maigizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hatimaye maigizo ya Makonda yamchosha Mama

    Yale maigizo ya Bashite ya kupanda mikokoteni,matrecta...... yamemchosha Mama wa Kizimkazi. Ni wazi kupitia mikutano yake iliyojaa maigizo na ulaghai uliopitiliza ameonekana ni vyema akapewa nafasi level ya mkoa akapambane na mama ntilie,kupokea mwenge na kupambana na waendesha bodaboda...
  2. Yaani umefunga halafu unaenda kutafuta wanaopika na kula? Inawezekana Mungu huwa anacheka sana akiangalia haya maigizo

    Najaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula? Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula sasa hapo umefunga umebadilisha ratiba ya chakula? Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si...
  3. Tukisema Royal Tour Tulipigwa tunamaanisha ukweli

    Kwamba Tanzania Royal Tour ilikuwa ni siasa, Royal Tour ilikuzwa kuliko uhalisia wake. Na pia Royal Tour Documentary haikuwa na maudhui yoyote makubwa yenye ushawishi kwa watalii kuweza kuijua Tanzania pamoja na vivutio vyake. Bali Royal Tour ilitumika na kundi la wajanja ndani na nje ya nchi...
  4. Ni nani ameruhusu maigizo kama haya Ikulu?

    Hivi ni kweli hawa watu walikwenda kufanya baiashara ya kuuza madafu au walikwenda kuonesha maonesho ya madafu Nani ana ruhusu vitu kama hivi Ikulu? Yani wanajaribu kusema na kufanya nini? Ni wangapi wamenunua hayo madafu kuwaunga mkono hawa wajasiriamali?
  5. Maigizo: Mbunge wa CCM Stellah Manyanya adondoka chini baada ya serikali kutoa Tsh bilioni 81 ujenzi wa bandari ya Mbamba Bay

    Mbunge wa Jimbo la Kyela Mkoani Mbeya, Ali Jumbe na Diwani wa Kata ya Mbambabay,Ajali Hassan wakimsaidia kusimama Mbunge wa Jimbo la Nyasa, Stella Manyanya aliyeanguka kwa furaha kufuatia Serikali kutoa Bilioni 81 kwa ajili ya Ujenzi wa Bandari mpya katika Mji wa Mbambabay.
  6. Mpira unapogeuka mchezo wa maigizo

    Leo tumeshudia maigizo, tume enjoy sana kwa maigizo na tunawapongeza waigizaji kwa kuweza kumeza script ipasavyo, naona lengo la kuuamisha watu wa mpira wa miguu kuwa Freddy na Jobe sio magarasa leo utakuwa umezikwa baada ya watu kuonesha wasiwasi kwa mechi kadhaa tena baada ya kushindwa...
  7. M

    Ziara za Makonda hazina mvuto tena. Wananzengo wameg'amua ni maigizo ya kisanii

    Pamoja na mikwara mbuzi ya kupiga simu lakini hakuna jipya. Dhuluma na ufisadi bado vipo palepale. Polisi na Mahakamani dhuluma. Upigaji ulisharuhusiwa. Maana kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake wanaogopa kuvimbiwa tu
  8. JWTZ kufanya maonyesho ya ukakamavu kwenye Sherehe za Kitaifa kumepitwa na wakati

    I am not in the least bit impressed. Maonyesho ya kuvunja mbao, ya kuvunja matofali ya mchanga, ya kuokoa ‘mateka’ kwenye kiwanja cha mpira, na mengineyo, kwangu hayana maana yoyote ile. https://youtu.be/nE4VLXQ-bKY?si=VaXPStM2NnumYO_n
  9. R

    Mlimani City Dar: Nahisi kama maigizo na utapeli vimetamalaki

    Hapa ukikaa unaweza kudhani watu wapo serious na maisha kumbe maigizo tu na vikao vingi hapa vimekaa kitapeli tapeli Watu wawili ama watatu wanakaa kwenye moja ya coffee shops na mmoja anafungua laptop ama anashika notebook na pen Ukitazama walivo serious ni kama kikao kizito cha biashara...
  10. Kangaroo Courts - Muendelezo wa Maigizo (Nchi haiendeshwi kwenye Luninga)

    Kinachoendelea inabidi kifanyike kuanzia ngazi ya mtaa kwa wanajamii, Kinachoendelea inabidi kifanywe na wabunge majimboni kwao kwa kukusanya kero za wananchi, Kinachoendelea kufanywa na CCM sioni tatizo sababu ni propaganda na kampeni na watanzania wanapenda matukio (kwahio haya maigizo huenda...
  11. B

    Makonda anatoa maagizo mazito kila siku, ni lipi limetekelezwa hadi sasa au ni maigizo?

