maisha

  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanadhani bado DSM, ARS na MWZ ndio sehemu pekee zenye maisha ghali sana TZ, mnakosea, joto lisha sambaa kote, mikoani napo ni expensive

    Kama unapata fursa yako dar, we endelea kuishi dar, usidanganyike kurudi nyumbani Kuna sehemu nyingi hapa tanzania, kujenga nyumba ni ghali kuliko anaejenga dsm Nyumba na vyumba vya kupanga vimepanda wilayani huku, hakuna mtu mjinga ajenge nyumba ya kupangisha 30-60m+ alafu umpatie laki moja...
  2. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya uchomaji taka (kusoma matakataka) kwenye makazi ya watu hapa Dar es Salaam

    Wakuu, habari za mchana huu. Kuna changamoto naona inazidi kushamiri kwenye mitaa yetu mingi hapa Dar es Salaam, nayo ni tabia ya baadhi ya watu kuchoma moto taka katikati ya makazi ya watu. Lugha ya mtaani wengi wanasema "kusoma matakataka." Kimsingi, jambo hili limekuwa likisababisha moshi...
  3. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania TSh 6M kwa mwezi ndiyo level ya kuishi maisha comfortable Dar au Arusha bila kila mwezi kuwa na financial stress.

    Yes sir. Ili uishi comfortable life hapa Tz hususani Dar, Arusha inabidi uwe una earn Tzs6M kila kweli consistently. Fikiria hivi. You are in your early 30s, unaishi na wife au girlfriend. 1. Assume unaishi Dar bado hujajenga. Rent for 2 bedroom apartment inaanzia Tzs1.5M maeneo prime...
  4. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya kuwa msomi na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??!

    Hivi kati ya kuwa msomi(muajiriwa )na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima: Mungu hachelewi kutimiza ahadi yake. Utekaji umezidi. Maisha ya watu yanaharibika. Mungu atajibu kwa upanga

    "...Mimi ni mwanachama CCM, mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ambaye hakubali uonevu, hakubali utekaji na ambaye hakubali ufisadi. Mimi nimedhamiria kusimama na wananchi mpaka mwisho..." Hii ndio kauli iliyowakwaza watawala waovu wa serikali dhalimu ya Samia Suluhu Hassan na CCM yake hata...
  6. life255

    JamiiForums Tanzania Maisha ya dunia na kifo — Kwa nini tunakimbilia kitu ambacho hatutaki kukipoteza?

    Kuna siku moja ambayo kila mwanadamu duniani ataamka na kugundua kuwa safari yake imefika mwisho. Siku hiyo haitajali una pesa kiasi gani. Haitajali una magari mangapi. Haitajali una nyumba kubwa kiasi gani. Haitajali una followers wangapi. Haitajali umejenga jina kubwa kiasi gani...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Wakazi wa Kijiji cha Maisha Plus wakubali kuhama kupisha kilimo cha Mkonge Wilayani Muheza

    Kaya 67 zinazoishi kwenye eneo la maarufu la Maisha Plus la Kitongoji cha Bago, Kijiji cha Msakangoto na Kata ya Kigombe Wilayani Muheza wamekubali kulihama eneo hilo, kumpisha mwekezaji wake kuendeleza upanuzi wa kilimo cha mkonge. Hatua hiyo imefikiwa baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga...
  8. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu mkaribisheni Mungu katika maisha yenu

    We dwell here not according to our will, but according to his divine plans. Baada ya tafakuri ya kina, nimepata jawabu ya kuwa sisi ni kama matawi na yeye ndiye mti wa uzima. Binadamu tunapenda sana, kusahau na kutumia akili zetu, bila kumshirikisha anayetupa huo uwezo.. Umezaliwa, unapumua...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tusaidieni kupaza sauti yetu dhidi ya vitendo vya rushwa ya ngono na unyanyasaji Vyuoni

    Sisi wanafunzi wa IFM tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu kuhusu changamoto inayowakabili wanafunzi kutokana na baadhi ya wahadhiri. Tulipewa assignment darasani, tukafanya na kuikabidhi kwa mhadhiri husika. Hata hivyo, cha kushangaza, hadi sasa mhadhiri huyo amekataa ku-upload coursework hiyo...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nini kingetokea kama binadamu wengi wangekubali hakuna maisha mengine zaidi ya haya?

