Hivi sasa kwa zama hizi wengi ni wazazi pengine kwa kutarajia kua na wengine hawakutarajia imetokea tu.
Kwasasa wazazi wanalalamika watoto wao kutowahudumia zaidi wanapofikia uzee lakini watoto hawa hawa unakuta mjini ana maisha ya kuweza kumtumza mzazi au wazazi wote wawili lakini kwa GenZ...
Hii ni simulizi fupi ya kweli ya mahusiano yangu na ndoa yangu,naomba wengi tujifunze na kushauri pia.
Mimi ni baba wa watoto watatu naishi na familia yangu kwa miaka kumi sasa,katika maisha yetu na mke wangu tumeishi vizuri sana kwa maelewano mazuri,toka tuanze maisha chumba kimoja tumekuwa...
Hamjambo!
1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana.
2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana...
Wanajaribu kuleta watu wenye majina ila kusema kweli hakuna jipya zaidi ya kuendeleza stori isio na maana.
Kilichobaki ni kushangaa tu wadada wenye makebo makubwa tofauti na hapo hakuna jipya
Nina jua madhara ya andiko kama langu maana aliyehoji elimu ya Magufuli alitekwa na KUPOTEZwa mpaka Leo Sina amani ya kusema Ben Saanane kamwe
Inaumiza kwa elimu za kibongo zilivyongumu Kuona mtu anapewa updh una UMMA sana
Mimi niliwai Kuoji hivi mwigulu na Dr Jafo wakiwa mawaziri waliwezaje...
Sijapata bahat ya kutoka nchi za watu, inshallah kikubwa uzima naweza fanikiwa fika siku moja, ila mara nyingi napenda sana kuingia YouTube na kutazama miji mkuu au majiji ya nchi husika.
Mfano kama muda huu naiangalia GABORONE _🇧🇼 yaani unaona jinsi majengo yanavyovutia, unaona majengo...
Nipo huku SA. Hawa jamaa wamekuwa waduanzi sana. Wanatusimanga kwa maneno ya hovyo utadhani baba yao naye ana kitu cha maana.
Wanasema mama yenu ana IQ ya 40. Nawatizama nawatukana kimoyo moyo mbwa hawa. Jana tumekaa na boya moja tunajadiliana anasema nyie mliwahi kuwa na Baba mtandao mchafu...
Wangapi wanajua kuwa leo ni siku ya sheria?
Wachache maana hakuna mvuto kwa vile hapa tunaishi bila sheria. Sheria ni Samia, Mafwele, Mulilo na watu wao!
Salam wanajamvi, kwa namna mambo yalivyo ni wazi ushiriki na imani ya wananchi kwenye mambo ya siasa umepungua, nikiwa na maana ni ngumu kwa mwananchi wa kawaida kuamini nini viongozi wanacho eleza wakiwa kwenye majukwaa na hii ni kutokana na timing ilio fanyika katika mambo yalio tokea hapo...
Wala salama. Za mwaka mpya sio mda wake .
Bi msumi wala asingejichosha kuongea maana sijaona la.maana
Zaidi ya kutukumbusha machungu ya October 29,30 and 31 October.
Eti tume ya maridhiano.
Umeharibu nchi ,alafu unataka kuridhiana ,swali dogo ulikuwa hujui unachofanya kwamba huko unakoelekea...
OFA YA KITABU CHA KIINGEREZA
Mimi kama mwalimu wa kingereza imenibidi nikupe ofa ya kitabu (soft handbook)
DOWNLOAD hapo👇
in case utaitaji msaada wa vitabu vingine au namuna ya kukitumia hicho kitabu (soft hand book)
Tuwasiliane kwa namba 0623446608
Ubarikiwe!
Mzuka Wana Jamvi
Huu ni utafiti nilioufanya tukuanzia hapa JF unamkuta Genius Maghayo
Utangazaji MillardAyo
Muimbaji DullAyo
Kwenye Bible ZebedAyo
Kabila WakaldAyo
Mchezaji mpira AdebAyo
Mfanya biashara ChivAyo
Je una maoni yapi ?
Uzi teyari
Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa.
Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri.
Kwa kweli Maza anaoongea kama vile anahutubia mkutano wa ziara badala ya kuongea kama vile anapiga kampeni.
Na haya...
Habari za zenu wana jf
MImi ni kada wa chadema wa miaka mingi sana tokea nipo O level mpaka chuo na tushapewa sana suspension( kusimamisha shule kwa misimamo yangu ya kisiasa)
Kwa haya yanayofanyika nchini ni maigizo tu kwenye siasa hasa vyama vya upinzani ili kuleta demokrasia ya uongo...
Mimi binafsi kipindi cha vifo Radio one kama sikosei, zamani ilikuwa ni kipindi kizuri kutokana na upatikanaji wa taarifa kuwa hafifu ila kwa sasa mhhhhhh, vipi wadau wengine?
Kuna watu wakishapata madaraka basi wanajiona washakuwa maarufu kiasi cha kuanza dharau na majigambo, kiasi cha kuona wao ndiyo wenye sifa zaidi kuliko wengine kitu ambacho si sikweli ni ulimbukeni tu wa madaraka.
Mbaya zaidi wanafikia hatua hata ya kutowaheshimu wale waliowaheshimisha kwa...
GT
CCM ina hali mbaya sana kwa kweli kinachoibeba hadi sasa ni kwamba watanzania siyo watu wa kudhubutu vinginevyo tungekuwa tuanongea mengine.
Sasa unajua CCM ikiitisha mkutano.wa hadhara bila kubeba watu kwenye malori au.kuwahonga watu hela wahudhurie mkutano ni ngumu kuwapata, kwa mantiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.