mlimani city

Mlimani City is a shopping mall on Sam Nujoma Road, Ubungo, Dar es Salaam, Tanzania. It is one of the largest malls in the country, with an area of 30,000 m2 (320,000 sq ft). The opening ceremony was in November 2006. It is Tanzania's first indoor air conditioned mall.Mlimani City is home to several retail stores, restaurants, and a movie theatre, Century Cinemax. Among the stores are South African and Indian favourite stores like Choppies and Mr. Price. There are several telecommunication service provider branches based in the mall, like Airtel, Tigo and Vodacom. The mall has a large parking lot. It also has branches from several banks, building societies together with ATMs.

View More On Wikipedia.org
  1. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Mlimani City aingia mgogoro na UDSM

    Turnstar Holdings, kampuni kubwa zaidi ya mali isiyohamishika iliyoorodheshwa nchini Botswana, imewasilisha madai ya kimahakama ya kupinga (counterclaim) katika mgogoro wa kisheria kuhusu Mlimani City, jengo la maduka la Dar es Salaam ambalo ndilo rasilimali yenye thamani kubwa zaidi katika...
  2. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kwa taarifa nilizonazo ilikuwa inapigwa simu pale mlimani city

    Ila ndo hivo watu wakamwaga mboga. Wao si wamemwaga ugali. Hii miaka mitatu ni mingi sana. Pia pia alikuwa anatazama live.
  3. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

    Muda huu lile tamasha la miaka 30 limeanza katika ukumbi wa Mlimani City. Wasanii wa zamani wanapanda jukwaani kutukumbusha zile ladha za miaka ile. Vijana wa miaka ile njooni hapa Live updates ziko hapa kwenye uzi huu… Show iko live kupitua Sinema Zetu, TvE, Clouds Tv
  4. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania KERO Haya mafataki yanayopigwa karibu na Mlimani City mida ya usiku ni usumbufu mkubwa. Nimemuonea huruma sana huyu mzee

    Wakuu, Sikatazi watu kupiga mafataki lakini si watu wapige mchana. Hivi kweli mnapiga mafataki saa 4 na saa 5 usiku watu wamempuzika na familia zao Watu wanaoishi hapa karibu na Mlimani City wanateseka sana. Haya mafataki yalikuwa yanapigwa jana mida ya usiku. Inaboa sana Basi pigeni hata...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mlimani City wale wanaoonekana si wote binadamu. Nimeshtushwa last week

    Kwenye lango la kuingilia survery ile sehemu ya kukaguliwa na kuchukua ticket kulikuwa na mistari mitatu ya magari. Kulia, kati na kushoto. Gari zilikuwa nyingi kati na kushoto. Kama zimepanga foleni ya kupita vile vigeti vya ukaguzi na kukata ticket. Kidogo nlishangaa why wameacha gari moja...
  6. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Kambi ya ‘Mgombea’ pale “Mlimani City” zilipokuwa ofisi za Vodacom inalenga nini?

    Waratibu: NN, JM, LN na ‘wazee wa kazi’ Na recruitment ya IT Experts wengine kutoka CoICT ya UDM iliyofanywa mapema Juni imeenda mbali kuhakikisha ushindi wa kishindo. Lakini, kwani kuna uchaguzi? Mbona zinatumika pesa nyingi bila sababu?
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Benki ya NBC ina mhudumu mmoja pamoja na kuwa na foleni

    Hivi mmekosa wafanyakazi?? Ama wafanyakazi wanafanya kaxi kwa mazoea? Hii mara ya tatu nimetoka hapo mlimancity tumepangana kama watu 12 mhudumu n mmoja tu huu n ushenzi Wewe unaepanga kutoa hela kuweka nenda sehemu zingine branch ovyo kabisa. Mbaya zaidi wanakuja wazungu ama wahindi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia akiwasili kwa Bashasha na Tabasamu Mlimani City katika Harambee ya Kuichangia CCM Billion 100. Watu Waandaa Maburungutu ya Pesa kuimiminia

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge...
  9. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania GE2025 Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, Mlimani city (CCM gala dinner 2025) wamekusanya Bilioni 86.31

    https://www.youtube.com/live/Kl7JY-zdy0c?si=TWJ9NKMmXZrdQII6 Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Mlimani City jijini Dar Es Salaam ambapo leo tarehe 12 Agosti 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafanya harambee ya kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na...
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa mtiania nafasi ya Urais ACT Wazalendo Aaaron Kalikawe: Kila Kata itakuwa kama Mlimani City

