Hamjambo!
Hili ni swali muhimu sana. Swali la ukombozi. Majibu yake ndio msingi wa wewe kutoka hapo ulipo.
JE ni nani unayemsubiri aje kubadilisha maisha yako?
Ni mumeo?
Ni mkeo?
Ni wazazi wako?
Au watoto uliowazaa?
Au serikali?
Kama huna unayemsubiri. Sasa muambie Mtibeli hapa, nini...
Marafiki - Nipo kwenye stage ambayo nimeshakuwa mtu mzima kujua kwamba marafiki wanakuja na kuondoka, na Urafiki unajengwa mkiwa katika hali sawa mkishapishana hata mlazimishe urafiki hauwezi kudumu, Nina washkaji wengi kwasababu nimezungukwa na watu ambao niwapende au nisiwapende wana umuhimu...
Maombi ya Yabezi yanatoka katika Biblia kwenye Kitabu cha 1 Mambo ya Nyakati 4:9-10.
Yabezi alikuwa mtu aliyekuwa na mwanzo mgumu kwa sababu mama yake alimzaa kwa uchungu na kumpa jina "Yabezi" linalomaanisha "maumivu" au "teso." Hata hivyo, hakukubali jina lake au mazingira yake yamainishe...
Ushawahi jiuliza inakuwaje tajiri anahonga hadi nyumba mwanamke lakini mwanae akimuomba hata ps3 anakuwa mkali sana,
Matajiri hutumia njia ya sex na mabinti wengi ili ku -extend energy ya utajiri wao wa giza.
Sasa unakuta hawa mabinti wana kuwa carriers wa roho nzito na giza ndani yao...
Na walizungumza nini kwa mfano?
Na mbona facial expressions na body language zao hazina chemistry ya pamoja na kwamba ni kama vile hakuna cha maana kilichojadiliwa miongoni mwao jana?
au wewe umeobserve nini politically miongoni mwa mafahali hao wawili wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi na...
Unaweza ukaona kama una akili nyingi ukadhani huhitaji msaada wa Yesu.
Unaweza ukaona una pesa nyingi sana hivyo ukadhani humhitaji Yesu.
Maswali je unayo furaha ya kutosha, unayo amani ya kutosha? Unao upendo wa kutosha? Je unao uvumilivu na ustahimilivu wa kutosha?
Unamhitaji Yesu ndugu...
Kwa huu uchumi wetu wa "UPIGANIZATION" unatakiwa uChape ilale.
Chapa kabisaaaaa mwana waneee
Ichape kama kesho haipo
Muda wa kumpuzika iwe kifo chako maana maisha hayana thamani tena.
Unaetegemea urahisi kutoka kwake mpunga alionao ataula na vitukuu vyake na yeye mwenye aliiichapa ilale...
Ualimu/kuajiriwa halmashauri.
Wazee wa tgs brother hapa usipokuwa mwizi, usipofikiria nje ya box, usipokuwa na determination kali nafasi ya kutoboa itakuwa ni ndogo, kwasababu maisha yatakuwa magumu mpaka utakapostaafu. Ukibadilika ukawq smart ukaongeza ujuzi wako unaweza kupunguza ukali kidogo...
Wa kwanza ni wazazi wako,
Yes wazazi wako,wazazi wetu kwa namna moja au nyingine kwenye makuzi yetu kuna mambo ambayo huenda sio kwa ubaya au bila wao wenyewe kujua,tunajikuta wametukwaza sana na kutuachia majeraha makubwa sana.
Tumekuwa tukiwalaumu,tukiwa chukia na saa nyingine kutopenda kuwa...
Unarogwa na maadui unaofanya nao kazi kwa wivu na chuki zisizofaa kimaendeleo.
Uraiani unarogwa na wananzengo ambao hata ukivaa shati na wakiona wewe una uhakika wa kura ugali dagaa wanachukia.
Bado hawara na mke wako wanakuroga na kukugombania kama mpira wa kona.
Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao...
Akili Bandia (Artificial Intelligence - AI) haijaja na bunduki wala vita vya wazi, bali imeingia taratibu kupitia vioo vya simu zetu. Wakati wengi wakisherehekea urahisi unaoletwa na AI, kuna mabadiliko ya kimya kimya yanayotokea kwenye ubongo na maisha yetu ya kila siku:
1. Inaua Uwezo wa...
IPhone ni EYEPhone = inakuangalia
SmartTV ina uwezo wa kukurekodi ... haijaitwa smart bure
AI inatangazwa kutusaidia... ivi wenye GMAIL umeshagundua AI inasummarise email zako? manake inazisoma. Kote tunakowasiliana INSTAGRAM, WHATSAPP sasa AI imerahisisha kutufuatilia
* kuwa mtu wa kucheki...
Kwa mtu ambaye maisha yake hayana utulivu au hayana ratiba maalumu, Belgian Malinois mara nyingi si chaguo sahihi.
Kwa nini?
1. Anahitaji mazoezi mengi sana. Si kutembezwa dakika 20 tu ukaona inatosha. Mara nyingi huhitaji saa 1–2 au zaidi za mazoezi makali na shughuli za akili kila siku.
2...
Anachoongea kwa maandishi
"Na nikuambie siri ya watu wanaorudi katika maisha yako. Wanao rudi au unaokubali kurudi. Kwanza, lazima ujuwe kwamba katika level ya watu kudharaulika, wewe uko kwenye level ya deki hiyo. Au ile bamba tunayoweka mlangoni kabla hatujaingia ndani tunafuta miguu yetu tu...
Jana jioni niliweza kuwatembelea wazee kadhaa waliostaafu na wengine wafanyabiashara wakubwa kiasi (mitaji yao bilioni kadhaa).
Wengine wametelekeza majengo na biashara zao na kuamia mikoa mingine ili kuepuka fedheha aliyoipata kwenye mahusiano kwa mkewe.
Wengine wameamua kuoa mara nyingine...
Kuna content creator yupo Facebook, Instagram na Youtube Kazi yake kubwa kuuliza wapita njia makazi yao na kodi wanazo lipa.
Jiji la New York mtu analipa usd 2500 alafu anaishi sehemu ya ovyo.
Nikawaza hawa waliopo Ulaya mfano USA hapo new york wanaweza kuwa Dar ya Morogoro Malinyi ndani...
Kuna wale jamaa huwa wanapenda kutusema sana sisi wana wa kamtungilei, lakini maisha yao kila kukicha ya jana yanakuwa na afadhali kuliko ya leo....kuna jamaa yangu mwingine huwa anapenda kunisema kuhusu mambo ya mtungilei alijichanganya akaenda kuchukua mkopo wa laki nne kwenye taasisi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.