Ziara za Makonda hazina mvuto tena. Wananzengo wameg'amua ni maigizo ya kisanii

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
Pamoja na mikwara mbuzi ya kupiga simu lakini hakuna jipya.

Dhuluma na ufisadi bado vipo palepale.

Polisi na Mahakamani dhuluma.

Upigaji ulisharuhusiwa. Maana kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake wanaogopa kuvimbiwa tu
 
Pamoja na mikwara mbuzi ya kupiga simu lakini hakuna jipya.

Dhuluma na ufisadi bado vipo palepale.

Polisi na Mahakamani dhuluma.

Upigaji ulisharuhusiwa .Maana kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake wanaogopa kuvimbiwa tu
Athari za kupata Division zero kama Daudi Albert Bashite na kuja kutumia vyeti vya Paul Makonda haziwezi kufichika.

Unaweza kufoji vyeti lakini huwezi kufoji akili
 
Back
Top Bottom