mahusiano ya kimapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kulipiza kisasi kwa mtu aliyekuumiza au kukusaliti kwenye mapenzi?

    Nimewahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja hivi ,mwanzo alikuwa mpole ,mtiifu na mtu wa mungu sana ,na alikuwa ananipenda sana huenda ni kwasababu alikuwa mgeni wa mapenzi,lakin alipofanikiwa kwenda chuo hapo ndo balaa nikaanza kuliona kwni alibadilika gafla akawa mkali ,akawa...
  2. BB_DANGOTE

    JamiiForums Tanzania Usioe wala kuanzisha na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke wa namna hii, utajuta

    Habari ya wakati huu Wakuu, Naomba Niongee na Wanaume, Usioe wala Kudate na Aina Hii Ya Wanawake Utajutia.. ‎ ‎1. Feminist ‎ ‎Anaetamani kuwa juu wanajifanya wanapambana sana na maisha ‎ ‎Wanahisi Mwanaume Sio Kipaumbele Kwenye Maisha yao ‎ ‎Avoid This Kind Of Women Ataharibu maisha yako na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara mliowahi kutoka kimapenzi na wafanyakazi wenu, ilianzaje na ilikuwaje baada ya hapo

    Wafanyabiashara wenye Maduka na wayzaji wao wa maduka Wamiliki wa makampuni na wafanyakazi wao n.k. Unaweza kuchangia kwa kutoa experience yako kwa kujibu swali moja, baadhi au yote kati ya haya Ilianza vipi kati yako na mfanyakazi wako? Mlifanya sex ? Ndani ya ofisi au ? Je, ilikuwa ni mara...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unahisi ipi ni hamasa kuu ya mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi?

    Unahisi ipi ni hamasa kuu ya mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi?
  5. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa naona vijana wa siku hizi wanaanza mapenzi katika umri mdogo, baada ya kuchunguza kwa kina nikagundua ni mimi ndiyo nimeanza kuzeeka

    Awali ya yote nipeleke shukrani zangu za dhati kwa mpenzi wangu Marry Diana kwa kunipeti kiasi cha kunifanya nipate nguvu ya kuandika huu uzi (wenyewivu wajinyonge) Kabla sijakaa chini na kutafakari nilikuwa naona hawa vijana wa siku hizi wakike na wakiume wanaharaka sana kuanza mapenzi, baada...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ya kuzingatia unapoingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na polisi wa kike

    Hata dada zetu walioko kwenye Jeshi la Polisi wanahitaji kupendwa, kudeka, kuolewa na kuanzisha familia kama wanawake wengine. wale mlio wahi kudate ama kuwa kwenye ndoa na dada zetu walio kwenye jeshi la polisi (Tanzania police force) ni mambo yapi ya kuzingatia.
  7. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Athari za Uongo katika Mahusiano ya Kimapenzi

    Athari za Uongo katika Mahusiano ya Kimapenzi Je, umewahi kuhisi uchungu wa kudanganywa na mtu unayempenda? Uongo ni sumu inayochoma polepole, ikiharibu msingi wa mahusiano na kuacha majeraha ya kihisia yasiyopona kwa urahisi. "Kama wengi wanavyogundua kwa masikitiko, mahusiano yasiyojengwa...
  8. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

    1. Mwanamke anatumia sex kama zawadi, adhabu au nyenzo ya ulaghai kwa mwanaume. Umemfurahisha ? Atakupa sex. Umemkosea? Atakunyima sex. Umemfanyia wema? Atakulipa sex. Anataka kitu kutoka kwako? Ata-negotiate kwa sex. Usitarajie kupata valuable return yoyote kutoka kwa mwanaumke. Anakuja...
  9. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda sahihi

    Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana ukiwa na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda wako uliojipangia Bara la Afrika ni la tofauti sana, katika jamii zetu utaanza kupitia matatizo ya masimango baada ya kubalehe endapo hutaonekana...
  10. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Naandika uzi huu wa historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja niliyempenda lakini wazazi wake wakaharibu na sasa wanajuta

    Naandika uzi huu wa historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja niliyempenda lakini wazazi wake wakaharibu na sasa wanajuta Hii ni historia ya kweli na sio fiction. Katika maisha yangu nilimpenda binti mmoja na tuliendana sana kiasi kwamba tulipendana kwa dhati Wachawi wa mahusiano...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kuvutiwa kimapenzi na boss wangu wa kike

    Kutoka kwa Rafiki yangu! Juzi alinifuata masikani kuniomba ushauri kwamba ametokea kuvutiwa kimapenzi na boss wake wa kike anapofanyia kazi lakini anaogopa kumwambia ukweli wa hisia zake kwa kuhofia atafukuzwa kazi. Na pia anadai si mke wamtu. Sasa mimi ni kamshauri kwamba ajaribu siku kupiga...
  12. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania How do we fall out of love? Mapenzi yanaishaje? Miaka inapotea watu wanaishi ndani ya mahusiano yaliyokufa, ni kuhurumiana au hofu ya upweke?