    Wanabodi, Nimekaa na kufatilia ziara za Alieyekuwa RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?
  12. Wabunge wetu wa CCM na maigizo Bungeni

    Utawaona baadhi wanatokwa povu, wanatokwa jasho, wanawaka hasa kukemea ubadhirifu uliobainishwa na CAG. Wakimaliza mjadala maisha yanaendelea kama kawaida. Wanasubiri tena mwaka ujao. Napo watawaka sana na kutokwa jasho, kisha maisha yanataendelea mpaka mwaka ujao. Haya ni maigizo tu yasiyo na...
  13. Mechi ya Simba na Al Ahly ni kama ilikuwa maigizo

    Hii mechi ilivyokuwa ni kama ni maigizo kwa namna ilivyokuwa timu zinacheza. 1) Al Ahly wameonesha wana accuracy ndogo sana kwenye final third ya mpinzani. Mechi zote mbili, wachezaji wa Al Ahly wameonesha uwezo mdogo sana katika umaliziaji kama sio wachezaji professional vile. Mipira...
  14. Heri Udikteta Kuliko Maigizo ya Demokrasia

    Tukumbushane tu..., Sisemi kwamba hili linatokea Sasa lakini Kutumika kwa Rasilimali Fedha na Muda kwenye Maigizo ya Demokrasia au Kutumia Pesa kwa Propaganda, ni bora Muda na Pesa hizo zikatumika kuleta maendeleo kwa Wananchi wanaojua Demokrasia haipo (Maigizo yana Gharama isiyo na Tija...
  15. A

    DOKEZO Uchunguzi: 'Makanisa ya Kiroho' na shuhuda FEKI kuwahadaa watanzania

    Wakati ongezeko la nyumba za ibada maarufu 'Makanisa ya Kisasa' likizidi kushika kasi Nchini Tanzania, kuna baadhi ya makanisa hayo yanatumia shuhuda za uongo (feki/za mchongo), kujizolea maelfu ya waumini kisha kujipatia fedha kwa mgongo wa sadaka. Uchunguzi ulioufanywa na kikundi cha...
  16. Zombie na vampire ni Jambo Halisi, sio maigizo kama wengi muonavyo

    ZOMBIE NA VAMPIRE NI JAMBO HALISI, SIO MAIGIZO KAMA WENGI MUONAVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Bila Shaka wengi wetu tumewahi kuziona filamu za Mazombi na Vampire, na ambao hamajwahi kuziona basi mnaweza kuzitafuta Baada ya kusoma andiko hili. Kuna watu huniuliza na kuniona Mbona Huyu...
  17. Napinga mchakato wa kupata katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025, Watanzania tukatae maigizo ya wanasiasa. Imetosha

    Bila kutumia Maneno mengi wote tunajuwa mabilioni ya pesa za walipa kodi yalivyohujumiwa na wanaccm kukwamisha katiba pendekezwa ya tume ya Warioba. Sasa kuna wanasiasa wanadhani tumesahau au sisi ni wajinga, eti wanataka katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025 halafu bunge hili la DP ndio...
  18. FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

    Leo ndiyo nngwe ya pili ya Fainali ya kombe la Shirikisho Afrika ikiikutanisha timu ya USM Alger ya nchini Algeria na Yanga SC ya Tanzania ambapo Yanga itakuwa ugenini. Katika mchezo wa kwanza Yanga ilipoteza 2-1 katika uwanja wa Benjamini Mkapa. Timu hizi katika historia zimeingia fainali kwa...
  19. Maisha halisi nguzo yake ni ukweli lakini je, kwanini watu hugeuza maisha kuwa ni maigizo?

    Habari JF, Niwashirikishe kwenye chagizo la fikra na fikirishi kiasi, palipo na ladha, raha na utamu unayoweza kuihisi, kuionja, kuitamani, kuusikiia, kuisikilizia, kuipenda au kivyovyote vile nyuma ya pazia kuna uchafu na madudu ambayo hatimae tunapata vitu kama ladha, raha na utamu. Hivyo...
  20. A

    SoC03 Andiko kuhusiana na Sanaa na maigizo

    Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu sana katika maendeleo ya sanaa na maigizo katika nchi yoyote ile. Sanaa na maigizo yana jukumu kubwa katika kuunganisha jamii, kuleta maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kiakili, na kuendeleza utamaduni wa nchi. Hata hivyo, katika nchi nyingi, utawala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…