udikteta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bless on

    JamiiForums Tanzania Siri ya Utajiri wa Israel: Akili Badala ya Madini

    Msemo mmoja maarufu nchini Israel unasema: "Musa alituzungusha jangwani kwa miaka 40 na hatimaye kutulaza sehemu pekee ya Mashariki ya Kati isiyo na hata tone moja la mafuta." Pamoja na kuwa na eneo dogo (zaidi ya 60% ikiwa ni jangwa la Negev), kutokuwa na dhahabu, mafuta, wala madini ya...
  2. Bichwa ndani ya dryer

    JamiiForums Tanzania Udikteta ndio chaguo bora la utawala

    Kwa utafiti mdogo nilioufanya UTAWALA wa kidemokrasia ni utapeli tu na mtego ambao nchi nyingi za kiafrika zimejiingiza kingi bila kujua ,naamini udikteta NDIO mfumo Bora wa kutongoza nchi kwasababu dikteta anakuwa msemaji wa mwisho katika maswala ya nchi bila kuingiliwa na makuburu na walowezi...
  3. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Mh.Waziri mkuu wa Tanzania Mwigulu Lameck Nchemba tembelea wilaya ya Kilindi Tanga uwaokoe walimu wanaofanyiwa udikteta wa hali ya kutisha bila kutete

    Kwanza nakusalimia Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.Kazi iendelee. Naandika Kwa maumivu makali moyoni juu ya udikteta wa kutisha unaofanywa Kwa walimu wanaodai madai mbalimbali hapa wilayani Kilindi Tanga.Pesa za likizo hazitolewi Kwa wakati Kwa watumishi na zikija zimekatwa. Pesa...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania MADARAKA YA KULEVYA: Umwagaji Damu, Utekaji, na Siku za Mwisho za Udikteta

    Ndugu Wananchi wenzangu wanaoumia, Nimesimama mbele yenu kusema ukweli mchungu unaofichwa kwa nguvu nyuma ya propaganda za kisiasa. Taifa letu haliongozwi tena kwa misingi ya sheria wala Katiba; linaendeshwa kwa hofu, vitisho, na ukatili unaotokana na ugonjwa hatari unaoitwa "Madaraka ya...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kwa Namna Tanzania Inavyosemwa Vibaya, Bila Shaka Kwa Sasa Itakuwa Ndiyo Nchi Kiongozi Duniani kwa Udikteta

    Tanzania imetambulika Duniani kote kutokana na mauaji makubwa ya wananchi ambayo watawala waliyafanya ili kujichukulia utawala kwa nguvu. Baada ya tukio hilo Tanzania ilitajwa na vyombo vikubwa vyote vya habari Duniani. Na kupitia tukio hilo, taasisi mbalimbali za kimataifa zilianza kufuatilia...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kijana Pele alistaafu kucheza kombe la dunia na umri wa miaka 29 kupinga Udikteta wa Generali Medichi

    Juzi tumeona Davido nyota wa mziki wa Nigeria aki protest jukwaani utekaji na mauaji ya raia nchini mwake. Ni kawaida kwa ma star wanaojielewa. Kijana Pele akiwa na miaka 29 alishinda kombe la dunia mara ya tatu na ya mwisho. Mwaka unaofuata 1971 akastaafu mpira. Baadae akaeleza akasema...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kashfa za 'udikteta' zinazomuandama Mbappe zina msingi wowote?

    Kuna hii kashfa kuwa kajamaa ni kadikteta🤣 Kashfa hii ina msingi wowote?
  8. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hakuna sheria inayozuia mtu kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ndani ya Tanzania. Ni Udikteta.

    Nchi hii hakuna sheria wala utaratibu wa polisi kupangia mtu aende wapi, au asiende wapi.. Polisi Tanzania hawana mamlaka kisheria wala kikatiba kuingilia uhuru wa watu kwenda wanapotaka wao wenyewe.. Polisi Nchi nzima wameweka barriers wanakamata viongozi na wanachama wa Bawacha waliokua...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Uhuru bila mipaka ni vurugu, lakini mipaka kwenye uhuru ni udikteta

    CCM hupenda kusema "uhuru bila mipaka ni vurugu" kuashiria kuwa hakuna uhuru usio na mipaka. Na CCM hutumia msemo huo kuhalalisha matumizi ya nguvu dhidi ya wanaowapinga kisiasa. Lakini CCM huficha sehemu muhimu ya msemo huo inayosema "mipaka kwenye uhuru ni ugandamizaji". Dhana hizi mbili...
  10. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Sikiliza interview ya Oscar Kambona ya Mwaka 1968, akizungumzia udikteta