    Huwa nawaza how it all happens—mnakutana kwa mara ya kwanza, and she's the most beautiful woman you've seen in a long time. Kuna ile excitement ya mwanzo, mazungumzo yanakuwa ya kuvutia, kila kitu kinaonekana fresh na perfect. Mnapendana bila kujizuia, kila mmoja akiwa tayari kufanya chochote...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nayageuza vipi mahusiano ya kawaida kuwa Mahusiano ya kimapenzi

    Wakuu Naishi vipi na huyu mrembo wa kishua kama rafiki tu, naona haiwezekani. Nitumie njia gani huu urafiki wa kawaida unipe tunda hili. Wataalamu na wabobezi wa jf nijuzeni kwa niaba ya wadau wengine pia Asante
  14. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kwa kijana anayejitafuta kwenye maisha asijihusishe na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke yeyote

    Mahusiano naona kabisa ni uwekezaji mkubwa unaohitaji Muda PEsa na nguvu Kijana tafuta njia ya kuondoa hisia zako kama mazoezi Kwenda Kwa wahaya Ila Achana na viumbe wanawake katika hatua zako za mwanzo za utafutaji
  15. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Utapoteza marafiki wengi wa faida kwasababu ya kutaka kuwa nao kwenye mahusiano ya kimapenzi

    📖Mhadhara (65)✍️ Si kila mwanamke au mwanaume ambaye mtakuwa marafiki ni lazima utembee nae au awe mpenzi wako, utapoteza marafiki wengi wa faida kwasababu ya kutaka kuwa nao kwenye mahusiano ya kimapenzi. Mara zote tendo la ngono hufifisha ukaribu. Unaweza kumwona fulani (ambaye ni rafiki...
  16. Mr-Njombe

    JamiiForums Tanzania Je, nini hasa faida ya long distance katika mahusiano ya kimapenzi?

    Umuofia kwenu ndugu zangu JF, Mara kadha wa kadha kumekua na malalamiko kwa watu mbalimbali kuhusiana na long distance relationship, ambapo watu wengi wenye mahusiano kama haya wamekua wakilalamika, kuhangaika na hata kupoteza matumaini, na kwakweli wamekosa kuaminiana na kupelekea kulegalega...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kimapenzi bila pesa hayawezekani?

    Mahusiano ya kimapenzi kwa sasa kama huna pesa mwanamke atakutesa Sana Atakudharau nainawezekana akakuacha kabisa au kukawa na migogoro isiyo isha.(wanaume tutafuteni pesa) Kama kuna mtu anabisha aje na hoja au kama una chakuongezea unaweza ongezea.
  18. realMamy

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuwa na mahusiano ya kimapenzi kazini mara nyingi huwa hakuepukiki?

    Nimekuwa nikisoma na kufuatilia baadhi ya visa vya kweli katika vitabu na mitandao ya kijamii vinavyohusu mahusiano na ndoa kuvunjika na moja ya sababu zinazosababisha kutokea hayo ni Mahali pa kazi. Wake kwa waume wamekuwa wakilalamika kuachwa na mtu wake kwa sababu ya mfanyakazi mwenzie...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kimapenzi yananitesa

    Jamani naombeni ushauri, kuna mwanamke nampenda sana nae ananipenda sana tuliahidiana kuoana., Sasa kuna changamoto imejitokeza tena kubwa sana kumbe kabla yangu, aliunganishiwaga mwanaume mwingine na wazazi wake, nayeye kwakua alikua hana mtu mwingine alikubali. Ikaendaa yule jamaa akakaa muda...
  20. BENEDICT BONIFACE

    JamiiForums Tanzania Tofauti za umri katika mahusiano ya kimapenzi: Nadharia na uzoefu wa maisha halisi

    Katika dunia ya mahusiano ya kimapenzi, tofauti za umri kati ya wenzi ni jambo ambalo linaweza kuleta changamoto na fursa za kipekee. Utafiti wa kina umeonyesha kuwa tofauti hizi zinaweza kuathiri mienendo, malengo, na matarajio ya wahusiano. Nadharia mbalimbali, kama vile Nadharia ya Mwitikio...
Back
Top Bottom