Nimeshidwa kumuelewa mpenzi wangu kwa kuwa na huzuni na msiba usiomuhusu wakati marehemu si ndugu yake

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Nina mpenzi wangu week mbili zilizopita aliniomba ruksa kuna msiba mtaani kwao ambako amezaliwa na amekulia kuna kijana mmoja alikuwa amefariki kwa ajari basi nikamruhusu akaenda nami pia akaniomba nimsindikize tukaenda wote.

Sasa tangu huu msiba umalizike mpenzi wangu amekuwa ana huzuni sana kila akikaa ni story kuhusu marehemu muda mwingine unamuona anasikitika sana kuhusu familia aliyoiacha marehemu yaani nashangaa eti anakosa furaha kila akimkumbuka marehemu.

Na huyo marehemu sio ndugu yake ila waliukuwa wanaishi majirani tuu sasa hapa ndipo nashidwa kuelewa why awe huzuni kiasi huyu mwanamke na huzuni za marehemu nashidwa kumuelewa.
 
Mkuu una moyo sana narudia tena una moyo sana

Kuna jamaa yeye alienda kwenye msiba babu wa mke wake alifariki anasema akawa anaangaliwa tu kumbe Kuna mkoloni mmoja mkaburu kutoka bongo land amechukua territory kwa mda na hajui Cha ajabu anakuja kulalamika Jf
 
Nina mpenzi wangu week mbili zilizopita aliniomba ruksa kuna msiba mtaani kwao ambako amezaliwa na amekulia kuna kijana mmoja alikuwa amefariki kwa ajari basi nikamruhusu akaenda nami pia akaniomba nimsindikize tukaenda wote.

Sasa tangu huu msiba umalizike mpenzi wangu amekuwa ana huzuni sana kila akikaa ni story kuhusu marehemu muda mwingine unamuona anasikitika sana kuhusu familia aliyoiacha marehemu yaani nashangaa eti anakosa furaha kila akimkumbuka marehemu

Na huyo marehemu sio ndugu yake ila waliuwa wanaishi majirani tuu sasa hapa ndipo nashidwa kuelewa why awe huzuni kiasi huyu mwanamke na huzuni za marehemu nashidwa kumuelewa
Mpenzi wako kafiwa na mpenzi wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom