Wengi bado hamjamuelewa Papa. Wengine tumeanza kumuelewa toka usiku wa manane, ndiyo maana tukafanya maamuzi haya

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,120
27,126
Kwa ufupi anacho kisema Papa ni kwamba mfumo wa maisha ya dunia upo karibu kubadilishwa kuwa juu chini.. Kama vilevile shetani alivyo sababisha kubadilishwa kwa mfumo wa dunia ya Adam na Hawa kupitia forbidden fruit.

Kabla Adam na Hawa hawajala Tunda, mfumo wa maisha ya dunia ulikuwa tofauti. Hakukuwa na kifo hakukuwa na magonjwa.

The life system during that time was moving in the direction of Life without death system.

Baada ya Adam.na Hawa kuyakanyaga, mfumo wa.maisja ukabadilishwa. Ulibadilishwa kwa sababu death was now introduced in the life system of human beings.

And therefore the newly acquired life system started to revolve around the Life with death system.

Nimetoa mfano huo hapo juu 👆 ili kukuonyesha namna kubadilika kwa mfumo wa maisha kunavyo weza kubadili mfumo wa maisha ya watu juu chini.

Back to the point :

Anacho kisema Papa ni kwamba very soon, mfumo wa maisha tulio uzoea wa mwanamke mwanamke mwanaume mwanaume etc unaenda kupinduliwa. Na badala yake uhalifu dhidi ya mfumo huu wa maisha ulio anzishwa na Mungu mwenyewe unaenda kuwa forced among human beings.

Wewe mzazi wewe mwezi umejaiandaaje na mabadiliko ya mfumo huu mpya wa maisha?

Mimi nimeanza kwa kuwatoa watoto wangu kwenye shule za kiingereza na kuwaleta kwenye shule za kiswahili.

Kwanini?

Kwa sababu, msingi wa sababu kuu ya kuwapeleka watoto kwenye shule za kiingereza una revolve around mfumo wa maisha ambao upo mbioni kupinduliwa.

How?

Wazazi wana wapeleka watoto wao kwenye shule za kiingereza ili:

1. Wafaulu vizuri kwenye masomo yao .

2. Wafike chuo kikuu nako wafaulu vizuri.

3. Waajiriwe kwenye taasisi nyeti serikalini etc.

But the reality is mfumo huo wa maisha umekwisha pitwa na wakati. Haupo tena. Dunia tayari imeanza kuhamia kwenye mfumo mwingine.

Nowadays watoto wanasomeshwa kwenye shule za gharama wanafika hadi chuo kikuu, wakimaliza chuo wanakosa kazi ( kwa sababu shule inamuandaa mtoto kuajiriwa)

Then kinacho fuata baada ya hapo ni :

" Ladies and gentlemen welcome to my You Tube channel"
Au udalali etc.

Unaweza kuwa na You Tube Chanell au kuwa dalali bila kusoma English Medium.

Hayo mamilioni ya kwenda kupoteza kwenye English Medium ili mtoto wako akaririshwe bora ungewawekea miundombinu mingine kama nyumba, ardhi nakadhalika.

KUBWA KULIKO: Huko kwenye shule za kiingereza ndio watoto wanafundishwa mambo ya kizungu ukiwemo ushoga. Instead of just teaching them in English they are trying to Europeanize them.

Kuna baadhi ya shule kuna vitabu vya ziada ambavyo ndani yake kuna depiction ya same sex couples.

So kwenye Shule Binafsi itakuwa ndio portal inayo connect hii agenda na watoto wa kitanzania. ( imagine mtoto wako anasoma kwenye shule ya kikatoliki)

Hakuna sehemu rahisi ya kusambaza ideology kama kwenye shule Binafsi.

Kupitia shule Binafsi kuna wakristu wamefundishwa kuuchukia uislamu na waislamu kuna waislamu wame fundishwa kuuchukia Ukristo na wakristo ( mifano ipo JF hapahapa)

Mwaka 2014 Kigamboni kulikuwaga na shule moja ya kilokole ambayo baadae ilikuja kufungiwa kwa sababu walikuwa wana wa abuse watoto kwa kuwafundisha chuki dhidi ya uislamu.

