maisha

  1. G

    Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa

    Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa.
  2. Mwande na Mndewa

    Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache, wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana

    Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache,wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana.
  3. Tlaatlaah

    Siri ya maisha mazuri

    Ni kuwa na nia ya kweli na ya dhati ya kufanikiwa kumshirikisha mungu katika mipango na vipaumbele kuelekea maisha mazuri.. Kuwa na bidii, maarifa na moyo wa kutokukata tamaa, pale unapokutana na magumu, mabonde na milima.. Na ukipita vizuri apo, huo unaweza kua mtaji lakini pia msingi muhimu...
  4. M

    Vijana mkitaka furaha ya maisha oa mke BIKIRA

    Mimi ni mzee naingia miaka 60 October . Nimeona mengi katika familia na ndoa za watu. Ukioa mwanamke ambaye alishaharibu USICHANA wake ni kama umeoa laana. Lakini ukioa mwanamke aliyejitunza usichana wake tangu kuzaliwa ni kama UMEOA BARAKA. Nina mengi ya kuwaeleza katika hili lakini itoshe tu...
  5. proton pump

    Yule mwanamke mzuri aliyeumbika, nyumba, gari, mashamba na biashara unayo kama ulivyopanga?

    Maisha mengi tuliyonayo yalianza kama picha inayojengeka akilini. Hakuna mwanadamu asiyependa vitu vizuri. Ushindani na matamanio ya mwanadamu yanazua mambo mengi. Pale unajaribu hili na lile ili kupata vizuri halafu ukavikosa ndipo akili inapoanza kuchanganyikiwa. Zipo nyuzi nyingi za...
  6. pantheraleo

    Paul Makonda adaiwa kumtishia Maisha Salaah wa GSM. Polisi waogopa kumchukulia hatua Makonda

    Haya jamani mpo?? Sasa ni hivi Bashite hajabadilika hata kidogo. Kumbukeni mwaka jana kulikuwa na story kubwa ya Bashite kung’ang’ania nyumba aliyompora GSM kipindi cha Magu? Kama mnakumbuka hata majuzi tu Bashite aliongea kuwa na yeye kadhulumiwa nyumba, alikuwa anamuongelea yüke GSM wa Yanga...
  7. Mshana Jr

    Maisha ya baadaye ya watoto wetu yanahitaji wawe na Elimu, network na investment

    Sina sababu ya kueleza mengi sna kuhusu Elimu na investment kwa kuwa kila mahali yanazungumzwa na kurudiwa rudiwa. Lakini watu wote wanasahau element muhimu sana ya network. Network ni namna ambavyo unajijenga ndani ya kundi muhimu la marafiki, washirika, alumnus mbalimbali na ata wale wa...
  8. JanguKamaJangu

    LHRC yatoa angalizo juu ya Usalama wa Mfanyakazi wao, Wakili Joseph Oleshangay, yadai anatishiwa

    Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dkt. Anna Henga Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), leo tarehe 28 Machi 2024 kimezungumza na waandishi wa Habari juu hali ya Usalama wa Mfanyakazi wake Wakili Joseph Moses Oleshangay. Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dkt. Anna Henga akizungumza na Waandishi wa...
  9. Kiboko ya Jiwe

    Serikali lipeni mshahara wangu wa Machi

    Serikali kwa tafsiri isiyo rasmi ni viongozi wenye mamlaka ya kutoa maagizo kwa ngazi ya kitaifa. Kazi tumefanya, issue ya error ndogo ndogo kwenye mfumo isiwe sababu ya kutunyima pesa. Kuna watumishi wawili kazini nawajua hawajajisajiri kabisa kwenye huo mfumo lakini mshahara wamepata. Mimi...
  10. Mhafidhina07

    Utafutaji wa pesa unaathiri afya za watu, mfumo sahihi wa maisha unabadilika

    Maisha wanayoyataka Taasisi za kidunia ni aina ya maisha ya utumwa ambapo wanaforce kila jambo liwe fursa na kwa sababu hii ndiyo ugumu wa maisha unazidi kuongezeka. Imagine zamani mtu anatoka home saa 12 asubuhi halafi anarudi 5 kutoka shamba, anapata muda na familia yake, muda wa kupata...
  11. M

    Kumbe ndio maana Katavi na Sumbawanga wanaua. Kwanini uharibu maisha ya mtu?

