bima ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Bima ya Afya kwa watu wote kwa Nchi yetu bado sana, Tuanze na Wajawazito

    Habari wanaJF, Kwanza kabisa tukubaliane kwa Nchi yetu imekuwa shida sana kupata Takwimu za afya ,ni ngumu kujua watu wangapi wanazaliwa kwa siku , wanaofariki kwa siku , ni wastani wa watu wangapi wanapata ujauzito kwa Siku . Hivyo kwa Uzoefu wangu nitakuja na Takwimu ambazo zitareflect kidogo...
  2. ACT Wazalendo

    Dkt Nasra: Asilimia 85 ya Watanzania Hawana Bima ya Afya

    OFISI YA WASEMAJI WA KISEKTA. HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA AFYA DR. NASRA OMAR – ACT WAZALENDO KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI NA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23. Utangulizi: Leo tarehe 16 Mei 2022, Waziri wa Afya Mh Ummy Ali Mwalimu (Mb.), amewasilisha Bungeni...
  3. Johnny Sins

    Anayejua jinsi ya kulipia bima ya afya NHIF kupitia huduma ya TIGOPESA

    Habarini jamani, Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
  4. Rwaz

    Naomba kujuzwa kampuni bora ya Bima ya Afya

    Heshima kwenu wadau wa jukwaa. Ndugu yangu ana ugonjwa inasemekana wa neva. Ni kampun gan bora kwa bima ili kukabiliana na tiba bora nchini? Maana hii kupimwa pimwa tu bila tiba inatupiga sana pesa! Sio mtumishi.
  5. G-Mdadisi

    Bima ya afya kwa wote isigeuzwe 'tozo' ya kuonana na daktari

    Moja ya maamuzi muhimu ambayo yatafanywa na Serikali na kimsingi yanachochea tabasamu zaidi kwa mamilioni ya watanzania ni hili la BIMA KWA WOTE ama 'Bima kwa kila Mtanzania.' Nimefarijika sana kuona hata waziri mwenye dhamana ya Wizara ya Afya Nchini, Dkt. Gwajima kuthibitisha kwamba zaidi 85%...
  6. J

    Hivi Sera ya Bima ya Afya kwa Wote ni ya CCM au CHADEMA?

    Kuna baadhi ya makamanda wameniambia sera ya Bima ya Afya kwa Wote ni ya Chadema na kwamba Hayati Magufuli aliikopa kutoka Ufipa akaitia kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM. Mimi naamini hii ni sera ya CCM na imekuwepo tangia mzee Wassira akiwa ndiye mratibu wa ilani ya chama. Wanaojua zaidi...
  7. Uzalendo wa Kitanzania

    Fedha za kugharamia bima ya afya kwa wote zikusanywe kupitia tozo mpya kupitia malipo ya bili za maji

    Ndugu Watanzania kwa mazingira ya sasa Bima ya Afya ni hitaji la msingi kwa kila Mtanzania. Hata hivyo changamoto iliyopo ni hali ngumu ya Kiuchumi kwa Watanzania walio wengi. Naishauri Serikali iwasilishe muswada Bungeni wa Bima ya Afya kwa wote kupitia Tozo zitakazokusanywa kupitia malipo...
  8. Jabali la Siasa

    Bima ya Afya kwa Wote (Universal Health Care)Rais Samia atoa TZS 149BL

    Bima ya Afya kwa Wote Tanzania yaani ( Universal Health Care-UHC ) Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Jumla ya TZS 149BL ili kila Mtanzania ifikapo 2030|35 awe na bima ya afya, " Hakuna kama Samia " Pamoja na kwamba Bima ya Afya kwa wote iko kwenye Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 Ukurasa wa...
  9. comte

    Mkapa: Nilipata wazo la Bima ya Afya (NHIF) kutoka kwa Rostam Azziz

    Another way to help the poor in a direct way was the National Health Insurance Fund which offered health insurance to families. I learnt about this scheme from Rostam Azziz, a member of parliament and successful businessman. In 1996 he started a health insurance scheme for the resident of his...
  10. Red Giant

    #COVID19 Bima ya Afya ina 'cover' chanjo ya COVID-19?

    Chanjo iliyokuja ni chanjo 1m tu. Nchi yetu tupo watu 60m. Hatuwezi pewa chanjo zote bure, na serikali haitaweza kugharamia zote. Nauliza kama bima ya afya NHIF ina cover chanjo? Mtu anapojiunga na bima ya afya, terms and conditions zinasemaje?
  11. J

    Dkt. Mpango: Wezi wa kutumia Bima ya Afya wakamatwe popote walipo

    MTWARA :- "WEZI WA KUTUMIA BIMA YA AFYA WAKAMATWE POPOTE PALE - MPANGO “Nasikia kuna mchezo kuna watu wanatumia bima za afya kuiba Mheshimiwa Naibu Waziri wa Afya hawa watu kamateni popote walipo wala msijali vyeo vyao awe ni daktari, natumaini hamtotumia maelekezo hayo kuone wetu wengine”-...
  12. Emmanuel Nelson

    SoC01 Bima ya Afya bure kwa watoto Vijijini - Mapendekezo yangu

    Kwa mujibu wa sheria zetu, mtoto ni mtu yoyote mwenye umri chini ya miaka 18. Bima ya afya ni mfumo unao muwezesha mtu kupata matibabu pasipo kuwa na fedha taslimu pindi apatapo ugonjwa fulani. Mara kadhaa tumeshuhudia kwa kusikia, kuona ama kusoma kupitia vyombo mbalimbali vya habari/mitandao...
  13. S

    #COVID19 Hadi sasa hakuna mkakati wa matumizi ya bima ya afya na mpango kuwasaidia wagonjwa wa Corona kupunguza gharama za matibabu

    Kama tunavyojua kuwa wimbi la tatu la ugonjwa wa korona linatupiga ipasavyo na japokuwa serikali inaendelea kupokea misaada ya fedha kutoka WHO na mashirika mengine lakini cha ajabu hakuna mikakati yoyote ya kupunguza gharama za mgonjwa wa Korona. Kwa mfano dozi moja ya korona mpaka sasa si...
  14. jingalao

    Bima ya Afya kwa wote Wizara iache woga ipeleke muswada Bungeni

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu alitanabaisha mapema kuwa wataalamu wa afya wahakikishe kuwa muswada wa bima ya afya kwa wote unaenda bungeni haraka. Nichukur fursa hii kama mwanamtandao wa kijamii kuwashawishi tena Wizara ya Afya chini ya mama Gwajima kiharakisha utekelezaji wa zoezi hili. Ni...
  15. jingalao

    Ni vizuri Bunge likajikita kwenye mjadala wa Bima ya Afya kwa wote

    Inavyoelekea ile ahadi ya CCM na CHADEMA katika chaguzi mbili zilizopita inayohusu bima ya afya kwa wote ikapigwa danadana nyingine baada ya mjadala wa sasa kuibuka kwenye chanjo ya corona na msimamo wa Gwajima. MY TAKE; 1- Wizara ya Afya iharakishe kuleta muswada bungeni utakaopelekea Sekta ya...
  16. wakuja town

    Msaada kuhusu bima ya afya

    Habari za asubuhi wakuu, Naomba anaejua bima ya afya yoyote ya gharama nafuu tofauti na NHIF anijuze. Nataka niwakatie wazee wangu, binafsi natumia ile ya NSSF ya kuchangia elfu 20 kwa mwezi ...... Recently wamesitisha kupokea wanachama wapya Kwa mda usiojulikana.
Back
Top Bottom