bima ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kidaya

    SoC03 Kuboresha Mfuko wa Bima ya Afya

    Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) ulianza kufanya kazi Julai, 2001 kwa waajiriwa wa serikali kuchangia 3% ya mishahara yao na mwajiri kuchangia 3%. Mpaka kufikia Desemba 2019, mfuko wa Bima ya afya ulikuwa na wanufaika 4,856,062 sawa na 9% ya watanzania wote. Majukumu ya mfuko ni kuwaandikisha...
  2. Ivan Stepanov

    Bima ya afya NHIF, suala hili lina faida lakini angalieni pia changamoto zake

    Habari ya jioni wananzengo, polen kwa msongo wa mawazo wale ambao ikifika jumapili jioninkama hivi raha yote inaisha kwa kufahamu kuwa kesho asubuhi "THE CYCLE REPEATS". Twende kwenye mada na kama kutakua na makosa ya kiuandishi naomba usikwazike, nisamehe bure, jaribu tu kujiongeza. Haya sasa...
  3. Mama Amon

    Waziri Ummy Mwalimu, Mfuko wa Bima ya Afya unawatesa Wagonjwa wasio na hatia na unakiuka kanuni za utawala bora

    Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu, Napenda kukufahamisha matatizo matatu kuhusu Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF), kama ifuatavyo: Mosi, mikataba yote kati ya NHIF na vituo vya Afya inacho kifungu kinachovunja sheria ya mikataba, kanuni za utawala bora, na heshima ya utu wa wamiliki wa vituo...
  4. J

    SoC03 Afya Katika Maendeleo Endelevu

    Afya ni sehemu ni sehemu ya maendeleo endelevu katika kuimarisha afya bora za watu ili kuwawezesha kufanya vizuri na kuinua uchumi wao na nchi kwa ujumla katika jamii mtu mwenye afya bora huwa na uwezo wakushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii zao na kuchagia katika ujenzi wa jamii...
  5. Travelogue_tz

    Zuio la usajili wa Polyclinics (Kliniki za Kibingwa) mpya katika mfuko wa bima (NHIF): Waziri Ummy Mwalimu atoe majibu

    SINTOFAHAMU YA ZUIO LA USAJILI WA POLYCLINICS (KLINIKI ZA KIBINGWA) MPYA KATIKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF): WAZIRI UMMY MWALIMU ATOE MAJIBU KWA WADAU Kumekuwa na kilio cha Wadau katika sekta ya afya juu ya zuio la kusajili Vituo vya kutolea huduma maarufu kama Polyclinic na...
  6. Danos

    Naishauri Serikali itoe ruzuku Bima ya Afya ya watoto

    Serikali hii yenye fedha nyingi mno kiasi cha baadhi ya watu kujichotea mihela bila aibu hata hofu ya Mungu haiwezi kushindwa kutoa ruzuku kwenye bima ya afya ya watoto. Nilimsikia waziri wa afya akilalamika kuwa michango ni bilioni 4 wakati matumizi ni bilioni 40 (kwa mwaka?). Serikali hii...
  7. Jonazon01

    SoC03 Yaliyomkuta Mwanaisha na Bima yake ya Afya

    Kulikuwa na mtu mmoja anayeitwa Mwanaisha ambaye alikuwa amejiandikisha kwa bima ya afya ili kuhakikisha kuwa yeye na familia yake wanapata huduma bora za afya. Hata hivyo, aligundua kuwa bima hiyo haikuwa na ubora wa kutosha na ilikuwa na mapungufu kadhaa. Mwanaisha alijikuta akikabiliana na...
  8. BARD AI

    Rais Samia atoa siku 60 kwa Waajiri kulipa malimbikizo ya Bima ya Afya

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhakikisha anasimamia madai ya Bima ya Afya na tatizo la waajiri kutowasilisha michango ya Wafanyakazi. Akizungumza kuhusu Bima ya Afya Rais Samia amemuagiza Waziri Mkuu Majaliwa kusimamia madai ya watoa huduma yanayopaswa kulipwa...
  9. D

    Bima ya Afya, mnachokifanya mnajua madhara yake?

    Mimi ni mstaafu mwandamizi niliyepo wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera. Nilipata tetesi za kuwapo kwa uhakiki wa wastaafu walio kwenye mfuko wa bima ya Afya tangu mwezi Machi mwaka huu. Kila aliyeniambia nilipomuuliza alikozipata taarifa, naye aliniambia ameambiwa na mwingine. Hakukuwapo...
  10. ChoiceVariable

    Ripoti ya CAG 2021-2022: Mfuko wa Bima ya Afya Umepata Hasara ya Shilingi Bilioni 189

    Mfuko huu ukiacha hasara wanayoingiza Serikalini pia wametajwa na TAKUKURU kwenye ubadhirifu. Aidha Huu mfuko.unaongozwa na yule anayejiita Kamisama WA sensa na Spika Mstaafu Anna Makinda. Mh.Rais watu Hawa walioshindwa kazi Fukuza mda wa kuleana Kwa kuwakomoa Watanzania umekwisha.
  11. JanguKamaJangu

    Bima ya NHIF, Wanandoa na Watoto 4 kiwango cha chini Tsh 816,000 cha juu Tsh. 2,220,000 kwa Mwaka

    Baada ya Bima ya TOTO AFYA KADI kufutwa na NHIF, wewe ambaye ni mlipaji wa huduma ya Bima huu ndio mkeka wa Bima ya Afya kwa Wanandoa na Watoto au mtu mmoja mmoja kwa Mwaka mmoja
  12. Hamduni

    Maboresho katika utaratibu wa usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi

    MABORESHO KATIKA UTARATIBU WA USAJILI WA WATOTO KUPITIA MPANGO WA TOTO AFYA KADI Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unapenda kuutangazia Umma kuwa, unafanya maboresho ya utaratibu wa usajili na huduma kwa watoto waliokuwa wanasajiliwa kupitia utaratibu wa Bima ya Afya ya “TOTO AFYA KADI”...
  13. sajosojo

    NHIF Waongeza gharama za Bima ya Afya kwa Watoto, sasa kulipa Tsh. 120,000/= badala ya Tsh. 50,400/=

    Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
  14. Kiboko ya Jiwe

    Naanzisha kampeni ya kukataa Bima ya Afya kwa wote

    Hili suala ni dhahiri serikali inataka kufanya biased na wananchi. Kama watumishi wa umma tu mneshindwa kutuhudumia vizuri mpaka tunapata dawa grade 3 & 4, sasa mkihudumia angalau 30% ya Watanzania hali itakuwaje? Zamani bima ya NHIF ilikuwa kama bakshishi kwa watumishi na toto afya ilikuwa...
  15. Hamduni

    SUALA LA BIMA YA AFYA

    Aisee NHIF mmejua kutuletea huduma karibu kijijini kwetu kwa hiyo sahizi mambo namalizia shule iliyopo kijijini kwetu hakuna kwenda wilayani mambo ni huduma karibu na wananchi. Asante sana Mama Samia maana kwenda Bomani sie wengine hatuna nauli ya kwenda kufuatilia bora tumalizie hapahaoa...
  16. Hamduni

    Bima ya Afya

    Asanteni NHIF mi nimependa sana utaratibu wenu wa watoto kusajiliwa kupitia shule wanazosoma aisee hii imetulia kwanza mmetuondolea usumbufu wa kufuata hiyo huduma mjini sisi tuta dili na walimu wakuuu mashuleni kwetu
  17. benzemah

    NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "TOTO Afya Kadi". NHIF yadai hawajafuta ila wameboresha

    Habari za awali zinadai kwamba Mfuko wa Taifa wa BIma ya Afya umefuta rasmi bidhaa ya "Toto Afya Kadi" iliyokuwa inatolewa na mfuko huo kwa watoto wa chini ya miaka 18 wanaosajiliwa ili kuwawezesha kupata huduma za matibabu katika vituo vilivyosajiliwa na NHIF nchi nzima. Ikumbukwe kuwa Toto...
  18. JanguKamaJangu

    Zanzibar: Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote wapita

    Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamepitisha Muswada wa Bima ya Afya kwa wote huku Serikali ikiahidi kuhakikisha mfuko huo unakwenda kutekeleza malengo yake ya kuwapatia Wananchi huduma za Afya kikamilifu kwa makundi yote. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango, Dkt. Saada Mkuya alisema...
  19. Black Butterfly

    Walimu waghushi Vyeti vya Ndoa kupata Bima ya Afya

    Tume ya Utumishi wa Walimu Nchini (TSC), imekabidhiwa majina 78 ya walimu waliobainika kughushi nyaraka mbalimbali za wategemezi na matumizi mabaya ya kadi za bima za afya. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kitengo cha mawasiliano Serikalini cha TSC iliyotolewa jana Jumatano, Machi Mosi...
  20. jingalao

    Bunge halijatenda haki kutowasilisha muswada wa Bima ya Afya kwa wote

    Naendelea kushangaa juu ya kigugumizi cha wabunge juu ya muswada huu muhimu unahusu afya za watanzania. Hili ni jipu la muda mrefu sana lenye kuhitaji tiba. Siku za nyuma Serikali imekuwa inakwepa kuwasilisha muswada huu bungeni. Hata hivyo vision ya Rais Samia ilikuwa ni kuwasilisha muswada...
Back
Top Bottom