    Yaani napalangana kuuza kangala na huku napiga kazi.. Kuna dada mmoja alinikuta kazini (Kapuni naliweka jina lake.) Aliponikuta kazini alikuja hajui kitu. Nikamfundisha kazi. Baada kujua kazi. Akabadilika akaanza kunichafua kwa mabosi. Asubuhi bosi akija anakuja amenuna. Ghafla nikaanza...
  12. matunduizi

    Tusiseme wana wa kike wa siku hizi wanapend pesa, ukweli ni wanawake wameumbwa ili waishi maisha mazuri ten yenye usalama.

    Mwanamke alipoumbwa, alikuta Mungu ameshaandaa sehemu bora safi ya kustarehehesha yaani Eden. Maana ya neno Eden ni Sehemu ya kustarehesha inayolindwa. ( Protected place of Pleasure). Hata baada ya kufukuzwa Eden. Bado mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho ili matumizi ya matokeo ya hilo jasho...
  13. T

    Uzinzi umeharibu maisha ya familia yetu

    Wakuu bila shaka mnaendelea vyema. Tumezaliwa watoto wanne , mimi nikiwa wa tatu. Mtoto wa kwanza ni wa kike yeye aliolewa wakati wa ukuaji wangu hivyo sifahamu sana kuhusu kumhusu. Kaka yangu alikuwa ni kipanga tangu darasa la kwanza hadi la saba hakuwahi kutoka top 3, alivyomaliza la saba...
  14. LA7

    Ni tabia gani uliweza kumbadilisha mke au mme wako?

    Kwenye maisha ya mahusiano Mara nyingi hutokea watu wakakutana na hawajuani wala hakuna mwenzake ana fahamu mwenzake kakuaje au kapitia maisha gani, Ni Mara chache sana hutokea wakakutana au kuoana waliokulia sehemu moja na kujuana, Mm kuna baadhi ya tabia ambazo nilimkuta nazo mke wangu na...
  15. Maleven

    Kuna wakati unahisi kama vile ni ndoto ila sio ndoto, ndiyo maisha halisi

    Kuna muda kila kitu kina kua shakarabaghara. Uchumi Mahusiano Basi tu
  16. aBuwash

    Kukaa Kijijini ni kufeli maisha

    Habari wana jf napenda kutanguliza huu uzi kama ulivyoandikwa hapo juu. Najua kuna baazi ya watu hawawezi kunielewa. Ila ukweli upo hivi kukaa kijijin kwa kijana unaejitafuta kimaisha ni kufeli na nasema hivi kwasbabu nazoziona mimi. 1. KUZUNGUKWA NA WATU WASIOSAHIHI NA WENYE MITAZAMO HASI...
  17. kiwatengu

    Mjadala: Ni jambo gani kwenye Maisha yako lilichelewa sana? Ila sasa unaona kawaida sana

    Wakuu, Kwenye haya maisha tuna mambo mengi sana ambayo ni matamanio, na kila mtu nafikiri wanayo. Sasa ni vitu gani ambavyo ulivitamani sana kuwa navyo, yaani ile tu unajiambia I wish, I wish... Ila sasa unavyo au unavifanya na unaona ni kawaida kabisa yani!! Kuna watu walitamani kuwa na...
  18. Fundi kipara

    Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

    Salam za wakati huu jamvini, naimani hamjambo na wazima wa afya kabisa na mnaendelea kulijenga taifa la mpate japo kitu kiende kinywani. Bila kupoteza muda na kuifupisha makala hii, naweza kusema kuwa napitia wakati mgumu sana pale ambapo naona binadamu wenzangu wakidekezana wao kwa kao (male +...
  19. Chance ndoto

    Hii ndiyo historia Watanzania wengi tunahitaji kuijua, Ili tujue maisha ya nyuma yanaugumu kiasi gani.

    Fikiria au imagine kwa dakika moja tu, kwamba ulizaliwa mwaka 1990, Ulipofika miaka 14, ikatokea vita ya kwanza ya dunia, ambayo iliisha ukiwa na miaka 18, na watu zaidi ya vifo milioni 22 vilitokea. Ukiwa na miaka 22, ugonjwa wa spanish flu global pandemic ukaua zaidi ya watu milioni 50...
Back
Top Bottom