bima ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama & NHS ya Uingereza Wajadili Namna Bora ya Utoaji Bima ya Afya kwa Wote Nchini

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiambatana na ujumbe wake kutoka Tanzania akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine wamekutana na uongozi wa 'National Health Services' (NHS) ikiwa ni muendelezo wa...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Luigi Mangione mtuhumiwa wa mauaji ya bosi wa bima ya afya atiwa nguvuni

    Hii ni taarifa isiyotajwa sana katika vyombo vyetu vya habari nchini.lakini ni tukio linalo-trend nchini Marekani. kijana Msomi na anayetoka kwenye familia tajiri Ndg.Luig Mangione anatuhumiwa kumpiga risasi na kumuua CEO wa kampuni ya bima ya afya maarufu nchini Marekani Thomson Brian. Leo...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama: Tanzania Inakuja na Mifumo Imara ya Bima ya Afya kwa Wote Nchini

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagamana na ujumbe wake akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine Desemba 09, 2024 wamefanya ziara ya mafunzo ya jinsi mfumo wa uendeshaji wa masuala ya afya unavyofanya...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Napendekeza bima ya afya iwe ni kipaumbele cha kwanza kwa mwaka mpya 2025 katika malengo ya kila mdau na members wa JF

    Ni hiyari sio lazima lakini ni muhimu sana, my friends ladies and gentlemen. Wazo hili limenijia baada ya kuona mateso ambayo wengi tunayapitia tunapokumbwa na dhahama za maradhi mbalimbali, na kujikuta badala ya kwenda hospital kupata matibabu ya uhakika, tunajifungia majumbani na kujifariji...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza duniani, Ubelgiji yatangaza kuanza kutoa bima ya afya, maternity leave na sick pay kwa madada poa!

    Wakuu, Wakati huku kwetu mkuu wa wilaya ya Ubungo akiwa busy kukamata madada poa pale Kitambaa Cheupe, huko Ubelgiji mambo yameendelea kuwa sukari sana. Hivi karibuni Serikali ya Ubelgiji imetangaza kwamba itaanza kutoa bima ya afya, maternity leave na kulipa madada poa kama watakuwa wanaumwa...
  6. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya NHIF na Hospitali ya Celian Arusha ni aibu

    Leo nimeenda kutibiwa Selian hospital Arusha, kilicho nishangaza ni kwamba kwanza ni kama NHIF hawana dawa za kutosha pale, nimeambiwa Paracetamol na Bluefen kati ya dawa za maumivu et nikanunue duka la dawa nje ya hospitali. Sasa najiuliza Bima haina dawa hizo 2 za maumivu je zimeisha ghafla...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote wataalamu msizunguke mbuyu utekelezaji uanze mara moja!!

    Salamu! Mimi ni muumini na mdau kindakindaki wa huduma endelevu za afya chini ya uwekezaji wa Watanzania wenyewe. Nimesimama na hoja hii kwa muda mrefu na nitasimama nayo hadi kieleweke. Tanzania kama nchi lazima tukamilishe uhuru kamili kwa kuhakikisha masuala ya msingi, hususani huduma za...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Unashiriki maandamano una bima ya afya? Au unataka kuwapa mzigo wa matibabu ndugu zako?

    Unashiriki maandamano una bima ya afya? Au unataka kuwapa mzigo wa matibabu ndugu zako?
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Sheria ya bima ya afya kwa wote yaanza kutumika, kipengele cha 'lazima kwa wote' chasitishwa matumizi

    Waziri wa afya, Ummy Mwalimu ametoa tangazo la kuanza kutumika sheria ya bima ya afya kwa wote Tarehe 16 Agosti, 2024. Awali bima hii ilikuwa iwe lazima kwa wote na kuleta mjadala mkubwa lakini tangazo la matumizi halijajumuisha kipengele husika.
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bima ya afya ya NSSF imejaa ukiritimba, wananchi tunaumia

    Naombeni mtusaidie kupaza sauti au kutafuta ukweli kuhusu bima ya afya inayotolewa na NSSF kuna ukiritimba unaifanywa na baadhi ya wamiliki wa hospitali wakishirikiana na wakuu wa makampuni binafsi kwa kuwataka wafanyakazi wote wa kampuni kutibiwa hospitali moja bila kujali unaishi wapi? Mfano...
  11. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Viwanda vya Sigara viweke tozo kwaajili ya kusaidia Bima ya Afya kwa wote ili Wanaougua watibiwe

