kumuelewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Toredo0

    JamiiForums Tanzania Kumuelewa mwanamke ni kazi kweli kweli

    Hichi kitu nikikifikiria bado majibu hayaji kichwani. Mwanamke unakuaje katika mahusiano ya dhati na mtu wako huenda mnapendana sana tu lkn huku nje mkiombwa namba mnatoa tu safi,na baadhi yenu mnarespond kila kitu kweli kuwatetea dada zetu ni kazi hatujuwi tuwaweke fungu lipi?
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Huwezi kumuelewa Padre Kitima mpaka ukutane nae

    Huwezi kumuelewa Padri Kitima kama bado hujakutana na Changamoto ya wasiojulikana mbali na mengine yote huyu Mzee ni hazina ya Taifa alindwe kwa wivu Mkubwa,, Japo ni mwiba kwa watawala ila ni alama ya msimamo juu ya uanaume na maamuzi magumu huitaji kutumia nguvu kubwa kama unafungua bolt za...
  3. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumuelewa Netanyahu hata siku moja

    Huyu jamaa yeye hataki Iran na Marekani wazungumze mgogoro uishe ,yeye anachotaka ni kuivamia Iran sasa kwenye kuivamia Iran yeye pekee yake Netanyahu hawezi kuvamia anataka kampani na Marekani hivi mnamuelewa huyu Myahudi. Kwa kifupi Bwana Netanyahu anamdharau Trump
  4. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuelewa Bichwa Komwe na yule mwenzake

    Kuna Uzi niliuona hapa JF Bichwa komwe na mwenzake wakisema wanawake wa JF wamzeeka . Naona umefutwa Ila msirudie kufanya hivi mnawaumiza watu kihisia Sana Bichwa komwe na mwenzako.
  5. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kama Ccm umejiunga nayo ulivyofika Chuo Kikuu huwez kumuelewa Polepole.

    Huwez kujibu hoja za polepole kama wewe ulijiunga na Ccm ulivyofika chuo kikuu na ulijiunga kama fashion. Ndio wengi wamebaki midomo wazi kwa yale aliyoyasema polepole. Polepole haujui tu Katiba wala kanuni za chama cha Ccm bali anajua hadi Miiko ya chama cha mapinduzi {Ccm} ambayo hua...
  6. haszu

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa kila nikinunua kitu kwake, ananiongeza, nashindwa kumuelewa kabisa

    Ananifanya niende mbali kufata bidhaa ila nisiende kwake, suala la kuongezana ni kati ya mwanamke na mwanaume, sasa mwanaume kumuongeza mwanaume mwenzio kila akinunua kitu unamanisha nini? Suala la kua bro wako au mteja haimaanishi kua kila nikinunua uniongeze. Huyu jamaa atakua anashida gani...
  7. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anayemuelewa Tundu Lissu anachomaanisha kuhusu uchaguzi anieleweshe kila nikijitahidi kumuelewa naambulia sifuri

    Anasisitiza kwamba no reform no election. Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi. Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election. Utata unakuja namna...
  8. Shammy-

    JamiiForums Tanzania Huyu msanii sijawahi kumuelewa

    Ukiachana na nyimbo ya "chibonge" "dar kugumu" na "mi amor" hakuna nyimbo ya huyu jamaa niliwahi kupenda wala kuelewa Anaimba takataka tupu! na wanaopenda nyimbo Zake tofauti na nilizo orodhesha mimi nao naona Hawana akili tu(kidding)😄 Povu ruksa ila hakikisha una uhakika wa kula January nzima
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Najuta kwa nini sikumsikiliza baba yangu lakini namshukuru Mungu sikuchelewa kuanza kumuelewa and my life was never the same.

    Nilimtii, sikumsumbua hata kidogo ila sikumsikiliza na nilimuogopa kuliko kumuheshimu. Kama baba typical wa kanda ya ziwa ushajua nyumbani ni mwendo wa kwata. Ila alikuwa ananiandaa. Nilijua ana agenda ya chuki dhidi ya mama, sikujua saikolojia ya mwanamke inamfanya mwanaume anakuwa paranoid...
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kuna muda inabidi tulazimike kumuelewa Chief Godlove na maneno yake

    Kuna muda anakuwa na madini sana na kijana ambae kwa uwazi bila kupepesa anaonesha kuuchukia umaskini.
  11. Pearce

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa JF nisaidieni Kuwaelewa hawa wadada