Anakuja mwalimu na Chokolate anawaambia " watoto hii chokolate ni ya Yesu hii"

Halafu baadae anakuja a kitu chochote kibaya anawaambia " mnakiona hiki? Ni cha

Kazi kwako sasa muache mtoto wako shule ya kiswahili ajifunze nidhamu ya maisha na ukakamavu plus uhalisia wa maisha na maadili ya mtanzania ili baadae aje awe mtu anae hitajika katika jamii ya mtanzania au mlipie mtoto wako mamilioni kwa kujinyima then akimaliza chuo akwambie kapata bwana mwanaume mwenzako..
 
Kwa ufupi anacho kisema Papa ni kwamba mfumo wa maisha ya dunia upo karibu kubadilishwa kuwa juu chini.. Kama vilevile shetani alivyo sababisha kubadilishwa kwa mfumo wa dunia ya Adam na Hawa kupitia forbidden fruit.

Kabla Adam na Hawa hawajala Tunda, mfumo wa maisha ya dunia ulikuwa tofauti. Hakukuwa na kifo hakukuwa na magonjwa.

The life system during that time was moving in the direction of Life without death system.

Baada ya Adam.na Hawa kuyakanyaga, mfumo wa.maisja ukabadilishwa. Ulibadilishwa kwa sababu death was introduced in the life system of human beings.

And therefore the newly acquired life system started to revolve around the Life with death system.

Nimetoa mfano huo hapo juu 👆 ili kukuonyesha namna kubadilika kwa mfumo wa maisha kunavyo weza kubadilisha maisha ya watu you chini.

Back to the point : Anacho kisema Papa ni kwamba very soon, mfumo wa maisha tulio uzoea wa mwanamke mwanamke mwanaume mwanaume etc unaenda kupinduliwa. Na badala yake uhalifu dhidi ya mfumo huu wa maisha ulio anzishwa na Mungu mwenyewe unaenda kuwa forced among human beings.

Wewe mzazi wewe mwezi umejaiandaaje na mabadiliko ya mfumo huu mpya wa maisha?

Mimi nimeanza kwa kuwatoa watoto wangu kwenye shule as kiingereza na kuwaleta kwenye shule as kiswahili.

Kwanini? Kwa sababu, msingi wa sababu kuu ya kuwapeleka watoto kwenye shule za kiingereza una revolve around mfumo wa maisha ambao upo mbioni kupinduliwa.

How? Wazazi wana wapeleka watoto wao kwenye shule za kiingereza ili:
1. Wafaulu vizuri kwenye masomo yao .

2. Wafike chuo kikuu nako wafaulu vizuri.

3. Waajiriwe kwenye taasisi nyeti serikalini etc.

But the reality is mfumo huo wa maisha umekwisha pitwa na wakati. Haupo tena. Dunia tayari imeanza kuhamia kwenye mfumo mwingine.

Nowadays watoto wanasomeshwa kwenye shule za gharama wanafika hadi chuo wakimaliza chuo wanakosa kazi ( kwa sababu shule inamuandaa mtoto kuajiriwa)

Then kinacho fuata baada ya hapo ni :

" Ladies and gentlemen welcome to my You Tube channel"
Au udalali etc.

Unaweza kuwa na You Tube Chanell au kuwa dalali bila kusoma English Medium.

Hayo mamilioni ya kwenda kupoteza kwenye English Medium ili mtoto wako akaririshwe bora ungewawekea miundombinu mingine kama nyumba, ardhi nakadhalika.

KUBWA KULIKO: Huko kwenye shule za kiingereza ndio watoto wanafundishwa mambo ya kizungu ukiwemo ushoga. Instead of teaching them in English they are trying to Europeanize them.

So kwenye Shule Binafsi itakuwa ndio portal inayo connect hii agenda na watoto wa kitanzania. ( imagine mtoto wako anasoma kwenye shule ya kikatoliki)

Hakuna sehemu rahisi ya kusambaza ideology kama kwenye shule Binafsi.

Kupitia shule Binafsi kuwa wakristu wamefundishwa kuuchukia uislamu na waislamu kuna waislamu wame fundishwa kuuchukia Ukristo na wakristo ( mifano ipo JF hapahapa)

Mwaka 2014 Kigamboni kulikuwaga na shule moja ya kilokole ambayo baadae ilikuja kufungiwa walikuwa wana wa abuse watoto kwa kuwafundisha chuki dhidi ya uislamu.

Anakuja mwalimu na Chokolate anawaambia " watoto hii chokolate ni ya Yesu hii"

Halafu baadae anakuja a kitu chochote kibaya anawaambia " mnakiona hiki? Ni cha mtume hiki)

Moderator naomba msiunganishe uzi.

Kazi kwako sasa muache mtoto wako shule ya kiswahili ajifunze nidhamu ya maisha na ukakamavu plus uhalisia wa maisha na maadili ya mtanzania ili baadae aje awe mtu anae hitajika katika jamii ya mtanzania au mlipie mtoto wako mamilioni kwa kujinyima then akimaliza chuo akwambie kapata bwana mwanaume mwenzako..
mimi sijui umeandika nini!!! mimi ninachojua na nilichokisoma ni kwamba papa kasema"makasisi wanaruhusiwa kufungisha ndoa za jinsia moja".....full stop
 
Suala la Mahusiano na Ndoa za Jinsia Moja ni janga ambalo limezikumba nchi zote kabisa hapa duniani kwa sasa, hakuna nchi ambayo inaweza ikajinasibu kwamba imesalimika. Ni suala la muda tu, kinachotakiwa kwa sasa ni kila mtu kujiandaa kisaikolojia.
 
Kwa ufupi anacho kisema Papa ni kwamba mfumo wa maisha ya dunia upo karibu kubadilishwa kuwa juu chini.. Kama vilevile shetani alivyo sababisha kubadilishwa kwa mfumo wa dunia ya Adam na Hawa kupitia forbidden fruit.

Kabla Adam na Hawa hawajala Tunda, mfumo wa maisha ya dunia ulikuwa tofauti. Hakukuwa na kifo hakukuwa na magonjwa.

The life system during that time was moving in the direction of Life without death system.

Baada ya Adam.na Hawa kuyakanyaga, mfumo wa.maisja ukabadilishwa. Ulibadilishwa kwa sababu death was now introduced in the life system of human beings.

And therefore the newly acquired life system started to revolve around the Life with death system.

Nimetoa mfano huo hapo juu 👆 ili kukuonyesha namna kubadilika kwa mfumo wa maisha kunavyo weza kubadili mfumo wa maisha ya watu juu chini.

Back to the point :

Anacho kisema Papa ni kwamba very soon, mfumo wa maisha tulio uzoea wa mwanamke mwanamke mwanaume mwanaume etc unaenda kupinduliwa. Na badala yake uhalifu dhidi ya mfumo huu wa maisha ulio anzishwa na Mungu mwenyewe unaenda kuwa forced among human beings.

Wewe mzazi wewe mwezi umejaiandaaje na mabadiliko ya mfumo huu mpya wa maisha?

Mimi nimeanza kwa kuwatoa watoto wangu kwenye shule za kiingereza na kuwaleta kwenye shule za kiswahili.

Kwanini?

Kwa sababu, msingi wa sababu kuu ya kuwapeleka watoto kwenye shule za kiingereza una revolve around mfumo wa maisha ambao upo mbioni kupinduliwa.

How?

Wazazi wana wapeleka watoto wao kwenye shule za kiingereza ili:

1. Wafaulu vizuri kwenye masomo yao .

2. Wafike chuo kikuu nako wafaulu vizuri.

3. Waajiriwe kwenye taasisi nyeti serikalini etc.

But the reality is mfumo huo wa maisha umekwisha pitwa na wakati. Haupo tena. Dunia tayari imeanza kuhamia kwenye mfumo mwingine.

Nowadays watoto wanasomeshwa kwenye shule za gharama wanafika hadi chuo kikuu, wakimaliza chuo wanakosa kazi ( kwa sababu shule inamuandaa mtoto kuajiriwa)

Then kinacho fuata baada ya hapo ni :

" Ladies and gentlemen welcome to my You Tube channel"
Au udalali etc.

Unaweza kuwa na You Tube Chanell au kuwa dalali bila kusoma English Medium.

Hayo mamilioni ya kwenda kupoteza kwenye English Medium ili mtoto wako akaririshwe bora ungewawekea miundombinu mingine kama nyumba, ardhi nakadhalika.

KUBWA KULIKO: Huko kwenye shule za kiingereza ndio watoto wanafundishwa mambo ya kizungu ukiwemo ushoga. Instead of just teaching them in English they are trying to Europeanize them.

Kuna baadhi ya shule kuna vitabu vya ziada ambavyo ndani yake kuna depiction ya same sex couples.

So kwenye Shule Binafsi itakuwa ndio portal inayo connect hii agenda na watoto wa kitanzania. ( imagine mtoto wako anasoma kwenye shule ya kikatoliki)

Hakuna sehemu rahisi ya kusambaza ideology kama kwenye shule Binafsi.

Kupitia shule Binafsi kuna wakristu wamefundishwa kuuchukia uislamu na waislamu kuna waislamu wame fundishwa kuuchukia Ukristo na wakristo ( mifano ipo JF hapahapa)

Mwaka 2014 Kigamboni kulikuwaga na shule moja ya kilokole ambayo baadae ilikuja kufungiwa kwa sababu walikuwa wana wa abuse watoto kwa kuwafundisha chuki dhidi ya uislamu.

Anakuja mwalimu na Chokolate anawaambia " watoto hii chokolate ni ya Yesu hii"

Halafu baadae anakuja a kitu chochote kibaya anawaambia " mnakiona hiki? Ni cha mtume hiki)

Moderator naomba msiunganishe uzi.

Kazi kwako sasa muache mtoto wako shule ya kiswahili ajifunze nidhamu ya maisha na ukakamavu plus uhalisia wa maisha na maadili ya mtanzania ili baadae aje awe mtu anae hitajika katika jamii ya mtanzania au mlipie mtoto wako mamilioni kwa kujinyima then akimaliza chuo akwambie kapata bwana mwanaume mwenzako..
Kwahiyo shuleni wanafundishwa kupandana sio, 😄
 
Dah inatisha sana asee. Inafikia mahali mtu kama huna mtoto unaona bora usizalishe kabisa kuliko kuacha DNA yako kwenye hii generation.

Ukiwa tayari na watoto unabaki kuwa na sintofahamu na kuanza ku imagine mambo ya ajabu ajabu mafano "hivi dogo akiwa shoga nitafanyaje?"

Mkaldayo Maghayo hali ikoje hapo kwenu Ushirombo?
 
Kwa ufupi anacho kisema Papa ni kwamba mfumo wa maisha ya dunia upo karibu kubadilishwa kuwa juu chini.. Kama vilevile shetani alivyo sababisha kubadilishwa kwa mfumo wa dunia ya Adam na Hawa kupitia forbidden fruit.

Kabla Adam na Hawa hawajala Tunda, mfumo wa maisha ya dunia ulikuwa tofauti. Hakukuwa na kifo hakukuwa na magonjwa.

The life system during that time was moving in the direction of Life without death system.

Baada ya Adam.na Hawa kuyakanyaga, mfumo wa.maisja ukabadilishwa. Ulibadilishwa kwa sababu death was now introduced in the life system of human beings.

And therefore the newly acquired life system started to revolve around the Life with death system.

Nimetoa mfano huo hapo juu 👆 ili kukuonyesha namna kubadilika kwa mfumo wa maisha kunavyo weza kubadili mfumo wa maisha ya watu juu chini.

Back to the point :

Anacho kisema Papa ni kwamba very soon, mfumo wa maisha tulio uzoea wa mwanamke mwanamke mwanaume mwanaume etc unaenda kupinduliwa. Na badala yake uhalifu dhidi ya mfumo huu wa maisha ulio anzishwa na Mungu mwenyewe unaenda kuwa forced among human beings.

Wewe mzazi wewe mwezi umejaiandaaje na mabadiliko ya mfumo huu mpya wa maisha?

Mimi nimeanza kwa kuwatoa watoto wangu kwenye shule za kiingereza na kuwaleta kwenye shule za kiswahili.

Kwanini?

Kwa sababu, msingi wa sababu kuu ya kuwapeleka watoto kwenye shule za kiingereza una revolve around mfumo wa maisha ambao upo mbioni kupinduliwa.

How?

