Heri Udikteta Kuliko Maigizo ya Demokrasia

Logikos

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
12,494
19,528
Tukumbushane tu...,

Sisemi kwamba hili linatokea Sasa lakini Kutumika kwa Rasilimali Fedha na Muda kwenye Maigizo ya Demokrasia au Kutumia Pesa kwa Propaganda, ni bora Muda na Pesa hizo zikatumika kuleta maendeleo kwa Wananchi wanaojua Demokrasia haipo (Maigizo yana Gharama isiyo na Tija, Hususan pale yule unayemuigizia anajua ni Maigizo)

He is not deceived who knows himself to be deceived.​
 
Unafugwa kama Nguruwe alafu wanatumia Kodi zako kukushawishi / kukulaghai eti upo huru kama Swala....
Partial democracy hufungwi maana Haina amei za kindezi ndezi kama kwenye authoritarian.

Huoni Kwa Sasa unatukana Hadi Rais ,unamwaga povu ila unaachwa tuu but Kwa Mwendazake wote mliufyata yaani alibakia kuja kuwaoa tuu.
 
Maigizo Yes ?!!!
Maigizo ni hivyo vyama vya kwenye Briefcase na sio CHADEMA

RPJVA3VYDJOPVJVSCBGFXCU7HQ.jpg

NO HATE NO FEAR
 
Partial democracy hufunhwi maana Haina amei za kindezi ndezi kama kwenye authoritarian.

Huoni Kwa Sasa unatukana Hadi Rais ,unamwaga povu ila unaachwa tuu but Kwa Mwendazake wote mliufyata yaani alibakia kuja kuwaoa tuu.
Hivi kipindi ambapo kuna mtu alipoteza kazi kwa kukemea Tozo Je JPM alikuwa anaongoza kutoka Kuzimu ? Je aliyeshikwa kama Gaidi baadae eti akasamehewa na aliyemshika..; Je aliyewaambia Waandishi atawaparura kama wakimsema ndivyo sivyo ? Na Yule aliojikuta anapigwa Jungu na kuondoka kwenye kiti vyao baada ya kusema mtizamo wake kwamba huenda tukauzwa ?; Na wale waliojikuta wanakwenda Malawi mpaka Cuba au wale walijikuta kazi zao / uwaziri unayeyuka na kupata kazi kwenye meza ya Ikulu ? (At what Cost).....

JPM alipiga pini vyombo vya habari visiseme mambo (propaganda zikawa nyingi) Hii ni mbaya sana ; sasa hivi ni yaleyale vyombo vya habari vimekuwa propaganda machines na sio vyanzo vya habari (huenda wanafanya hivyo sio kwa kutishiwa..., (Lakini one has to wonder ni kiasi gani cha Kodi zetu zinatumika kuwafanya hao wawe bendera fuata upepo)
 
Hiyo ndio partial democracy kwamba unaongea ila usivuke mpaka.Kule kwingine huruhusiwi hata kuongelea issue ya serikali.

Redio zote za Umma na private ilikuwa ni kusifia na kuabudi,vijiweni watu wana hofu ,Ukiwa na pesa ni shida.Upumbavu kama huo wewe ndio unataka? Utakuwa ni mtu uliyezoea kufugwa.
 
Unajua maana ya Heri Kuliko ?
Unajua maana ya Maigizo ?
Ni kwamba hali ni mbaya lakini bado wanatumia pesa kufanya propaganda (ku-insult your intelligence) kwamba hali ni nzuri..., Yaani hata midomo yao inajaribu kudanganya masikio yao..., kwamba all is well. Ukibisha ni either kuambiwa uondoke (kama vile wana hati miliki na nchi) au kuandaliwa uongo na kudanganywa kwa gharama ya kodi zako....

Hence in such a case a Benevolent Dictator is way better..., As mwisho wa maigizo hayo ni hali kuzidi kuwa mbaya and in the end things will fall apart...
 
Back
Top Bottom