Mechi ya Simba na Al Ahly ni kama ilikuwa maigizo

vibertz

JF-Expert Member
Mar 15, 2022
1,385
2,530
Hii mechi ilivyokuwa ni kama ni maigizo kwa namna ilivyokuwa timu zinacheza.

1) Al Ahly wameonesha wana accuracy ndogo sana kwenye final third ya mpinzani. Mechi zote mbili, wachezaji wa Al Ahly wameonesha uwezo mdogo sana katika umaliziaji kama sio wachezaji professional vile. Mipira wanapaisha tu yaani washambuliaji hawana tofauti na Yikpe wa Yanga. Hawana utulivu, hawana maaelewano yaani kama wachezaji wa daraja la chini.

2) Simba wakiongoza wana react kwa haraka na kufanya jambo la kuliweka sawa
Kule Dar Al Ahly walikuwa hovyo kwenye umaliziaji nafasi za wazi wanazikosa mpaka mtu unajiuliza huyu ndio mchezaji wa bilioni kadhaa, lakini Simba iliposawazisha na kuongeza goli la pili hao hao wachezaji waliokuwa wanatoa toa nje mpira wanakuwa wanaamka na kusawazisha goli.

Sawa na mechi ya jana, Al Ahly kakosa nafasi za hovyo mtu anajipigia tu mpira juu ovyo ovyo golini ila Simba walipoongoza goli, hao hao waliokuwa wanabutua waka react wakasawazisha. Mtu unaweza kudhani kuwa pengine kupata goli la kusawazisha kungewafanya wawe hatari zaidi kwa kuongeza kasi ya mashambulizi ila ndio kwanza wakaupoozesha mchezo na kupiga pasi pasi tu za hapa na pale.

Wale kama ndio wachezaji wa mabilioni ndio uwezo wao ndio ule kwenye umaliziaji basi wacha timu zetu ziendelee kutafuta vipaji na sio majina makubwa kwenye usajili ila pengine labda ilikuwa kuna maigizo au maagizo basi sawa maana mpira unaharibiwa na makampuni ya kubeti siku hizi.
 
Wale kama ndio wachezaji wa mabilioni ndio uwezo wao ndio ule kwenye umaliziaji basi wacha timu zetu ziendelee kutafuta vipaji na sio majina makubwa kwenye usajili ila pengine labda ilikuwa kuna maigizo au maagizo basi sawa.
22ef6680-3baa-4bf2-a982-cd05bebf12ce.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mechi ilivyokuwa ni kama ni maigizo kwa namna ilivyokuwa timu zinacheza.

1) Al Ahly wameonesha wana accuracy ndogo sana kwenye final third ya mpinzani.
Mechi zote mbili, wachezaji wa Al Ahly wameonesha uwezo mdogo sana katika umaliziaji kama sio wachezaji professional vile. Mipira wanapaisha tu yaani washambuliaji hawana tofauti na Yikpe wa Yanga. Hawana utulivu, hawana maaelewano yaani kama wachezaji wa daraja la chini.

2) Simba wakiongoza wana react kwa haraka na kufanya jambo la kuliweka sawa
Kule Dar Al Ahly walikuwa hovyo kwenye umaliziaji nafasi za wazi wanazikosa mpaka mtu unajiuliza huyu ndio mchezaji wa bilioni kadhaa, lakini Simba iliposawazisha na kuongeza goli la pili hao hao wachezaji waliokuwa wanatoa toa nje mpira wanakuwa wanaamka na kusawazisha goli.

Sawa na mechi ya jana, Al Ahly kakosa nafasi za hovyo mtu anajipigia tu mpira juu ovyo ovyo golini ila Simba walipoongoza goli, hao hao waliokuwa wanabutua waka react wakasawazisha. Mtu unaweza kudhani kuwa pengine kupata goli la kusawazisha kungewafanya wawe hatari zaidi kwa kuongeza kasi ya mashambulizi ila ndio kwanza wakaupoozesha mchezo na kupiga pasi pasi tu za hapa na pale.

Wale kama ndio wachezaji wa mabilioni ndio uwezo wao ndio ule kwenye umaliziaji basi wacha timu zetu ziendelee kutafuta vipaji na sio majina makubwa kwenye usajili ila pengine labda ilikuwa kuna maigizo au maagizo basi sawa.
Kwenye mpira knock out stage hauchezi kama kwenye league kuu lazima uwe na nidhamu ya kulinda goli unapofunga au kuwa makini wakati wa kushambulia
 
Hii mechi ilivyokuwa ni kama ni maigizo kwa namna ilivyokuwa timu zinacheza.

1) Al Ahly wameonesha wana accuracy ndogo sana kwenye final third ya mpinzani.
Mechi zote mbili, wachezaji wa Al Ahly wameonesha uwezo mdogo sana katika umaliziaji kama sio wachezaji professional vile. Mipira wanapaisha tu yaani washambuliaji hawana tofauti na Yikpe wa Yanga. Hawana utulivu, hawana maaelewano yaani kama wachezaji wa daraja la chini.

2) Simba wakiongoza wana react kwa haraka na kufanya jambo la kuliweka sawa
Kule Dar Al Ahly walikuwa hovyo kwenye umaliziaji nafasi za wazi wanazikosa mpaka mtu unajiuliza huyu ndio mchezaji wa bilioni kadhaa, lakini Simba iliposawazisha na kuongeza goli la pili hao hao wachezaji waliokuwa wanatoa toa nje mpira wanakuwa wanaamka na kusawazisha goli.

Sawa na mechi ya jana, Al Ahly kakosa nafasi za hovyo mtu anajipigia tu mpira juu ovyo ovyo golini ila Simba walipoongoza goli, hao hao waliokuwa wanabutua waka react wakasawazisha. Mtu unaweza kudhani kuwa pengine kupata goli la kusawazisha kungewafanya wawe hatari zaidi kwa kuongeza kasi ya mashambulizi ila ndio kwanza wakaupoozesha mchezo na kupiga pasi pasi tu za hapa na pale.

Wale kama ndio wachezaji wa mabilioni ndio uwezo wao ndio ule kwenye umaliziaji basi wacha timu zetu ziendelee kutafuta vipaji na sio majina makubwa kwenye usajili ila pengine labda ilikuwa kuna maigizo au maagizo basi sawa.
Ndiyo maana natilishaka sana vigezo vya takwimu za CAF kuhusu timu Bora huenda kuna Magumashi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom