nisaidieni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Humu ndani kuna mtu nampenda nisaidieni kumwambia

    Mimi sio domo zege ila nahisi kawahiwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa sheria, nisaidieni

    Ndugu zangu wataalamu wa sheria au hata yeyote mwenye ufahamu, naomba kujua, baada ya Lissu kuhitimisha Final Submission, utaratibu gani unafuata?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenu nyie moderator nisaidieni kuifuta acount yangu ya hii ya jf.

    Imani ya dini yangu inanizuia sasa kujihusisha na siasa sitaki tena kuchangia chochote cha kisiasa nimefuta acount zangu zote za mitandao ya kijamii bado hii tuu naombeni munisaidie kwa maslahi ya imani yangu nayo muifute. Nataka kujiweka karibu na imani ysngu sitaki tena siasa na nitoe...
  4. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Simu inanipotezea muda, Wewe Umewezaje kudhibiti matumizi?

    Ndugu zangu leo naomba mawazo yenu maana imekuwa almost impossible kwangu kuweka simu chini hasa nipatapo free time. Huwa na panga kitu fulani lakini unakuta nasema ngoja nichukue labda dk10 ni cheki yanayo jiri mitandaoni ila hizo dk 10 zina geuka kuwa hadi lisaa, na hiyo huwa ni baada ya...
  5. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Kurudisha Nywele Zilizopotea!

    Nimekuwa nikipata hair loss kipindi cha miaka ya hivi karibuni! Nashangaa hili kwa sababu katk ukoo wetu hakuna mwenye uwalaza. Hii husababishwa na nini, na ni supplements gani nitumie kurudisha nywele? Je, kuna natural remedies (tiba au vyakula vya asili yenye kusaidia kurudisha nywele...
  6. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Napendelea sana ufugaji wa kuku kama side hustle, nisaidieni mawili matatu, nimetenga tsh 3m

  7. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kujua , ile miujiza ya mwamposa inafanyakaje kazi na anaitoa wapi?

    Karibuni
  8. battawi

    JamiiForums Tanzania Kukosa Harufu Miaka 3: Madaktari Nisaidieni

    Ndugu wana jamiiforum hasa madaktari, mimi ninashida ya kukosa kusikia harufu kwa zaidi ya miaka mitatu sasa. Madaktari wamejaribu kunipa dawa za ku spray pamoja na vidonge vya alegy lakini bado sijapata nafuu yoyote. Naomba msaada kwenye tuta. Nipigie I 0773 031227
  9. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania HOJA Mzee aliyedai kudhurumiwa na TANROADS asema "Maisha yangu yako hatarini, napata vitisho, nisaidieni"

    https://www.youtube.com/watch?v=srhE7f5o9d0 Mkandarasi Owden Mwalyambi wa kampuni ya Ujenzi ya Ruhama Tripple Three Junior Engineering iliyejenga barabara ya Kawajense - Ugala - Mnyamasi iliyopo mkoa wa Katavi amesema anaidai kiasi cha Tsh milioni mia nane na TANROADS na kwamba ameshazunguka...
  10. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Nina maswali mengi sana yasiyo na majibu ,nisaidieni

    Habari ndugu wana jukwaa nahitaji majibu mazuri ya kisomi. 1. Waziri mkuu amesema kuna mtu analipwa milioni tano kila mwezi ili awaandikishe watanzania vijana wakaandamane na wameandaliwa watu wa kuwapiga waandamanaji ili kuchafua sura ya nchi yetu na mtu huyu amekamatwa na ametoa siri nyingi...
  11. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni brand ya syrup nzuri ya kikohozi kikavu

    Nimepata kikohozi pale mafua yalpoisha. Nisaidieni wakuu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa KUEZEKA/KUPAUA/ROOFING hii changamoto inatatuliwa vipi?

    Habari za mfungo vijukuu vya Mtume Mohamad wa Uarabuni na Vijukuu vya Yesu Kristo wa Uzunguni. Ndugu zangu,bibi yenu baada ya kupewa vihela vyangu vya kustaafu nikavitumia kujenga kajumba ka ndoto zangu ka mtindo wa KUFICHA BATI. kIla kitu kimeenda sawa kuanzia weyering Jimsam bot dari...
  13. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la ‘short temper’. Nisaidieni jinsi ya kuepukana nalo

    Mimi ni mtu wa kukasirika hasira Kali kwa haraka sana tena mpaka mwili unaweza kutetemeka kwa hasira ya jambo dogo Jambo ambalo linapelekea kususa au kugombana na baadhi ya watu Naombeni njia na mbinu za kuachana na tatizo hili. Ahsante snaa
  14. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Wale waliopanda mti uitwao MDODOMA nyumbani, nisaidieni experience juu ya huu mti

    Wengine huiita trichilia emetica. Changamoto za wadudu, matawi kudondoka, mbegu kudondoka, kuhifadhi popo, etc Karibuni
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni kazi au kutafuta kazi

    Mungu mwema sikuzote
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wajuaji/waelewa wa JF

    Hakimu Kiswaga alikuwa na mamlaka ya ku discharge the acused kama haoni ushahidi wa kutosha kumpeleke Lisu High court?
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM nisaidieni kutegua hiki kitendawili

    Kuna jambo limekuwa kama kitendawili kwangu, na sielewi tafsiri yake ni nini! Kwenye maisha ya kawaida ya watanzania na huku kwenye mitandao ya kijamii, watu hupata wasiwasi na hatima ya mtu anayeikosoa CCM kuliko anayeikosoa CHADEMA. Imekuwa ni kawaida mtu kuonywa ama watu kuandika maneno...
  18. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wakubwa nisaidieni kujua jina la mti huu

    Kwa kiswahili tafadhari
  19. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kujua zaidi kuhusu mti wa mjohoro (cassia siamea)

    Je Ni mzuri wa kivuli haupukutishi matawi ovyo ovyo, unakuwa haraka, maua yake hayatoi harufu kali, etc,? Karibuni
  20. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kujua jina la huu mti

    Kwa kiswahili itakuwa poa sana wakuj
Back
Top Bottom