shule za kata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Janeth Thomson Mwambije

    Maboresho ya sekta ya elimu yanaendelea kwenye shule za kata

    Mnamo Oktoba 2023, Nilifanikiwa Kuhudhuria Mahafali Ya Kidato Cha Nne, Ya Shule Ya Upili, Zavara. Katika Mahafali Haya, Mgeni Rasmi Alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu Anayewakilisha Wafanyakazi, Mhe. Janejelly James Ntate, Ambaye Alihusia na Kuwatia Moyo Wanafunzi Waliohitimu Kidato Cha Nne...
  2. ndege JOHN

    Bado shule za kata hazitoshi

    At least Kwa shule za msingi tumejitahidi kidogo walahu kila kijiji kuna shule ila Kwa upande wa sekondari bado kuna changamoto kubwa naona wanafunzi wakitembea umbali mrefu kuzifuata shule ni heri serikali ikaja na mpango wa kujenga hostel Kwa shule za kata ambazo vijiji vyake viko mbali.
  3. comte

    Tumuomboleze Lowassa bila unafiki. Shule za kata ulikuwa uamuzi wa CCM

    Kunatofauti ya kuamua na kusimamia maamzi. Ujenzi wa shule za kata nchi nzima ulikuwa uamuzi wa CCM na ulikuwa kwenye ilani ya uchaguzi 2005-2010 USHAHIDI HUU HAPA Elimu ya Sekondari 61. CCM itazielekeza Serikali kuchukua hatua za kuendeleza elimu ya sekondari katika kipindi cha 2005 - 2010...
  4. passion_amo1

    Serikali inapaswa kuendelea kufanya maboresho katika uchaguzi wa shule za kata

    Wakuu habari za uzima? Leo nimeona nigusie kidogo kuhusu shule za serikali zinapofanya uchaguzi kwa wanafunzi waliofaulu kuendelea na masomo ya sekondari kutokea msingi. Kama sitakuwa na nimekosea mchakato wa kumuhamisha mwanafunzi kutoka shule aliyopangiwa kwenda shule nyingine huwa ni...
  5. R

    Ni lini Serikali ya CCM itanunua laptop kwa kila mwanafunzi kuanzia shule za kata?

    Salaam, Shalom!! Nimewahi kuandika Thread isomekayo, Ushauri: Chakula Bure mashuleni kirudishwe Ili kuboresha uelewa wa wanafunzi. Katika mada hiyo, Nimeshauri Serikali kuhakikisha inaweka mfumo Nchi nzima utakaosaidia wanafunzi shule za msingi angalau wapate kikombe Cha uji wawapo mashuleni...
  6. Bushmamy

    Wanafunzi waacha shule na kwenda kufanya kazi za ndani kutokana na michango kuwa mingi mashuleni

    Baadhi ya wanafunzi wanaosoma Shule za Serikali za Kata wameshindwa kuendelea na masomo na kuacha shule kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni utitiri wa michango mashuleni. Moja ya shule kati ya nyingi zilizopo Jijini Arusha ni Sekondari ya Lemara iliyopo katika Kata ya Lemara kwenye...
  7. tpaul

    Maoni: Ili kujenga uzalendo, Serikali ifute shule zote binafsi hapa nchini tubaki na shule za kata tu!

    Habari wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne (CSE), nimetafakari sana na kugundua njia nzuri ya kuboresha elimu hapa nchini ni ama kufuta au kutaifisha shule zote za binafsi ili...
  8. N

    Elimu imekuwa rahisi sana siku hizi inakuwaje kwenye shule nyingi division one zipo za kumwaga?

    Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha kizazi cha machawa wasio na ajira Binafsi ifike hatua mtihani isiwe kigenzo cha kujua uelewa wa...
  9. N

    Elimu imekuwa rahisi sana siku hizi inakuwaje kwenye shule nyingi division one zipo za kumwaga?

    Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha kizazi cha machawa wasio na ajira Binafsi ifike hatua mtihani isiwe kigenzo cha kujua uelewa wa...
  10. Mr Pixel3a

    Ni haki kwa aliyesoma shule za kata kupewa mkopo kiasi hiki?

    Hebu fikiria vijana kama Hawa wengine hawana Wazazi, wamesoma shule za kata since primary na bado Ada ni 1.3milion mpaka 2.5milioni lakini bodi inampa asilimia 49 tu kwa mwaka mtoto akafie mbele, je wadau wa elimu wako wapi, viongoz wako wapi?
  11. Mboka man

    Hivi wanafunzi wanaosoma shule za kata wana matatizo gani?

    Matukio yanayonihuzunisha 1.Wanapiga makonda mpaka wanawapa vilema 2.Mwalimu akizingua wanamchapa kama mtoto mdogo 3.Yaani shule wanaingia saa 4 Kuhusu taaluma 1.Kufaulu 1 kati ya 120 2.Mwanafunzi mwaka mzima kasoma page 2 3.Muda wa masomo wanashinda vijiweni wakicheza kamari 4.Akienda...
  12. Kyambamasimbi

    Aliyebahatika kusoma na mtoto wa kiongozi kwenye shule za kata aje hapa

    Pasina kupoteza muda naomba kujua hizi shule zetu za kata ndizo hata watoto wa viongozi wetu wanasoma? Kwa mwenye uzoefu aje atueleze Hali ilikuwaje na mlikuwa mnawachukuliaje? Na wao walijionaje?
  13. I

    SoC02 Shule za kata mkombozi wa wengi, changamoto na maboresho yake

    Na Amour A. Mawalanga Ilikua ni mwaka 2005 kwenye uchaguzi mkuu ndipo sera ya uanzishwaji wake ilipoanza chini ya mzee wa Msoga Rais wa awamu ya nne Jakaya M. Kikwete huku mtendaji wake mkuu wa serikali akiwa Edward N. Lowasa. Mwaka 2006 ndipo utekelezaji ukaanza ambapo kila kata ilitakiwa iwe...
  14. Bushmamy

    Kilimanjaro: Wazazi wa wanafunzi wa shule za kata wilayani Hai kubambuliwa mifugo yao kwa lazima ili kulipia ada

    Serikali imekuwa ikitangaza kila wakati kuwa shule za kata ni bure na hakuna malipo yoyote. Hali ni tofauti kabisa Mkoani Kilimanjaro kwani shule hizo zimekuwa zikilipisha wazazi hela ya ada kiasi cha shilingi elf 70 kwa kila mtoto, pamoja na mchango wa mahindi na maharage kila mwaka. Baadhi...
  15. Lord denning

    Kama ilivyoanzishwa kampeni ya kujenga Shule za kata sasa tuanzishe kampeni ya kupanga miji na maeneo yetu!

    Nilichojifunza hapa Tanzania, ukidhamiria kufanya jambo fulani, ukalipa jitihada za kutosha na fedha , lazima jambo hilo lifanikiwe. Kwenye moja ya sehemu ambayo kwa macho yangu nimeshuhudia hilo ni ujenzi wa madarasa zaidi ya 12,000 tena kwa viwango vizuri sana uliofanyika kipindi hiki cha...
  16. W

    #COVID19 Wanafunzi waanza kufaidi madarasa yaliyojengwa kwa Pesa za Tozo na mkopo wa COVID-19

    Wanafunzi wa Kidato cha 1 kwa mwaka wa masomo 2022 ambao wameanza kutumia madarasa mapya yaliyojengwa kutokana na fedha za mpango wa maendeleo kwa Taifa na mapambano dhidi ya Uviko 19. Tukio tukio limefanyika katika Shule ya Sekondari Karibuni ambapo DC Jokate ametumia fursa hiyo kumshukuru...
Back
Top Bottom