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema anatarajia Kiwanda cha Kusindika Tumbaku na Kuzalisha Sigara cha Serengeti kitaweka Tozo katika mauzo yake ili Fedha inayopatikana isaidie katika huduma za Afya Rais amesema hayo baada ya kuelezwa na Mwekezaji wa Kiwanda kuwa 5% ya Tumbaku inayozalishwa hapo...
  12. iamwangdamin

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu asema NHIF ni urithi(legacy) iliyoachwa na Mkapa

    “As we are celebrating the life of the late Benjamin Mkapa, I would like to also mention that the National Health Insurance Fund is also a legacy of His Excellency Mkapa who started the initiative during his presidency”, says Ummy Mwalimu at the 2nd National Human Resource for Health...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni bima ya afya

    Asilimia kubwa ya wananchi wana Bima ya Afya lakini hakuna manufaa wanayopata kutokana na Bima ya Afya. Kila hospitali unayoenda ukiisha elezwa na mganga ugonjwa wako na dawa unazotakiwa kutumia basi hapo lazima uingie mfukoni. Jana nilienda kupata chanjo ya homa ya ini katika hospitali...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua Kampuni ya Bima ya Afya yenye 'PACKAGE' Nzuri

    Wakurungwa, Je, unafahamu kampuni ya Bima ya Afya (Health Insurance) yenye Package nzuri hapa Tanzania. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ililenga nini kufuta bima ya AFYA ya watoto chini ya miaka 5?

    Salaam, Shalom!! Huwa ninajiuliza juu ya vipaumbele vya Serikali ya Awamu hii nashindwa kuelewa, hivi bima ya watoto chini ya umri wa miaka 5 kufutwa, lengo Hasa ni nini? Matibabu ya watoto chini ya umri wa miaka 5 yaligharimiwa na Serikali Kwa Kodi zetu, sasa Badala ya kufuta ununuzi wa v8...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Huu utapeli wa BIMA YA AFYA chini ya mitandao ya simu serikali wameubariki?

    Ni utapeli mkongwe kidogo mpaka sasa bado unaendelea. Bima gani eti unalipwa mpaka pale utakapolazwa kuanzia siku tano? Tena ukitoka ndipo uanze kufuatilia. Watanzania wengi wako busy na kusaka ugali, pia hawajui Sheria za msingi. Hawajui waanze wapi kupata haki zao. Kinachofanyika watu...
  17. OR TAMISEMI

    JamiiForums Tanzania Kijiji cha Mundindi Wilaya ya Ludewa chawakatia Bima ya Afya wakazi wake wote

    Wananchi 3,149 wa kijiji cha Mundindi kilichopo Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wametengeneza historia ya kipekee baada ya Serikali ya kijiji hicho kuwakatia bima ya afya wanakijiji wote ili waweze kupata huduma ya afya bila kikwazo cha fedha. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Serikali kulipa fidia...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatangaza Sheria ya Bima ya Afya ya Jamii ya mwaka 2023 kuwa kinyume na Katiba

    Pigo jingine kwa Rais Ruto baada ya Mahakama Kuu kutangaza Sheria ya Bima ya Afya ya Jamii ya mwaka 2023 kuwa kinyume na katiba. Sheria hii ilikuja baada ya NHIF kuondolewa, bima ambayo Wakenya wengi wamekuwa wakiitaka irejeshwe.
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Bima ya Afya ya Jamii Kijiji cha Mundindi - Wilaya ya Ludewa

    UZINDUZI WA BIMA YA AFYA YA JAMII KIJIJI CHA MUNDINDI - WILAYANI LUDEWA Tunakushukuru kwa tukio la Uzinduzi wa Bima ya Afya ya Jamii ya Kijiji cha Mundindi- Kata ya Mundindi- Wilayani Ludewa. Kijiji cha Mundindi kimefanikiwa kuandikisha wananchi kwenye mfuko wa Bima ya afya ya Jamii (iCHF)...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Taasisi za Serikali zimekaa kiupigaji zaidi badala ya kutoa huduma bora kwa wananchi

    Kwanza nianze kwa kukiri kwamba watanzania ni watu wanaojituma sana kuhakikisha mkono unaenda kinywani na kujipatia maendeleo. Ila inasikitisha kuwa jitihada za watanzania wengi zinazimishwa na watu wachache wanaoanzisha taasisi au mifuko kwa lengo la kujineemesha kwa kutumia pesa za wananchi...
Back
Top Bottom