NB: Lalamiko hili linawasilishwa kwa heshima na kwa nia ya kulinda haki za wanafunzi pamoja na uadilifu wa kitaaluma wa Chuo.
Kumekuwa na ucheleweshaji wa kutolewa kwa matokeo, hususan kwa wanafunzi waliofanya mitihani ya marudio (Supplementary/SUP), ambapo hadi sasa baadhi ya matokeo...
Anonymous
Thread
alama
katika
kutoa
matokeo
mchakato
uadilifu
wanafunzi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kukamilisha mchakato wa kushughulikia upatikanaji wa hati ya umiliki wa ardhi kwa ajili ya Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)...
Padre Kitima ni kiongozi wa kiimani nnae mkubali sana haswa mitazamo yake.
Lakini sikubaliani nae kwenye proposal yake kuwa mchakato wa maridhiano uongozwe na wananchi.
Kwenye theory inasound vizuri, lakini tukija kwa ground inakuwaje?
Wananchi gani? Wanawakilishwaje? Nani anawaita? Nani...
Kwa mujibu wa Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 50(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Rais anapojiuzulu na nafasi yake kuwa wazi, utaratibu wa kisheria wa kupata mtu mwingine unakuwa kama ifuatavyo:
Uteuzi Ndani ya Siku 14: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Nimesoma machapisho mengi sana kuhusu domestication of animals, lakini bado...
Hebu nifafanulieni kwa lugha rahisi jinsi wanyama walivyoanza kufugwa.
Cc Interlacustrine R
Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tumeandaa Rasimu ya Muswada wa Mfano (Model Bill) wa Sheria ya kuongoza Mchakato wa Maridhiano nchini.Lengo la Muswada huu wa Mfano ni kushawishi Serikali na wadau wote kuona umuhimu wa kuwa na Sheria itakayoongoza Mchakato wa Maridhioano...
Wakuu
Nilikuwa naangalia series ya The American Experiment ikielezea how America was founded na walivyoandika katiba
Kumbe Katiba ya Marekani ya mwaka 1787 iliandaliwa na wazee 55 tu, wakiongozwa na George Washington kama mwenyekiti.
Walijifungia katika ukumbi mmoja wenye...
Nafikiri kitendo cha Makamu wa rais Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wapambanie katiba mpya wakati yeye ndiye aliyepo kwenye nafasi ya kuwezesha mchakato huo lakini hata hivyo hajafanya hayo ni saliti mkubwa kwa Watanzania.
Kuna watu wakishaona Tanzania imeanza kujijenga kiuchumi basi nao wanaanzisha program za kula ili mradi watu wasipate ajira, MIRADI ya maendeleo isiwepo, watumishi wasiongezewe mishahara, ili wapate hoja ya kulalamikia.
Nadhani kwa mtu anayejua athari za wale panyaroad wa chadema hawezi...
Hivi na nyie mliamini au mnaamini kua atawapa katiba Mpya ndani ya hii miaka 5 hadi 2030?
Kama unaamini hivo basi polee sana tena polee sana.
Uongo wa kudhihirisha hayupo tayar kutoa katiba Mpya ilikua kusema neno MCHAKATO.
Hivi kuna Mtu hajui nini maana ya neno MCHAKATO?
Ujue Mchakato in...
Ukitaka kufahamu uhakika wa kichwa cha habari nilichoandika tafakari juu ya mtu anapokufa waliobaki huwa wanafanya nini? (Jiulize tu kwa dhati ya moyo wako na ujijibu). Jibu la swali hilo ndiyo uhakika wa maisha yalivyo.
Ni wewe tu umekaa unawawazia wao ila kwa hakika watu wana mawazo yao na...
Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema aliwapatia baadhi ya madiwani fedha alizozitaja kuwa ni posho wakati wa mchakato wa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2025, akidai baadhi yao hawakutekeleza makubaliano waliyokuwa nayo.
Akizungumza katika kikao cha...
Bunge la Seneti la Marekani limefanya mabadiliko katika Muswada wa Mapitio ya Uhusiano wa Uwili kati ya Marekani na Tanzania kwa kulegeza masharti kuhusu hatua zinazotakiwa kuchukuliwa na Tanzania katika mageuzi ya mifumo ya uchaguzi na utawala.
Katika rasimu ya awali ya muswada huo, Tanzania...
TAJIRI WA KESHO YUKO KWENYE MCHAKATO LEO!
Usifikirie uko nyuma fikiri uko njiani.
Kila hatua unayoichukua leo ni tofauti kati ya wewe wa sasa na tajiri utakayekuwa kesho.
Mchakato Unauma Lakini Unabadilisha
Mohammed Dewji leo anaitwa bilionea mdogo zaidi Afrika.
Lakini kabla ya hapo...
Katika harakati za umiliki wa eneo, ni muhimu kuelewa kwamba kupata Hati ya Ardhi si jambo la siku moja. Ni mchakato unaopitia hatua mbalimbali za kisheria na kiutawala ambazo huwezesha mmiliki kupata umiliki rasmi unaotambulika na Serikali.
Hatua ya kwanza ni kuhakikisha kuwa una umiliki...
Leo USA nipo na idara amabazo kwa nchi yetu hii teknolojia hata server mnazotaka zifanye kwa wakati mi naona kwa haya ni ngumu kuendesha AI.
Leo nimeweka AI mfumo ndani mwangu ni sawa na kutumia dobi kumi ndani ya siku moja.
Je teknolojia ni hasimu wa mtumizi wa umeme na kusababisha Joto.
Dar es Salaam – Katika kumbi za mihadhara za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na kote nchini, majina kama Angela Anselim Kiseku na Astrid Mushemba yanang’aa kama alama ya ubora wa elimu ya juu nchini Tanzania. Hawa ni wahitimu waliobeba tuzo za kimataifa katika uhandisi wa mafuta na jiolojia...
Mwaka jana na hata mwaka huu baada ya straight of hormuz kufungwa nilitoa maoni yangu binafsi, Tuanze mchakato wa crude oil refinery haraka sana nashukuru dangote alikuwa na mawazo kama yangu na mchakato utaanza
Kwanza ijengwe integrated refinery kama ile ya gujarati ambayo itakuwa na crude...
"Pamoja na hayo, bado kuna mambo kadhaa ya kufanyiwa kazi katika mawanda ya siasa, ikiwemo suala la mabadiliko ya Katiba.
Kama mnavyofahamu, na kama nilivyoahidi, tumepanga kukamilisha mchakato huu katika kipindi hiki cha pili cha awamu ya sita. Na ni suala la kipaumbele kwenye ilani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.