    Mimi naamini tungepambana sana kwa pamoja kuboresha maisha yetu. Akili za mwanadamu kufikiria kuna maisha mengine baada ya haya hapa duniani kunalemaza kutoshughulika na changamoto na hali halisi ipasavyo na kuishi katika utimilifu wetu wote. Pia kunatupa matumaini hewa kuhusu hali zetu halisi.
  11. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tunatumia muda mwingi kujadili maisha ya watu badala tujikite kwenye uzalishaji: makosa ya wazazi wako yasiathiri wengine.

    Tunajikita kushangaa watu wenye mafanikio kwasababu ya makosa ya wazazi wetu.... Wazazi wetu walizaliwa kipindi cha fursa wao badala wasome shule wakawa wanashinda wanawinda vindege maporini matokeo yake wakazaa watoto hawana hata mtu wa kuwa-inspire Wapo Wapo tu, Leo hii ndo hao wakiona mtu...
  12. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Maisha Yaanza Leo: Utambuzi Mkuu(spiritual awakening)

    For majority part of my life, Nilikuwa najiuliza what's the point of all of this?? Sasa leo baada ya meditation na fasting ya kina. Jibu limekuja, Sio utambuzi wa kujua mimi ni nani, au kwa nini maishani. Bali kutambua sikupaswa hata kuuliza kabisa. Leo ndo nimetambua kuwa mimi ni kila kitu...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume wenye maisha duni ya kawaida wanajali sana bikira?

    Mahali popote ukikuta wanaume wanajali mwanamke wa kuoa kama mwanamke ni bikira au single mother basi utakuta na wanaume masikini, wa kawaida(average/ beta males) au wa Bara. Ni nadra kukuta wanaume wenye maisha mazuri, matajiri, mabilionea, maarufu au wanaume wa Pwani wanajali kama mwanamke...
  14. baloziwamitaa_

    JamiiForums Tanzania Tetesi: 1FAIDA ZA MUZIKI KATIKA MAISHA YA KILA SIKU

    Muziki si burudani tu. Ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku — inayoathiri hisia, akili, na hata mwili wetu kwa namna ya kushangaza. Tangu utotoni, muziki hutusaidia kujifunza. Watoto hukariri herufi, namba, na hata kanuni za maisha kupitia nyimbo. Kadri wanavyokua, wimbo ule ule unakuwa...
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Maisha mema yanapatikana kijijini

    Tangu niamie huku kijijini, sizeeki kihasara hasara Napata maji safi, Hewa safi, Kelele nzuri za ndege, Hakuna msongo wa mawazo, Napata mayai, nyama, maziwa muda wowote ninaotaka, Napata vitu vingi bustanini, Matumizi ya hela ni madogo sana kutokana na vitu vingi kupatikana shambani na kwenye...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msanii wa Kenya afariki kwa kujiua, miezi baada ya kusema “nitajiua"

    Kifo cha msanii wa Arbantone, Stoopid Boy, kimeibua mjadala kuhusu afya ya akili nchini Kenya. Taarifa za awali zinaeleza kuwa msanii huyo alifariki kwa kujiua Agosti 27, 2026. Miezi kadhaa kabla ya kifo chake, Stoopid Boy alikuwa amezungumza hadharani kuhusu depression, matumizi ya pombe na...
  17. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Yapende maisha uliyonayo

  18. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania Yagusa Maisha ya Wanafunzi Ihowanja wilayani Malinyi kwa Kuboresha Mazingira ya Usomaji.

    Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania PLC, Chiha Nchimbi (kulia), akikabidhi dawati kwa Diwani wa Kata ya Kilosampepo, Boniventure Killian Mwanga (kushoto), dawati hilo ni mojawapo ya madawati 30 yaliyokabidhiwa katika Shule ya Msingi Ihowanja, Malinyi mkoani Morogoro, kupitia mpango wa...
  19. Red black

    JamiiForums Tanzania Alhamdulilah naenda kuanza maisha mapya kwaheri ubachela

    Familia ni muhimu. Cc Seran
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hizi hasira za baadhi ya vijana wa Tanganyika ni wivu na chuki ya kuona kijana kama wao kapewa cheo chenye uhakika wa maisha mazuri hadi kifo

    Ni kijana mdogo tu kisiasa na kaweza kupata cheo namba 2 kikubwa nchini kinachomuhakishia uhakika wa maisha safi hata baada ya kustaafu MAFAO BAADA YA KUSTAAFU Pensheni ya kila mwezi: 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliye madarakani. Kiinua mgongo: 50% ya jumla ya mishahara yote aliyopokea...
Back
Top Bottom