekezo kumaliza sintofahamu ununuzi wa mahindi Songea

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka wakala wa chakula NFRA kuweka utaratibu mzuri ili kumaliza sintofahamu iliyopo juu ya ununuzi wa mahindi Manispaa ya Songea kwa kuhakikisha wananchi wote waliokwisha kuorodheshwa Mahindi yao yananunuliwa pamoja na kuongezwa kwa kituo kimoja cha ununuzi wa...
  5. A

    Makambako kuuza mahindi NFRA hadi uandike barua ya maombi, huku ni kutesa watu

    Ukiritimba mkubwa, Serikali fuatilieni sasa kinachoendelea ni maajabu matupu, kweli nitoke kijijini na mzigo wangu, halafu muanze kusema niandike kwanza barua ya kuomba kuuza mahindi, bado ili barua ipitishwe lazima nitoe rushwa kwa hali hii hatufiki. Yaani nilime mimi halafu niombe kuuza kwa...
  6. ndenjii handsome

    Serikali fungueni mipaka wakulima wauze wenyewe mahindi, NFRA inawanufaisha wachache

    Baada ya kusikia serikali imetoa bilioni 50 kwa ajili ya manunuzi ya mahindi. Nikaona huu ndio wakati muafaka wa kuuza nikajaza howo zangu tatu mzigo kupeleka kwenye kitengo. Dah nilichokutana nacho tajiri atabaki kuwa tajiri nae maskini atazidi kuwa maskini hasa kwenye nchi zetu za Kiafrika...
  7. M

    Kassim Majaliwa: Serikali imetoaTsh. bilioni 15 kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kununua mahindi toka kwa wakulima

    Kupitia kwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeshatoa sh. bilioni 15 kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ili kununua mahindi kutoka kwa wakulima. “Uzalishaji wa mahindi ni mkubwa lakini na sisi pia tumeimarisha hifadhi yetu ya Taifa ya chakula. NFRA tumeipa fedha za...
Back
Top Bottom