shuhuda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwaibile

    Kwani Mahubiri bila shuhuda kwani hayawezikani?

    Natumaini wote tuko pao kabisa kwa uwezo wa Mungu Hivi kuna ulazima gani kwa hawa ndugu zetu wanao jiita Wachungaji sijui waubili sijui mitume maana naona kama ushuhuda mwingi umejaa uwongo sana na watu kuingizana mkenge. Maana naongea haya nimeyashuhudia hapa ninapo kaa kuna mzee mmoja...
  2. kevin strootman

    Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

    Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliyekuwa akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowassa Sio kwa ngumi hii aisee halafu huyu aliyepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisa.
  3. GoldDhahabu

    Shuhuda za utajiri utokanao na kilimo Tanzania

    Kuna matajiri wakubwa Tanzania ambao utajiri wao waliupatia kwenye kilimo. Kuna ambao ni wakulima matajiri wanaoendelea na kilimo mpaka sasa. Na kuna matajiri walioamua kuingia kwenye kilimo baada ya kugundua kuwa kilimo kinalipa kuliko biashara zao za awali. Na, kwa mujibu wa huu uzi, kilimo...
  4. A

    DOKEZO Uchunguzi: 'Makanisa ya Kiroho' na shuhuda FEKI kuwahadaa Watanzania - 2

    Andiko hili ni mwendelezo wa kilichoandikwa katika Makala iliyopita ambayo ilielezea yanayofanyika nyuma ya pazia kwenye nyumba za ibada hasa katika makanisa maarufu kwa jina la 'Makanisa ya Kisasa' Nchini Tanzania. Zaidi andiko lilielezea mbinu na shuhuda za uongo (feki/za mchongo)...
  5. A

    DOKEZO Uchunguzi: 'Makanisa ya Kiroho' na shuhuda FEKI kuwahadaa watanzania

    Wakati ongezeko la nyumba za ibada maarufu 'Makanisa ya Kisasa' likizidi kushika kasi Nchini Tanzania, kuna baadhi ya makanisa hayo yanatumia shuhuda za uongo (feki/za mchongo), kujizolea maelfu ya waumini kisha kujipatia fedha kwa mgongo wa sadaka. Uchunguzi ulioufanywa na kikundi cha...
  6. Surya

    Shuhuda au Mikasa ya kimaisha katika kumtumikia shetani

    Ukiweza jaribu kufanya tafiti wewe mwenyewe alafu uchague njia ya kwenda. Dunia kwa sasa imekua kijiji, hasa kwa hii technology ya mawasiliano. Katika mitandao ya kijamii kwa sasa utakutana na watu wanafundisha kuroga kabisa, kutumia majini na mafundisho ya ibada za kimiungu. Mchaguzi wewe...
  7. GENTAMYCINE

    Mwamposa huyu mtoa shuhuda wako anayejifanya ni Mkongo amekosea Script ya uongo na maelekezo yako ya Kitapeli?

    Kaanza kwanza Kujitambulisha kuwa Yeye ni Mkongo ( kutoka DRC ) kisha akaanza Kuzungumza kwa Lafudhi Feki ya Kikongo baadae akajisahau akarejea katika Lafudhi yake ya Asili ya Wanawake wa Kiuswahilini wa Temeke Mtongani. Mwamposa Mimi GENTAMYCINE nimekaa na kuishi na Wakongo na labda tu...
  8. T

    Wale mliofungiwa NIDA zenu (Blacklist) na TCRA kusajili line mpya njooni hapa mtoe shuhuda zenu na jinsi mlivyopata solution

    Mimi ni kiongozi wa timu za usajili wa line mpya. Hivi karibuni kumetokea wimbi la wateja wengi wanaotaka kusajili line mpya na vitambulisho havijajaa lakini wanaambiwa (nin blacklisted). Je wewe ni mmoja wao? Na je ulitumia njia gani kuondoa tatizo hilo? Karibu utuelezee ili na wengine wenye...
  9. Rwaz

    Matukio, vituko, shuhuda na taarifa zoezi la sensa!

    Nawasalimia kwa jina la Tanzania. Bila shaka kila mdau anaelewa zoezi la sensa kama aina ya utafiti ilivyo ni nyeti na lina makorokoro mengi hadi ya kiimani. Kuna mambo mengi ambayo tunaweza kushirikishana kabla, wakati na baada ya zoezi. Binafs niliwai kushiriki utafiti mkubwa kuhusu watu...
  10. N

    Shuhuda hizi ni za mchongo?

    Nina mashaka na shuhuda za wachakata mbususu humu ndani, sifa za mabinti wanazotoa mara zote zinafanana tako la kwenda, uzuri wa sura, sauti nzuri, shepu nzuri, guu la bia n.k. Kwamba hamjawahi kuchakata za dada zetu wenye sura ngumu? Hamjawahi kuchakata mbususu za wakina dada wenye english...
  11. L

    Wimbi la watoto kutoa shuhuda za kutisha zinazohusu uchawi wa kuua na kula nyama za watu

    Wanapendwa, Watoto wadogo kuanzia umri wa miaka 6 mpaka 12 asilimia kubwa wasichana kwa nyakati tofauti wamekuwa wakitoa shuhuda za kujishughulisha na uchawi katika kanisa maarufu lilipo Dar es Salaam. Katika shuhuda hizo watoto hao hukiri kujihusisha katika vitendo vya kichawi vya kuua watu na...
  12. Elli

    Huyu "Shuhuda" wa matukio ya moto ahojiwe na chombo huru, ana mengi moyoni mwake

    Kuna huyu jamaa ana trend kwenye mitandao, yeye amekua kwenye matukio mawili makubwa, pale Kariakoo na sasa amejitokeza Tena Jana kuwa alishuhudia moto ule na kwamba chanzo Cha moto ule ni mshumaa uliowashwa na mateja. Kama umewahi kufuatilia documentaries za crime unaweza kupata ABCs kuhusu...
  13. Trick mirik

    Shuhuda: Chanzo cha moto soko la Karume ni mateja, waliangusha mshumaa wakati wanatengeneza mihadarati

    Cloudsfmtz "Chanzo cha moto ni mateja ambao tupo nao sokoni Karume ambao wao wanajihusisha na kuuza viatu, unajua pale sokoni kuna moja ya banda ambalo wao huwa wanalitumia kutengeneza mihadarati yao ambayo huwa wanatumia mishumaa kuitengeneza na siku hiyo mshumaa ulianguka na kuanza kuungua"...
  14. Elisha Sarikiel

    #COVID19 Maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda! Umepata changamoto ?

    Binafsi nimepata chanjo ya uviko-19 nchini Tanzania; lakini sijapata mpaka sasa maudhi madogo wala makubwa na hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kuniepusha changamoto walizopata wenzangu wachache nchini Tanzania. Je, nini maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda ! Umepata...
  15. BoomBoy

    Tujuzane kuhusu E-commerce [Maswali, Shuhuda, Ideas]

    Habari wakuu, Nimeona sio mbaya ukiwepo uzi ambapo E-commerce kama biashara nyingine, inaongelewa kwa kina kidogo. Tuulizane maswali, tupeane ma experience, changamoto, takes, nk. [emoji362] E-Commerce: "Kuuza na kununua bidhaa kutumia Internet.
  16. sabuwanka

    Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

    Habarini waungwana katika jukwaa hili tukufu la utanashati na ulimbwende, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa tiba lishe, madawa, na mbinu nyinginezo za kupunguza uzito wa mwili, jambo ambalo bado halijaleta ufanisi kinyume na matarajio. Hivyo kwa uzi huu naomba tupate mbinu, njia...
Back
Top Bottom