Wazazi wana wapeleka watoto wao kwenye shule za kiingereza ili:

1. Wafaulu vizuri kwenye masomo yao .

2. Wafike chuo kikuu nako wafaulu vizuri.

3. Waajiriwe kwenye taasisi nyeti serikalini etc.

But the reality is mfumo huo wa maisha umekwisha pitwa na wakati. Haupo tena. Dunia tayari imeanza kuhamia kwenye mfumo mwingine.

Nowadays watoto wanasomeshwa kwenye shule za gharama wanafika hadi chuo kikuu, wakimaliza chuo wanakosa kazi ( kwa sababu shule inamuandaa mtoto kuajiriwa)

Then kinacho fuata baada ya hapo ni :

" Ladies and gentlemen welcome to my You Tube channel"
Au udalali etc.

Unaweza kuwa na You Tube Chanell au kuwa dalali bila kusoma English Medium.

Hayo mamilioni ya kwenda kupoteza kwenye English Medium ili mtoto wako akaririshwe bora ungewawekea miundombinu mingine kama nyumba, ardhi nakadhalika.

KUBWA KULIKO: Huko kwenye shule za kiingereza ndio watoto wanafundishwa mambo ya kizungu ukiwemo ushoga. Instead of just teaching them in English they are trying to Europeanize them.

Kuna baadhi ya shule kuna vitabu vya ziada ambavyo ndani yake kuna depiction ya same sex couples.

So kwenye Shule Binafsi itakuwa ndio portal inayo connect hii agenda na watoto wa kitanzania. ( imagine mtoto wako anasoma kwenye shule ya kikatoliki)

Hakuna sehemu rahisi ya kusambaza ideology kama kwenye shule Binafsi.

Kupitia shule Binafsi kuna wakristu wamefundishwa kuuchukia uislamu na waislamu kuna waislamu wame fundishwa kuuchukia Ukristo na wakristo ( mifano ipo JF hapahapa)

Mwaka 2014 Kigamboni kulikuwaga na shule moja ya kilokole ambayo baadae ilikuja kufungiwa kwa sababu walikuwa wana wa abuse watoto kwa kuwafundisha chuki dhidi ya uislamu.

Anakuja mwalimu na Chokolate anawaambia " watoto hii chokolate ni ya Yesu hii"

Halafu baadae anakuja a kitu chochote kibaya anawaambia " mnakiona hiki? Ni cha mtume hiki)

Moderator naomba msiunganishe uzi.

Kazi kwako sasa muache mtoto wako shule ya kiswahili ajifunze nidhamu ya maisha na ukakamavu plus uhalisia wa maisha na maadili ya mtanzania ili baadae aje awe mtu anae hitajika katika jamii ya mtanzania au mlipie mtoto wako mamilioni kwa kujinyima then akimaliza chuo akwambie kapata bwana mwanaume mwenzako..
Mkuu una uhakika ukiwapeleka watoto shule za st kayumba ndio umewa okoa na ushoga?nikupe mfano tu mmoja kuna mwaka nilikuwa na kazi ya muda mfupi mkuranga watoto wa huko sio wote waliyokuwa wanafanya ukisimuliwa huta amini.Wazazi ni wakati sasa wa kukaa na watoto wetu na kuwapa mafunzo ya nini tunataka wafanye na tusi achie walimu na wenzao wawafundishe tusivyotaka katika maisha yao.
 
Nilitaka nimpe huo mfano. Nimeishi mkuranga, kuna shule moja ya msingi (mkuranga primary) watoto wengi ni wahanga wa hik kitu.. shemeji yangu ni mwalimu katika shule ya sekondary kubwa ya halmashauri inaitwa Mwinyi sekondary pale pia kuna skendo kubwa za ushoga kwa watoto. Baada ya kuja kuchubguzwa ikaonekana watoto wana join sekondary baadhi wakiwa tayari wameanza kuingiliana kinyume na maumbile
 
Wewe hapa umetoa SHUTUMA NZITO SANA na unachafua taswira ya taasisi za watu!

Nitajie shule zinazofundisha ushoga???

Umetumwa?? Hatudanganyiki.
NI hoja mtambuka hii na athar zake zimetapakaa kila kona katika jamii..hii ni chuki yake binafsi kwa private schools
 
Back
Top Bottom