luninga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ncha Kali

    Wenye familia na watoto mnawezaje kutazama Runinga nyumbani?

    Eti? Unarudi nyumbani unakuta watoto wanatazama katuni zao kwa raha zao, au tamthilia pendwa za kike unawezaje kubadili chaneli bila kuonekana katili? Tuseme muda wa Taarifa ya Habari, au hata mechi pendwa za soka..... ukibadili channeli watoto hao wanakukimbia sebuleni unabaki mwenyewe...
  2. Msanii

    Baadhi ya vituo vya Luninga hawapo kwenye maombolezo ya Kitaifa

    Watanzania tuelewane hili jambo. Msiba wa mzee Mwinyi ni wa Kitaifa kama tulivyoyangaziwa na CIC SSH. Tuliona kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu tuliona Vituo vya Televisheni wakiboleza kwa siku zile 5 za msiba. Nimepita kwenye channel ya DSTV 388 hakuna dalili wala kiashiria kwamba wapo...
  3. Logikos

    Kangaroo Courts - Muendelezo wa Maigizo (Nchi haiendeshwi kwenye Luninga)

    Kinachoendelea inabidi kifanyike kuanzia ngazi ya mtaa kwa wanajamii, Kinachoendelea inabidi kifanywe na wabunge majimboni kwao kwa kukusanya kero za wananchi, Kinachoendelea kufanywa na CCM sioni tatizo sababu ni propaganda na kampeni na watanzania wanapenda matukio (kwahio haya maigizo huenda...
  4. Nshomile wa Muleba

    Mtalii kutoka Marekani aichana makavu Tanzania kwenye Luninga

    Jambo jambo? Hii video ilikuwa mahojiano ya kipindi maalum ambacho huwahoji watalii kutoka duniani na waliotembelea Kenya, Uganda, na Tanzania, in short ni EAC. Jamaa amewapa makavu kuwa Tanzania inaiishi miaka 30 nyuma ya dunia huku nchi jirani zikiendelea kuchapa mwendo. Lakini tusisahau...
  5. M

    Nimefedheheka sana na kuamua kuzima Runinga. Yaani walimu wanatumika kisiasa kumpigia kampeni Rais Samia 2025! Huku wamejaa dhiki

    Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda. Eti tayari wameshampitisha Samia 2025. This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
  6. M

    Chonde chonde wamiliki wa vituo vya redio na luninga: Tuondolerni hao wachambuzi uchwara wa soka!

    Nitoe wito kwa wamiliki wa vituo vya redio na luninga kuwa watuondolee mbali hao wachambuzi wa soka uchwara. Kuna wachezaji kibao wa zamani ambao wangetuchambulia soka kwa kutumia weledi na Siyo ushabiki. Wapo kina Sunday Manara, Zamoyoni Mogela, Boniface Mkwasa na watu wa aina Yao waliowahi...
  7. J

    Vituo vya runinga vya ndani (local channels) na baadhi za nje zitarusha mubashara mkutano mkuu wa CCM

    Luninga zote za ndani yaani local channels na baadhi ya tv maarufu duniani zitarusha mubashara tukio la mkutano mkuu wa CCM. Kadhalika online tv na mitandao karibia yote ya kijamii itakuwa mubashara kuripoti tukio hili la kihistoria. Wananchi wote mnashauriwa kufuatilia mkutano huu muhimu kwa...
  8. J

    Wazanzibar walianza kumiliki Runinga kabla ya Tanganyika, tutegemee maendeleo makubwa kwa Rais Samia

    Katika issue ya maendeleo wazanzibar waliwahi tena ni " wajanja" kuliko Watanganyika. Wakati sisi tunasimuliwa mambo na wanasiasa wa zama zile Wazanzibar walikuwa wanayashuhudia kwa macho Runingani. Kadhalika katika swala la kujiamini wazanzibar wanajiamini zaidi kuliko watanganyika ndio...
  9. J

    Tufahamishane bei za friji, luninga na pasi kwa mpakani Tunduma

    Wandugu naomba kujuzwa bei ya vitu vya umeme mpakani Tunduma hasa friji maana nasikia kule bei ya vitu hivyo ni rahisi sana kushinda hata Dar nataka nijaribu kujichimbia huko siku za usoni.
Back
Top Bottom