    Kuna wanawake wawili niliwahi kuwatokea wakati huo kwa kipindi tofautitofauti wakati nikiwa single sababu niliona ni watu sahihi 1.Nilimwambia dhamira yangu kweli aliniambia kwamba ana mtu wake, na alibaki na msimamo huo basi nikapunguza mawasiliano lakini tangu wakati huo lazima atanitafuta...
  12. Amavubi

    JamiiForums Tanzania Naanza Kumuelewa na KUMKUBALI MAKONDA

    Makonda kwa sasa anafanya kazi za Taasisi nyingi Anasaidia Majukumu ya Wabunge Anasaidia Majukumu ya Mahakama Anasaidia Majukumu ya TAKUKURU Anasaidia Majukumu ya Polisi Anasaidia majukumu MENGI MENGINEYO ANAFICHUA MENGI YALIYOLALA
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawawezi kumuelewa Paskali Mayalla. Ruzuku kwao ni baishara kuendesha maisha yao

    Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema; “Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nasikitika wengi Wenu hamjatumia Akili Kubwa kumuelewa Waziri Jerry Slaa na Kauli yake juu ya Kupokea Rushwa

    Tuliosoma vyema Somo la Critical Thinking / Logical Reasoning Chuo Kikuu changu cha Geniuses watupu nchini cha Saint Augustine University of Tanzania ( SAUT Mwanza 'We Build the City of God' ) mwaka 2009 tumemuelewa Waziri wa Ardhi Jerry Slaa katika Angles zifuatazo.... 1. Kusema Kwake kuwa...
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wengi bado hamjamuelewa Papa. Wengine tumeanza kumuelewa toka usiku wa manane, ndiyo maana tukafanya maamuzi haya

    Kwa ufupi anacho kisema Papa ni kwamba mfumo wa maisha ya dunia upo karibu kubadilishwa kuwa juu chini.. Kama vilevile shetani alivyo sababisha kubadilishwa kwa mfumo wa dunia ya Adam na Hawa kupitia forbidden fruit. Kabla Adam na Hawa hawajala Tunda, mfumo wa maisha ya dunia ulikuwa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wengi tulipoambiwa yuko kwa KAZI MAALUM hatukuelewa, ila kwa huu mtiririko hapa chini tutamwelewa vyema aliyetuambia hivyo

    KAZI MAALUM #1 (ULAYA) Mwambie Boss wako mwenye Machale ya Kukamatwa nasi atulipe Chetu haraka vinginevyo utakaa huku hata mwaka na Wajukuu zako Wanaokupenda walie mpaka Macho yao yawatumbuke sawa? KAZI MAALUM #2 (AFRIKA) Jengo Ndege Tai (JNT) ili kufunika hii Aibu kwa nchi na Taifa na...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Sugu aendelea Kutikisa Chunya, achambua Katiba kama Mhadhiri wa Chuo Kikuu. Wananchi waanza kumuelewa

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi bado yuko Chunya kwa ziara ya kikazi, ambako ameendelea kuelimisha Wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya ambayo itazaa Tume huru ya Uchaguzi. Sugu ambaye sasa anajulikana pia kama Jeshi la Mtu mmoja, anashangaza wengi kutokana na uwezo wake wa...
  18. Mkanaani

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kumuelewa huyu mwanaume

    Hivi mwanaume unakuwaje hueleweki, ulikua na crush na mdada wa watu mwaka mzima mkavunja ukimya mkawa kwenye mahusiano. Badae unaanza kubadilika unapunguza mapenzi, mwenzio anakuuliza kwanini unabadilika, unadai unaogopa udate naye hata miaka mitatu alafu usimuoe, na mtu hata hajakuambia...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Kumuelewa vyema Hayati Mwalimu Julius Nyerere upeo uwe mkubwa

    Julius Kambarage Nyerere nilimuona mara nyingi akihutubia pale ikulu Dar miaka ile ya 1980 mwanzoni. Alijaliwa ushawishi katika hoja zake. Siku moja alihutubia kwa muda mrefu kidogo halafu ndege ikawa inakatiza juu angani, akasema Mungu ameileta ile ndege ili mimi nimalize kuhutubia!, wote...
  20. Reality of heaven

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kumuelewa Rais Samia. Kweli uongozi ni hekima na sio mihemuko

    Mwanzo nilikuwa simuelewi elewi huyu mama, lakini mpaka sasa nimemkubali ni zaidi ya kiongozi! Haya ni mambo ambayo yanathibitisha kuwa uongozi ni hekima Wala sio mihemuko 1: Ni mpenda haki/ anapenda haki 2: Ni msema kweli na muwazi 3: Sio mtu wa kuchukulia Jambo kwa haraka (sio mtu wa...
Back
Top Bottom