    Download hii video haraka Oscar kambona alikuwa mbele ya Muda. Alilalamikia mfumo wa kidikteta ulitengenezwa na Nyerere. Huo mfumo ndio unaitesa nchi hii mpaka sasa hivi.. https://youtu.be/-rSfRJVSXqI?si=xuFuPTWRF5lPsR3K
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Udikteta uharibu uchumi demokrasia huleta ubunifu na maendeleo

    Jamii nyingi zilizoendelea Duniani huwa na aina Fulani ya demokrasia. Na jamii nyingi maskini Duniani hujawa na mfumo wa kidikteta. Mifumo ya kidikteta huzaa viongozi walafi, katili na wasiowekeza kwenye jamii zao zaidi ya kuwekeza kwenye familia zao. Marekani kwa sasa wana kiongozi dikteta...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Walimu vyuo vikuu unaingiliwa. Wakifundisha wanarekodiwa. Huu ni udikteta uchwara.

    Yaani tumefikia hapa?
  13. Logikos

    JamiiForums Tanzania Udikteta pia ni Kipaji

    Siongelei Benevolent Dictator (yule anayefanya mazuri) naongelea hata yule anayeuma na kupuliza lakini kuweza kupuliza unahitaji kuwa na ruthless ambition, charisma, na manipulative skills... Tatizo mtu ambaye hana manipulative skills na charisma (watu wamkubali) anaweza akajikuta anachukua hio...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini udikteta umeshindwa kuleta maendeleo Africa?

    Kwa nini Africa udikteta umeshindwa vibaya sana kuleta maendeleo endelevu na utulivu?
  15. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania Africa na Udikteta ni very strong bond na haitokuja kuvunjika kipindi cha uhai wetu

    Sina mengi ya kusema ila Africa kwa madikteta, nainua mikono 😂😂🙌 “Africa never ceases to amaze the world with how it keeps producing new dictators every now and then.” Congratulations Africa, you just got yourself a female dictator 🏃🏽🏃🏽
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Marekani yazidi kutitia kwenye tope la uchawa na udikteta. Comedians wakosoaji wa Trump wazidi kupoteza kazi

    Huko Marekani chini ya utawala wa Trump wanaendelea kusogea mdogo mdogo kufanana kama tawala za China, Russia, Korea Kaskazini na nchi nyingi za Africa ambapo bwana au bibi mkubwa namba moja hapaswi kukosolewa na ukimkosoa ujiandae kunywea kikombe cha ghadhabu na uchungu. Comedians wawili...
  17. C

    JamiiForums Tanzania TANZANIA hatuna udikteta wa mtu bali tuna UDIKTETA wa chama, udikteta ambao ni mbaya sana kupambana nao

    Ni kweli hatuna udikteta wa mtu ila tuna u dikteta wa chama, udikteta ambao chama na serikali vimeshindwa kabisa kujitenga yani kilipo chama ipo serikali na ilipo serikali kipo cha chama. Udikteta huu ni mbaya sana tena ni mbaya sana hasa kwa aina ya mwenendo wa siasa za tanzania siasa ambazo...
  18. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sio waumini wa demokrasia kweli, wakipata dola watatunyanyasa kwa udikteta

    Nimesema hivyo kwa sababu, CHADEMA pamoja na wanachama wao, hawaamini, hawakubali na wala hawaridhiki mtu mwingine kuwa na mawazo na maamuzi tofauti na wao. Wanalazimisha yule watakayemfanya adui, LAZIMA kila mtu amfanye adui. Ukiamua binafsi kwa maslahi na faida yako mwenyewe Ukamfanya rafiki...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya kwanza, ambao hawakuwahi kuelewa maana ya udikteta, wanapata maana halisi

    Wakati wa utawala wa Jakaya Kikwete, kuna wakati baadhi ya watu walimwita ni dikteta, yeye akajibu kwa kuwauliza kama hao wanaosema kuwa yeye ni dikteta, wanaelewa maana ya udikteta. Akawauliza mmewahi kushuhudia udikteta nini? Wakati wa utawala wa Hayati Magufuli, Tundu Lisu alimwita Magufuli...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Marekani yazidi kusogelea katika giza la udikteta, Trump atishia kuvifuta vyombo vya habari vinavyomkosoa.

    Yale mambo ya ulimwengu wa tatu ya banana republics ya mtawala hakoselewi sasa yameanza kushika kasi Marekani katika awamu ya pili ya Trump, tayari ameshamfukuzisha kazi comedian mmoja mkubwa maarufu Stephen Colbert wa CBS ambaye ni mmojawapo wa wakosoaji wake wakubwa, ameshavuna mabilioni ya...
Back
Top Bottom