bima ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Igunga: Wazee Wampongeza Rais Dkt. Samia kwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote

    IGUNGA: "WAZEE WAMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA KWA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE" Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akiwasikiliza Wazee wa Kata ya Isakamaliwa kwenye Kikoa cha Wazee. Mhe. Ngassa (MB) ametumia siku ya Sikukuu ya Noeli (Krismasi) kuongea na Baraza la Wazee wa...
  2. Zanzibar-ASP

    Bima ya Afya kwa wote huenda likawa ni kaburi la afya za Watanzania

    Muswada wa Bima ya afya kwa wote ulifanikiwa kupitishwa bungeni mwezi uliopita, na tayari umetiwa saini na Rais wa Tanzania kuwa sheria rasmi, hivyo mchakato wa kutengeneza kanuni na taratibu za ufanyaji kazi kabla ya kuanza kutekelezwa umeanza rasmi. Bahati mbaya sana watu wengi hawajui mifumo...
  3. J

    Kwa mwendo huu, Bima ya Afya kwa wote itakwama

    Habari wana Bodi, Ninachokishuhudia katika mwenendo wa watendaji pamoja na hali ya sasa ya mfuko wa Bima yà Afya, inakatishà tamaa yà kwanini mfuko huu unawafanyia hivi wateja wake? Kabla sijaendelea naomba niweke jambo moja sawa.. watumishi wa umma Tanzania tambueni kuwa ninyi sio Miungu watu...
  4. Beberu

    Bima ya afya iache ubaguzi

    Mnogage, Wakuu kuna kitu mm sikielewi kuhusu bima ya Afya ya Taifa, NHIF, bima hii ni yetu sote lakini m naona imekaa kuwapendelea watumishi wa serikali na kututesa watu tulipjiajiri ambao ndio wengi, Kwanin nasema hivyo ? Tazama, mtu anaelipwa 1,040,000/- anakatwa 31,000/- kwa mwezi kama...
  5. BARD AI

    Rais William Ruto ashusha gharama za Bima ya Afya

    Rais #WilliamRuto amesema Serikali itafanya mabadiliko kwenye gharama za matibabu kwa Wananchi wa kipato cha chini wanaotumia Bima ya Mfuko wa Bima wa Taifa (NHIF) ambapo waliokuwa wanalipa Tsh. 8,201 kwa mwezi wataanza kulipa Tsh. 4,921. Ruto ameongeza kuwa Wananchi ambao hawana uwezo wa...
  6. Roving Journalist

    Wananchi wanaoishi katika mazingira magumu kupatiwa Bima ya Afya iliyoboreshwa CHIF Kyela

    Zaidi ya Wananchi 100 Wilayani Kyela Mkoani Mbeya, wanaoishi katika mazingira magumu wanatarajiwa kupatiwa Bima ya Afya iliyoboreshwa CHIF na Umoja wa Wanakyela waishio ndani na nje ya Nchi katika Kyela Ibasa Festival itakayofanyika Desemba 27, 2023 Wilayani humo. Huo utakuwa ni msimu wa tano...
  7. DR Mambo Jambo

    MSWAADA BIMA YA AFYA KWA WOTE,BETTING,SODA,VINYWAJI VIKALI,VIPODOZI VYAWA VYANZO VIKUU KUGHARAMIA WASIO NA UWEZO

    Akiongea Bungeni leo Hii, kipindi anasasilisha mswaada Huo Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Amesema kwamba vyanzo hivyo vitatumika kugharamia Wasio na uwezo wa malipo ya Bima hiyo.. Sikiliza hapa chini..
  8. BARD AI

    Tozo za Miamala, Kodi za Vinywaji Vikali kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    Akiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya Afya kwa Wote, Wizara ya Fedha imeridhia kuhamisha baadhi ya Kodi na Tozo kwenda kwenye mfuko huo...
  9. Roving Journalist

    Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2022 wasomwa Bungeni, leo Novemba 1, 2023

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 2, leo Novemba 1, 2023 ambapo Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2023 unasomwa. ==== MAELEZO YA MHESHIMIWA UMMY ALLY MWALIMU (MB), WAZIRI WA AFYA AKIWASILISHA MUSWADA WA KUTUNGA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE...
  10. jingalao

    Fursa ya pili Muswada wa Bima ya Afya kwa wote tuunge mkono hoja

    Hongera Rais Samia kwa kazi hii adilifu na dhamira ya dhati ya kuboresha sekta ya afya Tanzania. Leo nitaongelea suala la bima ya Afya kwa wote. Ikumbukwe niliwahi kuhoji swali katika mdahalo wa Urais 2015 kupitia JF na swali langu lilihoji juu ya namna viongozi tarajali wangeweza kufanyia...
  11. benzemah

    Soma Hapa Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Utakaowasilishwa Bungeni Tarehe 01 Novemba 2023

    Wadau tupitie hapa muswada wa bima ya afya kwa wote unaotarajiwa kuwasilishwa bungeni Jumatano tarahe 01 Novemba 2023
  12. DR Mambo Jambo

    Serikali kurudisha tena Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote tena bungeni kesho 01/11/2023

    Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kurejea Bungeni tena hapo kesho Novemba 1 2023 na Muswada wa Bima ya Afya kwa wote ambao ulikwama mnamo Mwezi Februari 2023 kwa hoja iliyotolewa na Bunge ya kutokuwepo kwa chanzo endelevu cha fedha kutekeleza Mpango huo. Muswada huu ni ndoto ya...
  13. N

    Bima ya Afya kwa wafanyakazi wa viwandani iwe lazima kisheria

    Habari wana JF! Ndugu zangu nimefanya kazi katika baadhi ya viwanda mkoa wa Pwani nimegundua wapo Watanzania wanafanyakazi maeneo hatarishi sana. Ndugu zangu kama mnavyojua viwandani kuna kemikali na emissions nyingi mno. Ingawa kwenye sheria zetu kuna taratibu nyingi zimewekwa kwa ajili ya...
  14. Roving Journalist

    NHIF: Msilete nyaraka za kughushi tutawafungia uanachama

    MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umewaonya baadhi ya wanachama wake wanaojihusisha na udanganyifu hususan wakati wa kuongeza wategemezi kwa kuwasilisha nyaraka za kughushi. Onyo hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Uanachama Bw. Christopher Mapunda wakati akizungumza na Yaliyojiri NHIF ambapo...
  15. tpaul

    Serikali: Huu ndio ushauri wa mwisho kwa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF)

    Katika siku za karibuni Bima ya Afya ya Taifa imekuwa gumzo kila kona, hasa inapodaiwa kwamba mfuko huu wa bima unaotoa matibabu kwa watumishi wa umma na familia zao, unakaribia kukata roho. Naomba kutangaza masilahi (declare interest) kwamba mimi ni mnufaika wa mfuko huu kupitia wazazi wangu...
  16. ubongokid

    Kwa Hili la Bima ya Afya Kwa watoto-Hapana

    NHIF Waongeza gharama za Bima ya Afya kwa Watoto, sasa kulipa Tsh. 120,000/= badala ya Tsh. 50,400/= NHIF Yasajili Wanafunzi 342,933 Bima ya Afya Waziri Ummy: Toto Afya Kadi haijafutwa ila sasa Watasajiliwa Shuleni kwa gharama ileile ya Tsh 50,400 Uzi huu ambao JF waliufuta amba niliandika...
  17. M

    Ushauri kwa Bima ya Afya (NHIF): Wekeni uwiano mzuri kwa wanufaika wa wachangiaji wa mfuko huo

    Napenda kuishauri NHIF kuwa kama utaratibu unaruhusu watu sita (6) kwa mchangiaji basi aruhusiwe kuwaweka bila vipingamizi ilimradi wasizidi idadi hiyo inayokubalika. Mfano kama mchangiaji hana watoto wanne aruhusiwe kuwaweka wengine bila kikwazo. Kama mchangiaji hana wazazi wote au mmoja...
  18. mirindimo

    Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

    Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini. Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!! Kuna...
  19. M

    Angalizo kwa bima ya afya ya Taifa! NHIF

    Hawa vijana mliowaweka kwenye hospitali mbalimbali kuhakiki kadi za bima kwa wagonjwa ni kero kubwa mno. Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwani hawana customer care nzuri na wanauliza maswali ya kijinga Sana yenye kumkerehesha mgonjwa! Mfano wa swali la Leo hii niliulizwa Kama, "hivi...
  20. K

    Bima ya Afya kwa mfanyakazi

    Habari wakuu, Napenda kufahamu kuhusu sheria ya mfanyakazi katika kampuni binafsi ndani ya Tanzania je ni haki wafanyakazi kupewa bima ya afya bila dependant wao kimfano employee amepewa bima ya afya kisha akaambiwa atapata yeye tu mke na mtoto hawatapata. Wafanyakazi wengine wameinclude...
Back
Top Bottom