kifungo cha maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mdakuzi

    Afungwa Kifungo cha Maisha Baada ya Kulipiwa Umeme (Luku) kwa Simu ya Magaidi

    Unakumbuka tukio la kigaidi lililotokea Kampala, Uganda wakati wa mechi ya fainali ya World Cup 2010, kati ya Spain na Holland? Tukio lile lilimfanya mtangazaji wa Radio Salaam FM ya Mombasa, Habib Suleiman Njoroge kuingizwa kwenye kesi ya ugaidi wa tukio lile, na sasa anatumikia kifungo cha...
  2. sky soldier

    Mahakama zisituingilie ndoa za kikristo, ni kifo ama usaliti ziwe sababu za kuvunja ndoa ama kuoa tena, adhabu ya kukiuka iwe kifungo cha maisha

    Ndoa tumekubaliana kufunga ya kikristo na tumekula kiapo ni mpaka kifo ama moja akisaliti, iweje tukimbilie mahakamani kuzivunja kwa sababu zilizo nje ya kiapo ? Nashangaa mahakama zinaingilia sana mambo ya dini za watu badala ya kuyaachia makanisa kusolve ndoa za kikristo. Sheria za kanisani...
  3. Bull Bucka

    Mkuranga, Pwani: Mwalimu afungwa kifungo cha maisha kwa kulawiti mwanafunzi

    Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, imemhukumu kifungo cha maisha jela, aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Msingi St Mathew iliyopo Kongowe, Livingston Kyarwenda (40), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka tisa. Kyarwenda, mkazi wa Mbagala Chamanzi anadaiwa...
  4. JanguKamaJangu

    Shinyanga: Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mtoto wake wa miaka 11

    Abely John Haule (37) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Shinyanga baada ya kukutwa na hatia ya kutenda ‘ukatili’ huo kwa muathirika katika nyakati mbalimbali kati ya Mwaka 2022 hadi Februari 2023. Kesi hiyo ya namba 8 ya Mwaka 2023, ilikuwa na mashahidi Watano...
  5. BARD AI

    Tume ya Haki Jinai: Rais asipoidhinisha Adhabu ya Kifo baada ya Miaka 3, Mfungwa apewe Kifungo cha Maisha

    Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Othman Chande amependekeza kuwa endapo itapita miaka 3 bila Rais kutoa Idhini katika Adhabu ya Kifo, Wafungwa wenye Hukumu hiyo waweze kubadilishiwa adhabu kuwa Kifungo cha Maisha. Hata hivyo, Tume imesema kuna malalamiko kuhusu Adhabu ya Kifungo cha Maisha...
  6. BARD AI

    Mzee Pinda: Adhabu ya kifo ifutwe nchini

    Hoja ya kufutwa kwa adhabu ya kunyongwa inazidi kupata nguvu, baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda kuungana na wadau wengine kutaka adhabu hiyo ifutwe na badala yake iwe kifungo cha maisha. Mapendekezo ya Pinda yanaungana na wadau mbalimbali, wakiwamo mawakili, watetezi wa haki za...
  7. Dalton elijah

    RUVUMA :Ahukumiwa Kifungo Cha Maisha Jela Kwa Kumnajisi mtoto wake Wa kumzaa

    Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumnajisi mtoto wake wa kumzaa Awali, kabla ya kutolewa kwa hukumu hiyo, mtoto huyo ambaye jina lake limehifadhiwa alieleza kuwa kila alipokuwa anakataa kufanyiwa kitendo hicho ,baba yake alikuwa anamng’ata na kumpiga sehemu. Mahakama ya Wilaya Tunduru...
  8. Roving Journalist

    Tunduru: Ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumlawiti Mtoto wake wa miaka minne

    Mkazi wa Kijiji cha Namiungo, Wilaya ya Tunduru, Mohamed Saudi Ngwelekwe mwenye umri wa miaka 25 amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia kumlawiti mwanaye wa kumzaa mvulana wa miaka minne. Mtuhumiwa Mohamed Saudi Ngwelekwe ambaye kwa sasa ameanza kifungo chake Hukumu...
  9. Zakaria Maseke

    Kosa la kulawiti mtoto chini ya miaka 18: Adhabu ni kifungo cha maisha gerezani

    Ukimlawiti (kumwingilia kinyume na maumbile) mtoto (wa kike au wa kiume) wa chini ya miaka 18, adhabu ni kifungo cha maisha jela (life imprisonment). Adhabu hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 154(2) cha sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code) Sura ya 16 (Cap. 16), kama ilivyofanyiwa marejeo...
  10. REJESHO HURU

    Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mgoni wake

    Watalamu wa sheria hii imekaaje, kifungo cha maisha hapo hapo miaka mitano jela hapo hapo faini Sema mwamba shujaa sana unamvua mwenzio ubigwa mbele za watu Source Azam tv
  11. Sildenafil Citrate

    Mwalimu kutumikia kifungo cha maisha mara mbili na miaka 30 jela kwa kulawiti mwanafunzi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma mkoani Mara, imemuhukumu kifungo cha maisha jela mwalimu Idrisa Athumani (29) wa shule ya Msingi Kyawazaru iliyopo wilayani Butiama baada ya kukutwa na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake (14). Hukumu hivo iliyotolewa leo ljumaa Septemba 23, 2022 ni ya tatu...
  12. JanguKamaJangu

    China: Waziri wa zamani ahukumiwa kifungo cha maisha jela kosa la kupokea rushwa

    Aliyekuwa Waziri wa Sheria wa China, Fu Zhenghua amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kupokea rushwa ya zaidi ya TZS Bilioni 72 akiwa mtumishi wa umma. Hukumu hiyo yaweza kutekelezwa ndani ya miaka miwili au kuwa kifungo cha maisha baada ya miaka miwili kumalizika. Pamoja na hukumu...
  13. mwanamwana

    Mwanamke aliyeandika insha juu ya jinsi ya kumuua mume ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumuua mumewe

    Mwandishi wa kitabu chenye jina lisemalo 'Jinsi ya kumuua mume wako' kutoka nchini Marekani aitwaye Nancy Crampton Brophy, mwenye umri wa miaka 71 amehukumiwa kifungo cha maisha baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya mume wake aliyoyatekeleza mwaka 2018. Imeelezwa kwamba tukio la mauaji...
  14. Robidinyo

    Indonesia: Mwalimu wa shule ya Kiislamu aliyebaka wanafunzi 13 ahukumiwa kifungo cha maisha jela

    Herry Wirawan (katikati) mkuu wa shule ya wasichana ya Kiislamu aliyepatikana na hatia ya kubaka wanafunzi, akisindikizwa na maafisa wa usalama wakati wa kusikilizwa kwa hukumu katika mahakama ya wilaya ya Bandung, Java Magharibi, Indonesia, Februari 15, 2022. Rafi Fadh / AP Mahakama moja ya...
  15. Erythrocyte

    Kyela, Mbeya: Mwanachama wa CHADEMA afungwa Maisha kwa kuchoma moto nyumba ya Mwana-CCM

    Taarifa kwa Umma: Leo Tarehe 15/2/2022 Mahakama ya Wilaya ya Kyela imemhukumu kifungo cha maisha Gerald Mwakitalu kwa kesi ya uongo ya kuchoma moto nyumba ya Mwana-CCM kwenye uchaguzi wa 2020, huu ni ule ule mwendelezo wa hujuma dhidi ya CHADEMA ulioasisiwa na utawala wa awamu ya 5 kwa hisani...
Back
Top Bottom