    Wakuu, Mgombea wa nafasi ya kuteuliwa kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Aaron Kalikawe ameahidi kuifanya Tanzania kuendeshwa katika mifumo ya teknolojia itakayochochea uzalishaji wa ajira kwa vijana. Kalikawe anachuana na Luhaga Mpina katika...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe kupokelewa CHAUMMA Agosti 06 ukumbi wa Mlimani City

    Habari ndio hiyo. Wajumbe tayari wako njiani wanakuja. Jiandaeni kupata mgombea Urais wa Upinzani wa CCM B.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya karne ya Humphrey Polepole iliyowainua watu Mlimani City 2014

    Toka maktaba: November 26, 2014 Mlimani City, Dar es Salaam Hotuba ya karne ya Humphrey Herson Polepole iliyowainua watu Mlimani city 2014 Alichosema Polepole katika Mdahalo wa Katiba Mlimani - City 2014 kinachoishi jana, leo na hadi kesho Amb. Humphrey H. Polepole...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Naenda Mlimani City kuchukua " Royal Jelly" ( Maziwa ya nyuki) na Uyoga Mwekundu...

    Maisha ya mwanadamu ni mazuri sana but only if you believe on " Likud's philosophy of life". If you actually want to be happy in this world, then your life should move in the direction of Likud's philosophy of life. Maisha nini? According to me " Maisha ni mazuri sana ". Tumeumbwa duniani...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za Ufuatiliaji wa Magari na Utoaji wa Faini Katika Maeneo ya Mlimani City na Survey Road kwa madai ya maegesho yasiyo rasmi (Wrong parking)

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya madereva kusimama kwa muda katika maeneo ya Mlimani City na barabara ya Survey, wakidai kufuatiliwa, kusumbuliwa, na wakati mwingine kutishiwa na watu wanaodai kuwa maafisa kutoka Manispaa ya Kinondoni. Ingawa udhibiti...
  15. Mwanga wa Jua

    JamiiForums Tanzania PPPTZ: Kampuni ya Kifaransa ya ALSTOM kujenga reli za juu kutoka Posta mpaka magomeni kwenda mlimani City kisha Tegeta

    == Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Kampuni ya ALSTOM, yenye Makao yake Makuu nchini Ufaransa, iliyoonesha nia ya kuwekeza katika ujenzi na uendeshaji wa miundombinu ya reli ili kupunguza msongamano wa magari na kuboresha...
  16. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania UDSM yaingia mkataba kujenga kituo kikubwa cha biashara zaidi ya Mlimani City

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Chasaini Mkataba Mkubwa kwa Mradi wa Kituo cha Biashara cha Hill Park Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kushirikiana na Watumishi Housing Investments kimesaini rasmi mkataba wa TZS bilioni 8.5 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa ndoto wa Hill Park Business...
  17. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nina wazo la biashara mlimani City natafuta muwekezaji, wazo zuri ninalo

    Nina wazo la biashara mlimani City natafuta muwekezaji, wazo zuri ninalo Naishi mkoa wa Dar es salaam -> mawasiliano: inbox
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Dar es salaam ina kumbi nzuri za gharama rahisi, kwa nini chadema wanakodi Mlimani City wenye gharama ya mamia ya mamilioni?

    Leo ni siku ya wanawake duniani, chadema wamefanyia katika ukumbi uliojaa fahari kuu na anasa-Mlimani City. Kuna Msimbazi Centre ya mwanachadema Padri Kitima na nyingine nyingi, kwa nini chama changu kikodi ukumbi kwa zaidi ya milioni mia moja (100, 000,000/) wakati juzi tu wamelia hawana...
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Tundu Lissu Mlimani City kwenye sherehe ya siku ya wanawake duniani Kule Samia (Chura Kiziwi) huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya WaTZ

    https://youtu.be/y8KzIdDQTRY?si=h48lxjkU07dTz-9S Kule Samia na taarabu, huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya Watanzania..
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa yupo Mlimani City akishiriki maadhimisho ya BAWACHA siku ya wanawake duniani

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa naye yumo leo Mlimani City kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayoadhimishwa na Baraza la Wanawake wa chama hicho katika ukumbi wa Mlimani City Dar Es Salaam
Back
Top Bottom